Mfahamu malkia wa kuzimu

Mfahamu malkia wa kuzimu

Malkia wa kuzimu ni Lilith ambaye ndo alikuwa mke wa kwanza wa adamu na ndo aliumbwa kama adamu.... hakuumbwa kutoka katka ubavu wa adamu.... hivyo nae alikuwa anataka mamlaka kama adamu....

Ndipo alipofukuzwa kutoka edeni na akaenda nyikani na kuanza kuzini na wale fallen angels na kuzaa nao .....
Huyu hapa
c5fb0abf675741648769dd66c792d627.jpg
 
Malkia wa kuzimu ni Lilith ambaye ndo alikuwa mke wa kwanza wa adamu na ndo aliumbwa kama adamu.... hakuumbwa kutoka katka ubavu wa adamu.... hivyo nae alikuwa anataka mamlaka kama adamu....

Ndipo alipofukuzwa kutoka edeni na akaenda nyikani na kuanza kuzini na wale fallen angels na kuzaa nao .....
Mkuu hii nilikuwa sijaipata hebu funguka zaidi habari hii Inapatikana kwenye Kitabu gani
 
Ni hivi kipindi adamu ameumbwa na Mungu akamuona kuwa ni mpweke na inabidi amfanyie mtu wakufanana nae kuwa mke wake ni baada ya adamu kulalamika kuwa kipindi anapitishiwa wanyama ambao wapo paired alimuomba Mungu apate mwenzi wake....
Ndipo Mungu akamuumba Lilith kutoka mavumbini. Ila kulichomfanya Lilith kutokaa Edeni ni kuwa kipindi cha kufanya mapenzi alikuwa hataki kuwa chini ya adamu akidai kuwa ni submissive act, kuonekana ni mtumwa wakati wote ni sawa kwakuwa wote wametoka mavumbini na wako sawa...

Adamu alizidi kumlazimisha ndipo lilith akaamua kulitaka jina la Mungu na kupaa kutoka edeni na kuelekea katika bahari ya damu "Red Sea" ... Ndipo adamu akamwambia Mungu yaliyotokea na Mungu akawatuma malaika waende kum fetch Lilith huko red sea ili arudi bustanini.... Ila lilith alikataa....

Kuna mengi kuhusu lilith....ila ana sifa moja ya kuwafata wanaume katka ndoto na kuzini nao....
Yupo katika kila dini ila ana majina tofauti tofauti
 
Oooh....Asante....Huyo ndio wanamuita Jini mahaba?
 
Malkia wa kuzimu ni Lilith ambaye ndo alikuwa mke wa kwanza wa adamu na ndo aliumbwa kama adamu.... hakuumbwa kutoka katka ubavu wa adamu.... hivyo nae alikuwa anataka mamlaka kama adamu....

Ndipo alipofukuzwa kutoka edeni na akaenda nyikani na kuanza kuzini na wale fallen angels na kuzaa nao .....
Mkuu

Mimi ni mKristo, je unaweza kunitajia ni sehemu gani au mstari gani katika Biblia wanamuelezea huyu "Lilith"

Asante.
 
Sio Biblia hii ila katika vitabu vya dini vya Wayahudi vinamtaja lilith kama ni mke wa kwanza wa adamu
 
Oooh....Asante....Huyo ndio wanamuita Jini mahaba?
Yeah inawezekana akawa jini mahaba..... ila vitabu vinasema yeye alizini na wale malaika waliotumwa kwenda kumchukua.... ndo amezaa majini mengi ... sina kumbukumbu vizuri ila nahisi alikuwa anazaa zaid ya majini watoto mia kwa week nahisi ila sina uhakika
 
Sio Biblia hii ila katika vitabu vya dini vya Wayahudi vinamtaja lilith kama ni mke wa kwanza wa adamu
Okay. Neno la Mungu niliaminilo mimi linasema mke wa kwanza, mke wa Adam alikuwa anaitwa Eva.

