Hii inaweza kuwa mbaya kwa afya ya wanaoishi kwenye ile nyumba. Tuwe waangalifu sana wakati wa kutumia dawa za kupuliza. Ubaya wake ni kuwa madhara hayaonekani pale pale bali huchukuwa muda mrefu.Mimi nilitumia hayo maji ya moto lakini bure,tatizo wanasambaa sana.
Unaweza jikuta umemwaga maji ya moto kwenye kitanda kumbe wapo kwenye makabati unakuwa hujafanya kazi.
Mimi nilikwenda kariakoo sokoni nikanunua dawa moja hivi huuzwa 5000 unachanganya maji ya lita5,tafuta pampu moja hivi huuzwa 3500.
Pulizia hiyo nyumba nzima ndan ya week moja humo ndani hutoana hata mpu wala nzi akilandalanda
Chukua sabuni ya unga hasa erio changanya na chumvi nyingi kisha paka kila sehemuHabari wakuu!. Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kumaliza kunguni kwa haraka. Msicheke nafanya usafi wote lakini bado nimepulizia rungu wapi, nasijui niliwatoa japo nna wasiwasi na kwenye basi moja la mkoani.
Ndio maana mnatoka huko na madigrii na miphd uchwara kama ya jiwe na kabudi kwa ajili ya kung'atwa na kunguni
Pole mkuuu hao viumbe ni hatariMimi iko siku nilitoa kitanda nikakipulizia dawa nikasafisha chumba pamoja na cha watoto wangu kazi hiyo ilichukua weekend yangu nzima
Vitanda nikahamishia Stoo godoro nikaliweka chini huku nikijisemea moyoni kwangu kuwa kiama chao kimewafikia
Nikalala kwenye godoro kama wiki hivi kabla ya usiku mmoja wa Mvua Tandu akainiigilia kwenye shuka na kuning'ata sintosahau maumivu yale
Mkuu bora wale kunguni wangening'ata kwa mwaka mzima mfululizo bila kupumzika kuliko yule TanduPole mkuuu hao viumbe ni hatari
Tandu aling’ata sehemu gani?Mimi iko siku nilitoa kitanda nikakipulizia dawa nikasafisha chumba pamoja na cha watoto wangu kazi hiyo ilichukua weekend yangu nzima
Vitanda nikahamishia Stoo godoro nikaliweka chini huku nikijisemea moyoni kwangu kuwa kiama chao kimewafikia
Nikalala kwenye godoro kama wiki hivi kabla ya usiku mmoja wa Mvua Tandu akainiigilia kwenye shuka na kuning'ata sintosahau maumivu yale
AchaToa kila kitu ocha chumba na maji yaliochemka kabisa
Alishakujibu?Tandu aling’ata sehemu gani?
Nasikia tandu wanafata mende chumbaniMimi iko siku nilitoa kitanda nikakipulizia dawa nikasafisha chumba pamoja na cha watoto wangu kazi hiyo ilichukua weekend yangu nzima
Vitanda nikahamishia Stoo godoro nikaliweka chini huku nikijisemea moyoni kwangu kuwa kiama chao kimewafikia
Nikalala kwenye godoro kama wiki hivi kabla ya usiku mmoja wa Mvua Tandu akainiigilia kwenye shuka na kuning'ata sintosahau maumivu yale
UbavuniAlishakujibu?
Kwa sababu ulikuwa ni usiku wa Mvua nadhani edha alikuwa anakimbia maji au alikuwa kwenye mishemishe zake kitu ambacho kama ningelala kwenye kitanda changu kama kawaida yangu tusingekutana.Nasikia tandu wanafata mende chumbani
Alining'ata sikioni nikiwa nimelala sitasahau aiseeKwa sababu ulikuwa ni usiku wa Mvua nadhani edha alikuwa anakimbia maji au alikuwa kwenye mishemishe zake kitu ambacho kama ningelala kwenye kitanda changu kama kawaida yangu tusingekutana.
Ila usiku ule sikulala nikawa najuta kivyangu
Pole sana Mkuu yaani naona alikuharibia siku nzima.Alining'ata sikioni nikiwa nimelala sitasahau aisee
Just Hahaha!!... Kumbe kutung'ata kote huko huwa wana Kiu tuu?paka maji ya kunywa kwenye pembe za kitanda