Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Mkuu wakati mwingine kabla hujaanzisha thread ebu jaribu kusearch kwa kichwa cha habari kinachofanana na thread yako uloikusudia, kwa sababu unaweza kuona kama unaleta thread mpya kumbe imejadiliwa mda mwingi huko nyuma.

Search thread ya kunguni ipoo humu utajifunza mengi huko..
Sawa Mkuu
 
Mkuu dawa ya kunguni sio dawa za kununua madukani... hawa wadudu hawarespond na hizo dawa hata kidogo.

Solution ni kuchemsha maji ya motoooo then mwagia chaga na kitanda chote kwa ujumla.
Then chukua godolo ulipige pasi(ule moto wa mwisho kabisa) .
Then fua mashuka kwa maji ya motooo sana..

Rudia hio procesure kil weekend kwa mwezi mmoja utakuwa umewamaliza kunguni woote
Ndo leo nasikia kwamba godoro huwa linapigwa pasi
 
Mimi nilitumia hayo maji ya moto lakini bure,tatizo wanasambaa sana.

Unaweza jikuta umemwaga maji ya moto kwenye kitanda kumbe wapo kwenye makabati unakuwa hujafanya kazi.

Mimi nilikwenda kariakoo sokoni nikanunua dawa moja hivi huuzwa 5000 unachanganya maji ya lita5,tafuta pampu moja hivi huuzwa 3500.

Pulizia hiyo nyumba nzima ndan ya week moja humo ndani hutoana hata mpu wala nzi akilandalanda
Dah ulifanyaje sasa..
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mimi nilitumia hayo maji ya moto lakini bure,tatizo wanasambaa sana.

Unaweza jikuta umemwaga maji ya moto kwenye kitanda kumbe wapo kwenye makabati unakuwa hujafanya kazi.

Mimi nilikwenda kariakoo sokoni nikanunua dawa moja hivi huuzwa 5000 unachanganya maji ya lita5,tafuta pampu moja hivi huuzwa 3500.

Pulizia hiyo nyumba nzima ndan ya week moja humo ndani hutoana hata mpu wala nzi akilandalanda
Inaitwaje hiyo dawa
 
nenda kwenye maduka ya madawa ya kilimo...

nunua dawa brand yoyote.. ambayo ni diaznon chemical.. kisha fuata maelezo ya dawa.. kamwagie nyumba nzima.. hakuna kunguni wala nzi, mbu, mende atabaki.. ila inashauriwa uhame na wewe kwa muda maana hiyo dawa ni sumu kali sana na hatari kwa binadamu sana.. ukivuta sana unaweza pata cancer
 
Kuna jamaa aliwa beba hadi London nilisikia watu wa Bbc waki lalamika..Alafu huyo mdudu ana roho ngum kuliko mdudu mwingine yeyote. Ana uwezo wa kukaa miezi sita hajala kitu amejibanza tu.
 
Mkuu trust me kunguni humuui kwa chemicals.
Wale wadudu ni wagumu kufa sijapata kuona...mimi nimepambana na kunguni kwa njia zote nimekuja kuwapiga kwa njia ya maji ya moto tu
Mkuu Mimi nilifanikiwa kuua na kumaliza kunguni wote, kuna nyumba nilihamia kulikua na kunguni hadi niliwaza kuhama, siku moja nilienda kkoo shimoni kule wanakouza bidhaa za kilimo, nilinunua dawa flani sikumbuki jina, ila ni ya maji ipo kwenye chupa nyeupe inamfuniko mwekundu, unaichangaya na maji nikapulizia chumba kizima kitandani na sofa, kuanzia siku hiyo sijawahi kuona kunguni kwangu.
 
Kuna jamaa aliwa beba hadi London nilisikia watu wa Bbc waki lalamika..Alafu huyo mdudu ana roho ngum kuliko mdudu mwingine yeyote. Ana uwezo wa kukaa miezi sita hajala kitu amejibanza tu.
hio ya london naikumbuka, aliwasambaza kwenye ndege kama mchele, wahuni walivyotua airport wakaona kurudi futuhi ni jau, wakashuka fasta wakaanza kudanga, kila aliekua airport alibeba wake,ilikua gumzo mpaka BBC,
BTW mm kila nikiwaona nawashukuru sana bila hawa ninge dunda advance japo nilikua siishiwi manundu, nina mpango wa kuwafuga kulipa fadhira

Na wana roho ngumu na haruf mbaya kweli
 
Mkuu trust me kunguni humuui kwa chemicals.
Wale wadudu ni wagumu kufa sijapata kuona...mimi nimepambana na kunguni kwa njia zote nimekuja kuwapiga kwa njia ya maji ya moto tu
Kuna dawa inaitwa LAVA inachanganywa na maji. ukiweza kuipiga atleast mara 2 ndani ya wiki hao wadudu watakuwa ni historia.
 
Habari wakuu!. Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kumaliza kunguni kwa haraka. Msicheke nafanya usafi wote lakini bado nimepulizia rungu wapi, nasijui niliwatoa japo nna wasiwasi na kwenye basi moja la mkoani.
Uliwatoa gesti bubu kwenye vyumba vya shot time. Hata mimi lilinikuta kipindi fulani. Nilijiuliza sana nimepata wapi mbegu. Baada ya kuingia gesti fulani uswazi kabla madam hajaja nilianza kukagua mazingira. Nilichokutana nacho nilimuona abdala kichwa wazi akinyongonyea kama kasutwa uswahilini.
 
Mkuu dawa ya kunguni sio dawa za kununua madukani... hawa wadudu hawarespond na hizo dawa hata kidogo.

Solution ni kuchemsha maji ya motoooo then mwagia chaga na kitanda chote kwa ujumla.
Then chukua godolo ulipige pasi(ule moto wa mwisho kabisa) .
Then fua mashuka kwa maji ya motooo sana..

Rudia hio procesure kil weekend kwa mwezi mmoja utakuwa umewamaliza kunguni woote
Aongezee na mafuta ya taa kunyunyiza kwenye chaga izo na Kona ambazo wapo wengi
 
Back
Top Bottom