Kama ilivyoandikwa kwenye Biblia, usiongeze wala kupunguza neno. Huyu Lilith SIO mke wa kwanza wa Adam.
 
Ni hivi kipindi adamu ameumbwa na Mungu akamuona kuwa ni mpweke na inabidi amfanyie mtu wakufanana nae kuwa mke wake ni baada ya adamu kulalamika kuwa kipindi anapitishiwa wanyama ambao wapo paired alimuomba Mungu apate mwenzi wake....
Ndipo Mungu akamuumba Lilith kutoka mavumbini. Ila kulichomfanya Lilith kutokaa Edeni ni kuwa kipindi cha kufanya mapenzi alikuwa hataki kuwa chini ya adamu akidai kuwa ni submissive act, kuonekana ni mtumwa wakati wote ni sawa kwakuwa wote wametoka mavumbini na wako sawa...

Adamu alizidi kumlazimisha ndipo lilith akaamua kulitaka jina la Mungu na kupaa kutoka edeni na kuelekea katika bahari ya damu "Red Sea" ... Ndipo adamu akamwambia Mungu yaliyotokea na Mungu akawatuma malaika waende kum fetch Lilith huko red sea ili arudi bustanini.... Ila lilith alikataa....

Kuna mengi kuhusu lilith....ila ana sifa moja ya kuwafata wanaume katka ndoto na kuzini nao....
Yupo katika kila dini ila ana majina tofauti tofauti
Mkuu hii habari umeipata kutoka wapi? Kama ni kitabu tuambie tafadhali nikakitafute, maana habari hizi hazipo katika kitabu kitakatifu Biblia.
 
Dunia inateswa na mambo mengi Sana ambayo wengi wetu huwa tunadhani yanatokana na akili zetu na mawazo yetu ama pengine ni uamuzi wetu binafsi.
La hasha, kila jambo linalotokea huwa limepangwa ktk ulimwengu wa roho tusioweza kuuona Kwa macho ya damu na nyama.
Kiongozi mkuu au mfalme wa maovu na shida zote duniani ni shetani ,kuzimu wanamwita Lucifer.
Huyu ni kiongozi mkubwa Sana ambaye makazi yake ni chini ya maji, bahari na maziwa. (kuzimu)
Lucifer huwa hafanyi kazi yoyote ngumu, yeye hupokea Taarifa na kutoa amri Kwa pepo mkuu Belzebur, ambaye naye huwaagiza mapepo wengine watatu ambao nao ni wakuu.
Kwa Sababu maalumu, nitamtaja pepo mmoja tu Kati ya hao watatu wengine na kazi zake hapa duniani.
Kwa kawaida, Lucifer ana serikali yake kuzimu yenye dola kamili, na waziri mkuu wake ni Belzebur.
Lucifer huwapa kazi za kufanya hawa hao mapepo, kila Siku.
Na wote hukaa angani, kila mmoja akikaa pande moja ya dunia ,yaani mashariki, kaskazini, magharibi na kusini, na kazi yao ni moja tu ni kuzuia Maombi ya watu Wa Mungu, Na wote wanakuwa chini ya Belzebur.
Huzuia Maombi, ndo maana unaweza kuomba Mungu miaka kibao bila majibu, Soma Daniel 10:13.
Malkia wao anaitwa Kilenzi, hili ni pepo hatari la kike ambalo ndo limeshikilia anasa na pesa zote za dunia hii.
Kilenzi linavunja ndoa za watu na kuharibu maisha ya vijana na mabinti.
Ni pepo haribifu la maisha ya watu, wote wanaotafuta Mali kishirikina, kilenzi ndo mgawaji wa hizo mali endapo tu utafuata masharti yao.
Kilenzi ndo waziri wa fedha na uchumi huko kuzimu.
Kati ya mapepo makuu yote, ni yeye tu ndo jike peke yake.
Mtu yoyote, akitaka chochote, iwe utajiri, Urais, Umaarufu, hata Kama hana elimu Lucifer humpatia kupitia kilenzi endapo tu, atatimiza masharti yao ambayo ni magumu mno.
Kila Siku saa 8 usiku ktk majira ya nchi zote duniani, mapepo hawa hushuka kutoka angani na kwenda kuzimu Kwa ajili ya kufanya sherehe na mikutano maalumu ya kuiangamiza dunia.
Inapotimia saa9:55 alfajiri, yanakuwa tayari yamemaliza kazi zao kuzimu na kurudi angani.
Watu wengi hawajui kuwa muda mzuri wa kuomba Mungu ni kuanzia saa 8:00 usiku hadi mwisho saa 9:55 alfajiri.
Maana kilenzi na wenzake wanakuwa kuzimu na hivyo kuliacha anga likiwa safi.
Kilenzi ndo pepo aliyeshikilia hadi serikali nyingi duniani. Soma ,Ufunuo wa Yohana. 17:1-8.

