TUESDAY, NOVEMBER 18, 2014
Lakini kwa ujumla tuna watoto wanane, ikiwa ni pamoja na watatu ambao mume wangu alipata
na mke wake wa kwanza.
Hawa wakubwa mmoja ni Mbunge, mwingine ni daktari na mwingine ni mtaalamu wa
Teknohama (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano).
Kwani ile skendo ya yule dogo wa kikongo ni kweli mkuu au maneno ya watu tu mtaani...?.
Kama Mwanaasha ndio huyo mtoto ambae anasema anasoma kidato cha sita basi hakupelekwa A-Level, kama ndie mwenyewe basi atakuwa ali-reseat kwa sababu aliomaliza nao kwa sasa tayari wapo chuo.Mwaka juzi Mwanaasha alifeli peke yake pale shule ya feza kidato cha nne kwa div 4 mbovu hivi inawezekana akawa alipelekwa A Level?
Hakuna mke mkubwa... hao wengine walishatengana na JK kitambo. Hao akina Bi Sitti na Khadija, wote walikuwa wake wa Rais Mwinyi wakati Mwinyi akiwa Ikulu.Huyo Mke wa Kwanza wa Mhe Rais JK anaitwa nani na yuko wapi?
Mbona hatajwi kabisa? Wakati wa awamu ya Mwinyi tuliwafahamu wote Sitti na Khadija, ingawa aliyekuwa akivuma ni Sitti. Lakini huyu wa kwanza wa Mhe Kikwete hatajwi kabisa.
SWALI LA KICHOKOZI: Kwanini wake wadogo huwa wanawa overshadow wake wakubwa. Chunguza utaona ukweli wa maoni yangu.
Hakuna mke mkubwa... hao wengine walishatengana na JK kitambo. Hao akina Bi Sitti na Khadija, wote walikuwa wake wa Rais Mwinyi wakati Mwinyi akiwa Ikulu.
Athen: First Lady amesema kwamba hao watoto wengine wanne ni wa Mke Mkubwa! Sasa unataka kutuaminisha kwamba first lady AMESEMA UONGO?
Hata kama ni kweli huyo MKE MKUBWA walishatengana na Mhe Kikwete, maswali yangu bado yako valid
Au kwa kuwa walishatengana na Mhe. Kikwete basi hata kufahamu jina lake ni DHAMBI?!
- Je, huyo MKE MKUBWA anaitwa nani?
- Je huyo MKE MKUBWA yuko wapi na anafanya nini?
Hajasema ni wa mke mkubwa bali amesema ni wa mke wa kwanza. Kuna tofauti kati ya mke mkubwa na mke wa kwanza. Unaposema mke mkubwa maana ake ni kwamba bado yupo ndani ya ndoa na wake wengine... mke ambae bado yupo kwenye ndoa huwezi kumuita mke wa kwanza... heshima yake ni mke mkubwa. Ukisikia mtu anaitwa mke wa kwanza, then huyo hayupo kwenye ndoa. Hivyo basi, Salma hajasema uongo kwavile alichosema yeye ni mkwe wa kwanza na sio mkubbwa... rejea hayo mahojiano.Athen: First Lady amesema kwamba hao watoto wengine wanne ni wa Mke Mkubwa! Sasa unataka kutuaminisha kwamba first lady AMESEMA UONGO?
Hata kama ni kweli huyo MKE MKUBWA walishatengana na Mhe Kikwete, maswali yangu bado yako valid
Au kwa kuwa walishatengana na Mhe. Kikwete basi hata kufahamu jina lake ni DHAMBI?!
- Je, huyo MKE MKUBWA anaitwa nani?
- Je huyo MKE MKUBWA yuko wapi na anafanya nini?
watoto 8?huyu mama bwana mbona hawataji wale mapacha wanaosoma dubai na kale ka chekechea kule kwa assas?idadi ya watoto ina mushkeli
hivi pharmacist ni daktari? maana salama ni mfamasia sasa sijui ni daktari pia anyway..tuje mtaalam wa technohama huyu mama yake alikuwa mpishi pale dodoma hotel ,mbunge na daktari mama yao mmoja kwa hiyo idadi ya wake nayo inachanganya..yule wa mwananyamala naye! mama inabidi apigwe interview ya pili tuwekane sawa
Athen: First Lady amesema kwamba hao watoto wengine wanne ni wa Mke Mkubwa! Sasa unataka kutuaminisha kwamba first lady AMESEMA UONGO?
Hata kama ni kweli huyo MKE MKUBWA walishatengana na Mhe Kikwete, maswali yangu bado yako valid
Au kwa kuwa walishatengana na Mhe. Kikwete basi hata kufahamu jina lake ni DHAMBI?!
- Je, huyo MKE MKUBWA anaitwa nani?
- Je huyo MKE MKUBWA yuko wapi na anafanya nini?
Mke mkubwa wa JK alishafariki. Alikua mtu wa Bagamoyo. Ndo mama yao kina Riz moko.
Hawa wazee wana matatizo gani? JK ana mtoto mdogo, DR. Slaa vile vile; mbona Mzee Mkapa hakufanya huu utoto wa kuzaa watoto waje kulelewa na watu wengine?