Mfahamu Salma Kikwete

Mfahamu Salma Kikwete

Mama Salma kikwete

MAMA SALMA ;

Swali: Ni ipi historia fupi ya maisha yako?
Jibu: Mimi naitwa Salma Rashid. Nilizaliwa katika wilaya ya Lindi Mjini, Novemba 30, 1963. Baba yangu anaitwa Rashid Yussuf Mkwachu na mama yangu ni Mwanapaza binti Shariff.

Kwa asili, baba yangu anatoka Sarai, Rufiji mkoani Pwani na mama yangu anatoka Lindi.


Katika familia yetu, upande wa mama, tulizaliwa watoto saba, wasichana watatu na wavulana wanne. Mimi ni wa sita, ila kwa baba ni wa pili, nina kaka yangu na mdogo wangu. Nina wadogo zangu wengine watatu ambao tunachangia baba, kati yao wavulana ni wawili na msichana mmoja.

Baba yangu alikuwa mfanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwaka 1977 na kituo chake cha kazi kilikuwa Mtwara, wakati baba anafanya kazi, mama alibaki Lindi, hali ambayo ilinifanya nipate elimu yangu ya msingi kuanzia mwaka 1973 katika shule nne tofauti; Nnaida ya Mikindani, Mtwara, Rahaleo ya Lindi, Ligula (Mtwara) na Stadium, Lindi ambapo nilimalizia elimu yangu ya msingi.

Ingawa wakati ule nafasi za kujiunga na sekondari zilikuwa chache, namshukuru Mwenyezi Mungu nilikuwa miongoni mwa waliochaguliwa.

Swali: Wewe unatoka Lindi na Mheshimiwa Rais anatoka Pwani, mlikutana wapi na mlifunga ndoa lini?

Jibu: Kila jambo hupangwa na Mwenyezi Mungu. Nilikutana na mume wangu mwaka 1985 nikiwa katika Chuo cha Ualimu Nachingwea, yeye akiwa ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Nachingwea.

Tulipokutana kwa mara ya kwanza kitu ambacho aliniambia ni kwambanakupenda na nataka nikuoe kusema kweli hakusema anataka awe rafiki yangu au vipi, sijui kama huo ndio utaratibu wa kina baba wote, lakini nasema kutoka moyoni, hicho ndicho alichoniambia na mimi kwa sababu nilimpenda, nilimkubalia, ingawa uamuzi wangu sikuutoa papo hapo.

Tulifunga ndoa Machi 30, 1989 wakati huo yeye akiwa Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini.

Swali: Baada ya kufunga ndoa ikawaje?

Jibu: Baada ya kufunga ndoa nilifanya taratibu za uhamisho kwa mujibu wa taratibu za kikazi. Kwa hiyo nilihamia Dar es Salaam ambapo niliungana na mume wangu na tukawa tunakaa Mikocheni mtaa wa Ursino.

Swali: Katika miaka yenu hii 20 ya ndoa mmejaaliwa kupata watoto wangapi na wako wapi?

Jibu: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu tumejaaliwa watoto watano kati yao wanne ni wa kiume na mmoja wa kike. Wote wanasoma, wa kwanza yuko kidato cha sita, wa pili cha nne, wa tatu cha pili, wa nne yuko darasa la tano na wa mwisho yuko darasa la tatu.

Lakini kwa ujumla tuna watoto wanane, ikiwa ni pamoja na watatu ambao mume wangu alipata na mke wake wa kwanza.

Hawa wakubwa mmoja ni Mbunge, mwingine ni daktari na mwingine ni mtaalamu wa Teknohama (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano).

Ila siku zote napenda kusema tuna watoto wanane kwa sababu hata hawa wakubwa nimewalea mimi tangu wakiwa na umri mdogo sana. Kwa hiyo hawa ni watoto wangu sawa sawa na hawa niliowazaa mimi.

Swali: Una mipango gani ya baadaye?

Jibu: Kwa jumla mipango yetu katika taasisi ya WAMA ni mikubwa sana. Sasa ndio tumeanza, tuna shule moja tu, lakini tunatarajia kuongeza shule nyingi zaidi katika maeneo tuliyoyakusudia kwa sababu watoto wanaohitaji msaada wako wengi sana.
 
TUESDAY, NOVEMBER 18, 2014

#‎BREAKING_NEWZ‬ MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUKA JINSI ALIVYOKUTANA NA MH KIKWETE MPAKA KUOANA.





