Tunajifunza nini sasa kwa taarifa hii...
MAWAZO UJENZI...siyo alipiga four alizunguka mmbuyu aka division O.Na mwanaisha yuko wapi?? Maana umesema ana watoto wa5 wote wako secondary na watatu ni wasomi Riz1,Salama au mwite Dr Mrisho na Miraji!! Je mwanaisha yuko wapi?? Wakati alipiga four pale feza??
Kama hujui kitu kaa kimya!!
Mkuu Mwanaisha mbona nimeshamuelezea.kwa mama salma wakiume wanne wa kike mmoja,au umerogwa wewe?,
Mkuu Mwanaisha mbona nimeshamuelezea.kwa mama salma wakiume wanne wa kike mmoja,au umerogwa wewe?,
mganga aliyekuroga simjui.labda ameshakufa.mm sikuwezi kukufahamisha.coz una ..............
ngoja mi nikueleweshe hi topic hata kama kaileta leo lakini haijaandikwa leo itakua na mda mwanaasha for now yupo marekani collageKijana unapotaka kuhadaa uma jipange!! Umesema wamejaliwa kupata watoto watano,wanne wa kiume na mmoja wa kike wote wanasoma!!
Wa kwanza form six,wa pili form four,wa tatu form two,wa nne darasa la tano na last born la tatu!!!
Umesema wa kike ndo mwanaisha!! Sasa mwanaisha ndo yuko form ngapi?? Maana form four mwaka 2012 alipata four!! Ina maana alirudia form four?? Kama yuko six kafikaje?? Maana kama ka reseat mwaka jana 2013 and matokea ndo yametoka mwezi juzi tu hapa!! Kajipange kwanza!! Unapenda kufagilia familia za wanene ili upewe ulaji?? umekosea sasa na hzo buku saba leo hupati
ngoja mi nikueleweshe hi topic hata kama kaileta leo lakini haijaandikwa leo itakua na mda mwanaasha for now yupo marekani collage
Kijana unapotaka kuhadaa uma jipange!! Umesema wamejaliwa kupata watoto watano,wanne wa kiume na mmoja wa kike wote wanasoma!!