Mbona povu?
Mtoto wa kwanza aliyepatikana hapa Dodoma mbona hajatajwa?
au kwa vile Mama Salma hakumlea lakini kwenye hafla na hata Harusi pale Mlimani City walihudhuria?
angemtaja tu na hata yule wa Arusha
CHAKAZA mm naogopa kwani huu uzi upo humuhumu JFHebu funguka maana inaonyesha kuna mambo yanafichwa hapa. Hawawezi kutoa habari huku wakificha nyingine.
ntarudi na nondo za ku-paste huo uziLakini kwa ujumla wana watoto wanane, ikiwa ni pamoja na watatu ambao mume wake alipata na mke wake wa kwanza.
we fanya yako tu...............duh! watoto wanane.huku unasaratani,lazima upige fedha ya maana mahali upate cha kuwaachia
The Mugabe strategy is looming!! after failure of Mseveni's tactics. Good bless Tanzania
Mbona riz kafanana nae sana?
Unajua JK alipokuwa Soja alikuwa na Waitara. Sasa Waitara ni straika mzoefu kwenye kupiga wake za watu. Yule mama akamshobokea Waitara. Waitara hakufanya ajizi akipiga shuti moja kali umbali wa mita 30 mpira ukagonga besela na kurudi ndani, akauwahi akapiga kichwa cha ajabu akacheka na nyavu! Luteni Kanali aliposikia ndipo bifu lake na Waitara lilipoanzia na yule mama akapewa twalaka tatu. Waitara anapiga hadi kesho!Mhhh! Niliwahi kusikiaga kua alipokua Soldier alizinguliwa na Mama Watoto wake, akampiga chini. Mhh! kaka tuyawache maana ni mengi.
Unajua JK alipokuwa Soja alikuwa na Waitara. Sasa Waitara ni straika mzoefu kwenye kupiga wake za watu. Yule mama akamshobokea Waitara. Waitara hakufanya ajizi akipiga shuti moja kali umbali wa mita 30 mpira ukagonga besela na kurudi ndani, akauwahi akapiga kichwa cha ajabu akacheka na nyavu! Luteni Kanali aliposikia ndipo bifu lake na Waitara lilipoanzia na yule mama akapewa twalaka tatu. Waitara anapiga hadi kesho!
Mama anaonekana kuwa mkarimu sana na hana chenbe ya kudharau watu mungu amjalie maisha marefu nae aione tanganyika huru huko tuendako.