Mfahamu Salma Kikwete

Mfahamu Salma Kikwete

Nilidhani katika mahojiano hayo aliuzwa kuhusu kina Nguza na wimbo wa "mama salma"

Kwasababu mengi huzungumzwa mtaani...nisaidieni kama huyu mama alishawahi kifunguka wakati wowote au popote.
 
Aisee nimesikitika sana kusikia kwamba mama yao na akina Ridhwani alishatangulia mbele ya haki!

Sikujua kabisa, poleni sana Mhe Ridhwani na Miraji, haikuwa nina yangu kutonesha kidonda chenu. Linapokuja sauala la kifo wote tunabaki na ubinadamu wetu.

Mkuu Miraji mama ake yupo hai..anaishi Dodoma..ni mjasiriamali..
 
Kwamba Mama Salma ni Mama bora.au una lako jengine.
Duh! Jamiiforums imepoteza mwelekeo! hata mambo ya nani alimtongoza nani na lini yamekuwa mada ya kujadiliwa hapa! Mods kazi imewashinda kabisa!
 
Kama Mwanaasha ndio huyo mtoto ambae anasema anasoma kidato cha sita basi hakupelekwa A-Level, kama ndie mwenyewe basi atakuwa ali-reseat kwa sababu aliomaliza nao kwa sasa tayari wapo chuo.

Kwa hiki kilichoandikwa nashindwa kuelewa MWANAASHA yupo eneo gani kati ya hawa wote waliotajwa kwani inaonyesha watoto wote wa Salma hakuna ambaye yupo chuo.

''Wamejaaliwa watoto watano kati yao wanne ni wa kiume na mmoja wa kike. Wote wanasoma, wa kwanza yuko kidato cha sita, wa pili cha nne, wa tatu cha pili, wa nne yuko darasa la tano na wa mwisho yuko darasa la tatu''.
 
Duh! Jamiiforums imepoteza mwelekeo! hata mambo ya nani alimtongoza nani na lini yamekuwa mada ya kujadiliwa hapa! Mods kazi imewashinda kabisa!

Kwa mtazamo wangu hautakiwi kuilaumu JF laumu kwanza huyo aliyekubali kuulizwa maswali kama hayo na kutoa majibu kwenye media halafu utafakari haina ya watu tunaoishi ndani ya nchi hii ukiwemo na wewe.
 
nimependa mama alivyoongea, kaongea vizuri kama mwanamke na mama... sijapenda jinsi watu wanavyocomment humu hasa kuhusu mambo ya prostate au kupigiwa etc.

I am one of people who dont like JKs appraoch to many things, but this is about family, hebu basi tumpe heshima mama Salmaaa!!!???
Unachosema ni kweli, family issues must stay with family members, sasa ukianza kutangaza mambo ya familia yako lazima watu wahoji na kukupa zile points ambazo pengine huzijui au umepitiwa kuzitaja. Kaweka mwenyewe kwa public consumption, and the public is consuming it, haya ni madhara ya kuanika mambo ya mapenzi na familiy issues.
 
Je hii ni habari ya kisiasa? Acha umbumbumbu wewe!
 
Hapo ni Salale Rufiji na siyo Sirali..kijiji hicho ni noma sana..ndani ya Delta ya Rufiji hapo kuna wachawi kinoma halaf life ni tait sana..ndo maana ile shule ya WAMA ameenda kuijenga Nyamisati kule ndo kwenye asili ya Baba ake mzee Mkwachu na wajomba zake Mzee Swamadu Hassani..ingawa saivi mzee haishi tena kule..
nasikia na mama naye alikuwa na tunguri ila mzee akaita wataalam wa kumtolea manake ursino ilikuwa haikaliki
 
sina data hadi sasa,inawezekana ni uvumi tu ili wampake matope Mheshimiwa Raisi.

Wewe huna data hata kidogo kuhusu hiyo familia make imeshadhihirika umecopy na kupeste post ya zamani, kama hujacopy tuambia mwanaasha ni yupi kati ya wale watano?
 
Hii habari imekamilika kweli?
Mbona hatujatajiwa wake wenza alioolewa nao pamoja? Kama binti Zakia na binti Asas!
 
phoca_thumb_l_salma-kikwete.jpg

Mama Salma Kikwete.

Salma Rashid (kikwete). alizaliwa katika wilaya ya Lindi Mjini, Novemba 30, 1963. Baba yake anaitwa Rashid Yussuf Mkwachu na mama yake ni Mwanapaza binti Shariff.

Kwa asili, baba yake anatoka Sarai, Rufiji mkoani Pwani na mama yake anatoka Lindi.

Katika familia , upande wa mama, walizaliwa watoto saba, wasichana watatu na wavulana wanne. Yeye akiwa ni wa sita, ila kwa baba ni wa pili, ana kaka yake na mdogo yake. Na pia ana wadogo zake wengine watatu ambao wanachangia baba, kati yao wavulana ni wawili na msichana mmoja.

Baba yake alikuwa mfanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwaka 1977 na kituo chake cha kazi kilikuwa Mtwara, wakati baba yake anafanya kazi, mama alibaki Lindi, hali ambayo ilimfanya apate elimu yake ya msingi kuanzia mwaka 1973 katika shule nne tofauti; Nnaida ya Mikindani, Mtwara, Rahaleo ya Lindi, Ligula (Mtwara) na Stadium, Lindi ndipo ambapo alimalizia elimu yake ya msingi.
Ingawa wakati ule nafasi za kujiunga na sekondari zilikuwa chache, ailikuwa miongoni mwa waliochaguliwa.

Kukutana na Kikwete.
Kila jambo hupangwa na Mwenyezi Mungu. alilikutana na atakayekuwa mume yake mwaka 1985 akiwa katika Chuo cha Ualimu Nachingwea, yeye akiwa ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Nachingwea.

Walipokutana kwa mara ya kwanza kitu ambacho alimwambia ni kwamba" nakupenda na nataka nikuoe" hakusema anataka awe rafiki yake au vipi, sijui kama huo ndio utaratibu wa kina baba wote, kwa sababu alimpenda, alimkubalia, ingawa uamuzi wake hakuutoa papo hapo.

Walifunga ndoa Machi 30, 1989 wakati huo yeye akiwa Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini. Baada ya kufunga ndoa walifanya taratibu za uhamisho kwa mujibu wa taratibu za kikazi.

Kwa hiyo walihamia Dar es Salaam ambapo aliungana na mume wake na wakawa wanakaa Mikocheni mtaa wa Ursino.

Wamejaaliwa watoto watano kati yao wanne ni wa kiume na mmoja wa kike. Wote wanasoma, wa kwanza yuko kidato cha sita, wa pili cha nne, wa tatu cha pili, wa nne yuko darasa la tano na wa mwisho yuko darasa la tatu.

Lakini kwa ujumla wana watoto wanane, ikiwa ni pamoja na watatu ambao mume wake alipata na mke wake wa kwanza.

Hawa wakubwa mmoja ni mwanasheria, mwingine ni daktari na mwingine ni mtaalamu wa Teknohama (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano).

Ila siku zote hupenda kusema wana watoto wanane kwa sababu hata wale wakubwa amewalea yeyetangu wakiwa na umri mdogo sana. Kwa hiyo wale ni watoto wake sawa sawa na aliowazaa yeye.

Ahsante kwa kusoma na kuelewa kwa makini.

Vipi habari za yule mtoto ambaye inasemekana anaitwa Too late kutokana na kuzaliwa mwaka huu nchini uingereza au ni imbeya wa watu?
 
Anaejua deni la kila mtanzania baada ya kugawanya deni la taifa kwa watz wote, nataka nikalipe deni langu ikulu
 
phoca_thumb_l_salma-kikwete.jpg

Mama Salma Kikwete.

Salma Rashid (kikwete). ...................................................................
Kukutana na Kikwete.
Kila jambo hupangwa na Mwenyezi Mungu. alilikutana na atakayekuwa mume yake mwaka 1985 akiwa katika Chuo cha Ualimu Nachingwea, yeye akiwa ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Nachingwea.


Wewe naona unaleta upuuzi. Utaandikaje historia ya mtu aliye hai utadhani ni marehemu: Marehemu tunaandika yaliyo mema tu lakini aliye hai tunaandika hata upuuzi wake. Huyu amekutuma?

Eleza vizuri bila kupotosha. Huyu alikutana na Prof J.K akiwa mwanafunzi wa sekondari. Mapenzi ya mapeeeema! Kwa ujumla hakuwa siriasi na masomo na matokeo yake yalikuwa hooooovyo!

Mara kadhaa amejaribu kujiendeleza na kushindwa (msingi mbovu). Uliza pale Kigurunyembe, Morogoro.

Ukitaka mengine sema tuseme zaidi ya hapa. Endelea zaidi hata kazi yake ya sasa na tutakueleza na jinsi anavyojilipa mshahara mkubwa kuliko wa mumewe kwa pesa za wizi. Eti first Lady!!!!!!!!!!!!!
 
hivi pharmacist ni daktari? maana salama ni mfamasia sasa sijui ni daktari pia anyway..tuje mtaalam wa technohama huyu mama yake alikuwa mpishi pale dodoma hotel ,mbunge na daktari mama yao mmoja kwa hiyo idadi ya wake nayo inachanganya..yule wa mwananyamala naye! mama inabidi apigwe interview ya pili tuwekane sawa

Ni tatizo lililoanzia mbali. Kama ukisimamiwa kwa fimbo kusoma Mkwawa Shujaa ikashindikana, kweli utaweza sema historia nyingine kwa hiari na raha?

Lakini pia idadi inapokuwa kubwa kiasi hiki ni tatizo. Hata majina utayachanganya tuuu! Utaita shabani kumbe ni Hamis, mara Miraji..... Ni tatizo ambalo lilitosha kutueleza nani awe rais na nani asiwe! Kumbuka hata mume hataji wengine anaishia kusema Riz1 mwanangu mpendwa, wengine Je? wakivuta bangi ndo wasitajwe? Ndo wasipendwe?
 
Back
Top Bottom