Jamani tukaeni jaribu na Mungu, Kwa leo naishia hapa, Siku nyingine nitafafanua zaidi.

Mmoja Wa mabinti aliye chini ya miliki ya kilenzi, Kama upo Kama huyu haha kwenye picha, basi wewe ni wa kilenzi, Nitafafanua zaidi.
Endelea kujidanganya na siku zinasonga mbele.
Na sijui Kama una usafi wa kumzidi Daniel mtu wa Mungu ambaye majibu ya Maombi yake yalizuiwa Kwa Siku 21,na mkuu wa uajemi (Belzebur). hadi Mungu akamtuma malaika wa Vita Mikael, akapigana na pepo Belzebur na kulishinda na ndipo Daniel akapata majibu yake.
Tatizo lenu ndugu zangu walokole mna ubishi wa ajabu Sana ambao mara nyingi hauwasaidii Daniel 10:13.
lini inaendlea? Nairubiri ujue
 
Okay. Neno la Mungu niliaminilo mimi linasema mke wa kwanza, mke wa Adam alikuwa anaitwa Eva.

Kama ilivyoandikwa kwenye Biblia, usiongeze wala kupunguza neno. Huyu Lilith SIO mke wa kwanza wa Adam.
Ni kweli mkuu... ila bibla hii imepitia vita vyingi mpaka wewe unaipata kuisoma.... na kuna mambo mengi yametolewa na mengine kubadilishwa maana...
Kila baada ya muda biblia inakuja na versions tofauti tofauti wakidai wanaboresha maandiko... sasa unaponiambia kupungua na kuongeza neno ni kwamba tayari ishapunguzwa na kuongezwa...
Mfano mdogo jaribu kuziandika amri kumi za Mungu katika karatasi then soma Kutoka sura ya 20... ukimaliza nijuze tuelezane zaid
 
Mkuu hii habari umeipata kutoka wapi? Kama ni kitabu tuambie tafadhali nikakitafute, maana habari hizi hazipo katika kitabu kitakatifu Biblia.
Mkuu haya mambo yapo katika vitabu ya wayahudi.... na utamaduni wa kiyahudi wanaamini lilith alikuwa mke wa kwanza wa Adam
 
Hakuna pepo liwezalo kuzuia sala iliyotoka moyoni mwa mtu mnyofu, kuwa na iman kamil kwa Mungu na ukumbuke Mungu mwenyewe ametufundisha kusali na pia hayo mapepo yameumbwa na Mungu na baadae yakamuasi Mungu, mapepo hayawezi kuzuia sala timilifu, yanachofanya ni kumshawishi mwanadam asisali kwa moyo mbele ya muumba wake au aache sala kabisa. Sala timilifu kwa Mungu ni kombora la masafa marefu ibilisi akijichetua kulizuia anafumuliwa, sala kwa Mungu haina muda, kama unaamin kuwa kuna wakat mapepo yanakuwa bize sana kuharibu wanadam basi huo ndo wakati wa kusali zaidi usisuburi mpaka yaende kuzimu kwenye pati halafu wewe usali, mapepo mengine huwa yanabaki dunian kwa ajili ya macho macho.
 
Back
Top Bottom