Swali: Ni ipi historia fupi ya maisha yako?

Jibu: Mimi naitwa Salma Rashid. Nilizaliwa katika wilaya ya Lindi Mjini, Novemba 30, 1963.
Baba yangu anaitwa Rashid Yussuf Mkwachu na mama yangu ni Mwanapaza binti Shariff.
Kwa asili, baba yangu anatoka Sarai, Rufiji mkoani Pwani na mama yangu anatoka Lindi.

Katika familia yetu, upande wa mama, tulizaliwa watoto saba, wasichana watatu na wavulana
wanne. Mimi ni wa sita, ila kwa baba ni wa pili, nina kaka yangu na mdogo wangu. Nina
wadogo zangu wengine watatu ambao tunachangia baba, kati yao wavulana ni wawili na
msichana mmoja.


Baba yangu alikuwa mfanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwaka 1977 na
kituo chake cha kazi kilikuwa Mtwara, wakati baba anafanya kazi, mama alibaki Lindi, hali
ambayo ilinifanya nipate elimu yangu ya msingi kuanzia mwaka 1973 katika shule nne tofauti;
Nnaida ya Mikindani, Mtwara, Rahaleo ya Lindi, Ligula (Mtwara) na Stadium, Lindi ambapo
nilimalizia elimu yangu ya msingi.


Ingawa wakati ule nafasi za kujiunga na sekondari zilikuwa chache, namshukuru Mwenyezi
Mungu nilikuwa miongoni mwa waliochaguliwa.

Swali: Wewe unatoka Lindi na Mheshimiwa Rais anatoka Pwani, mlikutana wapi na mlifunga
ndoa lini?

Jibu: Kila jambo hupangwa na Mwenyezi Mungu. Nilikutana na mume wangu mwaka
1985 nikiwa katika Chuo cha Ualimu Nachingwea, yeye akiwa ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya
Nachingwea.


Tulipokutana kwa mara ya kwanza kitu ambacho aliniambia ni kwambanakupenda na nataka
nikuoe kusema kweli hakusema anataka awe rafiki yangu au vipi, sijui kama huo ndio utaratibu
wa kina baba wote, lakini nasema kutoka moyoni, hicho ndicho alichoniambia na mimi kwa
sababu nilimpenda, nilimkubalia, ingawa uamuzi wangu sikuutoa papo hapo.


Tulifunga ndoa Machi 30, 1989 wakati huo yeye akiwa Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini.
Swali: Baada ya kufunga ndoa ikawaje? Jibu: Baada ya kufunga ndoa nilifanya taratibu za
uhamisho kwa mujibu wa taratibu za kikazi.


Kwa hiyo nilihamia Dar es Salaam ambapo niliungana na mume wangu na tukawa tunakaa
Mikocheni mtaa wa Ursino.

Swali: Katika miaka yenu hii 20 ya ndoa mmejaaliwa kupata watoto wangapi na wako wapi?
Jibu: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu tumejaaliwa watoto watano kati yao wanne ni wa kiume
na mmoja wa kike. Wote wanasoma, wa kwanza yuko kidato cha sita, wa pili cha nne, wa tatu
cha pili, wa nne yuko darasa la tano na wa mwisho yuko darasa la tatu.

Lakini kwa ujumla tuna watoto wanane, ikiwa ni pamoja na watatu ambao mume wangu alipata
na mke wake wa kwanza.


Hawa wakubwa mmoja ni Mbunge, mwingine ni daktari na mwingine ni mtaalamu wa
Teknohama (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano).

Ila siku zote napenda kusema tuna watoto wanane kwa sababu hata hawa wakubwa nimewalea
mimi tangu wakiwa na umri mdogo sana. Kwa hiyo hawa ni watoto wangu sawa sawa na hawa
niliowazaa mimi.

Swali: Una mipango gani ya baadaye?
Jibu: Kwa jumla mipango yetu katika taasisi ya WAMA ni mikubwa sana. Sasa ndio tumeanza,
tuna shule moja tu, lakini tunatarajia kuongeza shule nyingi zaidi katika maeneo tuliyoyakusudia
kwa sababu watoto wanaohitaji msaada wako wengi sana.



source: AfricaMishenBLOG











 
habari ya jana ndo waiita breaking news?
 
mwabieni amwabie kwamba mume wake ccm ameiua, 2015 hapakaliki tena
 
Mwaka juzi Mwanaasha alifeli peke yake pale shule ya feza kidato cha nne kwa div 4 mbovu hivi inawezekana akawa alipelekwa A Level?
 
Mbona a nakumbuka walivyokutana enzi hizo ama ameanza kuonja machungu ya Tezi dume?

Kwani ile skendo ya yule dogo wa kikongo ni kweli mkuu au maneno ya watu tu mtaani...?.
 
Hawa wazee wana matatizo gani? JK ana mtoto mdogo, DR. Slaa vile vile; mbona Mzee Mkapa hakufanya huu utoto wa kuzaa watoto waje kulelewa na watu wengine?
 
Hapo ni Salale Rufiji na siyo Sirali..kijiji hicho ni noma sana..ndani ya Delta ya Rufiji hapo kuna wachawi kinoma halaf life ni tait sana..ndo maana ile shule ya WAMA ameenda kuijenga Nyamisati kule ndo kwenye asili ya Baba ake mzee Mkwachu na wajomba zake Mzee Swamadu Hassani..ingawa saivi mzee haishi tena kule..
 
Kwa hiyo sasa jk anapigiwa tu
Watoto wengine hajawataja banaa
 
hii nayo breaking news? Ingekuwa breaking news kama angesema niliolewa nikiwa bikra! kwa kawaida kabisa mwanume anapomuona mwanamke cha kwanza huanza kuwaza jinsi atavompata apite faster akimbie zake. Mtu anayeanza na "neno nataka kukuoa" basi huyo lazima anashida fulani. Haya wake zetu ki ukweli siku ya kwanza unapiga unamchukulia kuwa malaya tu, mnazoeana anakufanya umapenda then ndoa. Hivi kwa wasaifu wa kikwete hii hadithi bora angesimulia wanawe huko Ikulu, watu wazima tunajua mzima alianza kupiga akanogewa na viuno vya kimakonde. Halafu mama alikuwa mtoto wa shule, kwa hiyo ni wazi hawezi kusema raisi alianza kula mzigo nikiwa nasona chuo, itakua fedheha, ila watu wazima tumemuelewa mama, kwa miaka minne toka wamekutana 1985 mpaka ndoa 1989 mzee anajipigia katoto kashule hana shida.
 
Hawa wazee wana matatizo gani? JK ana mtoto mdogo, DR. Slaa vile vile; mbona Mzee Mkapa hakufanya huu utoto wa kuzaa watoto waje kulelewa na watu wengine?

Bi/Bw Kasheshe subiri ukifa wanao watajibu swali hili kama wapo!
 
Kwani Mama Salma anagombea Urais? Wasifu wake ulishawekwa hadharani na wote tunajua kuwa yeye ni first lady! So what?... au Spin Doctors wa Lumumba ndo mmekuja na santuri ya kupotezea ule wizi wa ESCROW?... Watanzania hawadanganyiki! This time TEZI JIKE zitawabana...
 
nimependa mama alivyoongea, kaongea vizuri kama mwanamke na mama... sijapenda jinsi watu wanavyocomment humu hasa kuhusu mambo ya prostate au kupigiwa etc.

I am one of people who dont like JKs appraoch to many things, but this is about family, hebu basi tumpe heshima mama Salmaaa!!!???
 
Ooooo...aaaaa
Mmmm...mmoooo
Nilijua mtasema , semeniii
Siwakatazi, kusemaaa.......
.....................
......
Hamnitii maradhi
i
Nimerudi kwa muadhama
Profesa wa Mapenziii
kwenu nilishahamaaaa
Huku nalishwa nyamaa na mishikaki ya mbuziiiiii
OOoooMnashojoa lawama sio utendaji wa kazii....

......
Simuachi......
Mkinisema kila mara mie ndiyo uzima wanguuuu
.........
Najua kinawakera kurudi kwa 'hani' wanguuu..

=Na Hadija Yusufu(Sauti ya Chiriku)-Jahazi
 
Huyu mama kapata shida sana kumtunza yule bwana mdogo Miraji...

Wakati huo Miraji akiwa kijana mdogo na ndio kaanza kuvuta bangi alivyokuwa akisumbuana na waalimu wa Mbuyuni kama Mwl Omari n.k...

Basi kila siku Mama Salma ni kupelekewa mashtaka ya 'mwanaye'....
 
Back
Top Bottom