Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Hakuna dawa ya kunguni nzuri kuliko mazingira ya usafi. Utapiga dawa za makemikali lkn kama mazingira ni machafu watarudi tu. Ni kama panya. Kama nyumba na mazingira yanayoizunguka ni safi. Forget panya. Kama mazingira ni machafu hata upige DDT utakula sumu mwenyewe
Si kweli
 
Endelea kukaa kwenye uchafu. Ila kila nikisikia neno kunguni au panya ujue panahusishwa na uchafu. Mfano mdogo tu huku Mbezi beach sijawahi sikia kunguni au panya. Lkn maeneo kama Kigogo na vingunguti kunguni mpaka gesti
 
Husiano wa kunguni na uchafu ni kwamba, wachafu wengi ndio watunzaji wa kunguni yaani hana muda wa kudeal nao wanabaki kusambaa kwa yeyote atakaye katiza mitaa hiyo

Hata uwe msafi kiasi gani siku ukiwabeba hao jamaa wakaingia nyumbani kwako hakuna rangi utaacha ona hata uwe 5 star hotel au ikulu au popote unadhani patakua na usafi wa kiwango cha mwisho

Wale jamaa wana kula damu tuuuu wala hawaishi kwenye uchafu
 
Mkuu usihangaike na dawa za dukani. Mimi ni mhanga. Toa neti fumua kitanda, chemsha maji mwaga kila kona, fua neti baada ya kuiloweka na maji ya moto. Fanya hivo mara 2 utakuja kutuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii ndo dawa pekeee... Me nilimwaga maji ya moto waliiva wote mpaka mayai yaoo kwisha habari yaoo hadi leo sijawahi waona tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wanakufa tu hawa jamaa? Kuna binti wa kazi alifuletea kunguni. Zilifutesa sana ila dawa tulipiga na mazingira Masafi na wallisha. Nenda maduka ya dawa za mifugo wana dawa. Sikumbuki hata dawa niliyotumia. Ila usafi na kuondoa matandiko nje pulizia dawa uyaache kwenye jua siku nzima kwa siku za kutosha watakufa tu..
 
Who was looking for bed bugs treatment. A friend did this. I copied this and saved in my notes. So sharing and caring.

Mix 100ml dettol + 1 cup Omo(wash powder) + 2 litre water. Spray on bed and mattress and watch them fall and die. Hang out to dry. Repeat again after 2 days just to be sure wameisha."

is it?
 
Hakuna dawa ya kunguni nzuri kuliko mazingira ya usafi. Utapiga dawa za makemikali lkn kama mazingira ni machafu watarudi tu. Ni kama panya. Kama nyumba na mazingira yanayoizunguka ni safi. Forget panya. Kama mazingira ni machafu hata upige DDT utakula sumu mwenyewe
Mmh, ndugu si kweli haswa kwa panya, panya washenzi sana hata five star waweza kuwakuta. Walimuhamisha Buhari kwenye ofisi yake kwa muda sasa sijui na hiyo ikulu ilikuwa chafu kama kwetu huku uswahilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kukaa kwenye uchafu. Ila kila nikisikia neno kunguni au panya ujue panahusishwa na uchafu. Mfano mdogo tu huku Mbezi beach sijawahi sikia kunguni au panya. Lkn maeneo kama Kigogo na vingunguti kunguni mpaka gesti

Kwa mara ya kwanza kunguni niliwaona mbeZi beach tena sio pachafu ni nyumba saafi tu
Kunguni hawaletwi na uchafu hiyo dhana pnfoa akilini
 
Hakuna dawa ya kunguni nzuri kuliko mazingira ya usafi. Utapiga dawa za makemikali lkn kama mazingira ni machafu watarudi tu. Ni kama panya. Kama nyumba na mazingira yanayoizunguka ni safi. Forget panya. Kama mazingira ni machafu hata upige DDT utakula sumu mwenyewe

Kunguni chakula chao ni damu yetu sasa kama ukienda sehemu ambapo wapo wanapata lift kwenye nguo zako na unawapeleka huko unakosema pasafi halafu kama alikuwa na mimba ndio kabisa watajaa hata kama unalala 5*
Hakuna wadudu wabaya kama hao

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kwa mara ya kwanza kunguni niliwaona mbeZi beach tena sio pachafu ni nyumba saafi tu
Kunguni hawaletwi na uchafu hiyo dhana pnfoa akilini
Mcheki vzr mwenyeji wako. Kunguni, chawa na panya wanastawi kwenye uchafu.
Mabasi yenye kunguni ni yale ya Kigoma, Geita na Bukoba i.e kwenye watu wachafu. Sijawahi ona kunguni magari ya Tanga, Moshi na Arusha.
Kama unakunguni jitafakari
 
Back
Top Bottom