Hofu ya kunguni Ufaransa

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
IMG-20231004-WA0025.jpg

Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma.

Kufuatia kuwepo kwa picha mbalimbali za video mitandaoni zikionesha kuwepo kwa wadudu hao hasa katika jiji la Paris kwenye treni za mwendokasi, hospitali, nyumba za sinema na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles-de-Gaulle, Serikali ya Ufaransa imesema inaelekeza juhudi zake katika kupambana na kunguni hao.

"Jimbo linahitaji haraka kuweka mpango wa utekelezaji dhidi ya janga hili wakati Ufaransa inajiandaa kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki na Paralympic 2024," ameandika Naibu Meya wa Paris, Emmanuel Gregoire katika barua yake kwa Waziri Mkuu Elisabeth Borne.
 
View attachment 2771374

Washike adabu zao kwa kuendekeza umalaya.
 
Duh! Mi najua kunguni ni kwa masikini wa afrika tu kumbe hata ulaya wapo! Kama tu ulaya wapo watakosekanaji masaki, oysterbay na magogoni/chamwino? Bora ung'atwe na mbu kuliko kunguni. Mbu ni wastaarabu japo ni hatari kwa malaria, kuishi na kunguni ni uchafu na ni kinyaa, heri uishi na mbu. Kunguni ni wasumbufu hulali vizuri kitandani, mbu unaweza kuwadhibiti kwa net
 
View attachment 2771374

Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma.

Kufuatia kuwepo kwa picha mbalimbali za video mitandaoni zikionesha kuwepo kwa wadudu hao hasa katika jiji la Paris kwenye treni za mwendokasi, hospitali, nyumba za sinema na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles-de-Gaulle, Serikali ya Ufaransa imesema inaelekeza juhudi zake katika kupambana na kunguni hao.

"Jimbo linahitaji haraka kuweka mpango wa utekelezaji dhidi ya janga hili wakati Ufaransa inajiandaa kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki na Paralympic 2024," ameandika Naibu Meya wa Paris, Emmanuel Gregoire katika barua yake kwa Waziri Mkuu Elisabeth Borne.
ITAKUA MWIJAKU HUYO KAENDA NAO
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom