Elisha benson
New Member
- Mar 4, 2016
- 3
- 0
Wewe sali sala yako muda wowote, Mungu hana mipaka ya muda kwa wale wanaosali mbele zake
Mkuu Nafikiri Wewe Si Msomaji Wa Neno La Mungu Ndiyo Maana Huelewi Nini Kinazungumzwa.Mkuu angesema kuhusu kushawishi waaala nisingetia neno lakini hilo la kutanda angani kama ozone layer kuzuia maombi hilo nitapinga kabisa. Nadhani pia nilieleweka niliposema tuliambiwa tusali sana ili roho mtakatifu atujaze ujasiri wa kushinda vishawishi vya yule mwovu ibilisi na sio kushinda ozone layer ya mapepo angani...ndio maana mwisho nilimalizia kusema mambo ya kuzimu ni ya kusaidikika ila kwakuwa kizazi cha sasa kinapenda sana kusikia habari za kuzimu ndio kila mmoja anakuja na lake kama babu wa loliondo alivyooteshwa...ila zitabakia kuwa nadharia tupu hakuna ajuaye ya mbinguni wala kuzimu isipokuwa Yesu Kristo pekee ambaye alishinda mauti mengine ni hadithi za abunuasi ili kuuza vitabu
Nadhani kuna mahala umeshindwa kupata picha ya kile nilichomainisha...sikusema hakuna kuzimu bali ninachosema stori zinazogaa kila kukicha na kila mtu kujikuta expert wa kujua mambo ya kuzimu ndio hapo nasema hayo mambo ni ya kusadikika tu...kama ulinielewa vyema nilisema hakuna ajuaye mambo ya mbinguni wala kuzimu bali ni tantalila za kuuza vitabu vya stori zao.Mkuu Nafikiri Wewe Si Msomaji Wa Neno La Mungu Ndiyo Maana Huelewi Nini Kinazungumzwa.
Hivi Unafahamu Kwmb Ipo Jamii Ambayo Haijui Hata Kama Kuna Mungu Na Hata Ukimtaja Yesu Kwanza Watakuuliza Ni Nani.
Mfano Mzuri Nenda Barani Asia Kule Wanaabudu Miungu Na Si Mungu Umuabuduye Wewe Na Yesu Umfahamuye.
Unaposema Habari Za Kuzimu Ni Za Kusadikika Napata Ushahidi Kwmb Hujui Lolote Maana Ukisoma Kitabu Cha Ufunuo Kinazungumzia Sana Habari Hizo Za Kuzimu Pamoja Na Kupaa, Sasa Kama Unamwambini Yesu Naye Ni Miongoni Mwa Waasisi Wa Agano Jipya Halafu Unasema Habari Za Kuzimu Ni Kusadikika Unaelewa Nini Juu Ya Imani Yako?.
Waibrania 11.1- Inasema> "Imani Ni Kuwa Na Hakika Na Mambo Yatarajiwayo Na Bayana Na Yale Yasiyoonekana'.
Sasa Unapomtaja Yesu Ambaye Unamuamini Na Mwingine Akasema Hakuna Mtu Huyo, Wewe Unaushahidi Gani Wa Kumuaminisha Mtu Kwmb Yesu Alikuwepo Na Yuhai Ikiwa Kitabu Cha Waibrania Kinasema "Imani Ni Kuwa Na Hakika Na Mambo Yatarajiwayo Na Ni Bayana Na Yasiyoonekana".
Kitu Ambacho Kinanitia Shaka Kuhusu Uelewa Wako Ni Pale Ambapo Unasema Habari Za Kuzimu Ni Za Kusadikika Wakat Unafahamu Fika Kwmb Kuzimu Ni Makaz Ya Shetani Na Yesu Ni Miongoni Mwa Watu Walofika Na Tena Akamnyang'anya Shetani Funguo Ya Kuzimu.
MASWALI.
1. Wapi Ktk Bible Ambapo Wameandika Kwmb Hakuna Mwanadamu Ambaye Hajafika Kuzimu Tofauti Na Yesu?.
2. Bible Inaitambua Kuzimu Au Lah?
3. Kama Bible Inaitambua Kuzimu Nini Unapinga Kuhusu Kuzimu?.
4. Kama Kuzimu Ni Makazi Ya Shetani Na Wapo Watu Walio Na Wanaomwabudu Shetan, Kwanin Wasipajue?.
5. Wachawi Ni Watu Kama Sisi Na Kiwanda Cha Uchawi Kipo Kuzimu, Sasa Kwanini Unasema Habari Za Kuzimu Ni Za Kusadikika Na Hakuna Alofika Isipokuwa Yesu?.
Yapo Maswali Mengi Sana Ya Kuuliza Lakn Nichogundua Wewe Unaamini Upande Mmoja Na Kushndwa Kutambua Kwmb Kuamini Upande Uliopo Kumetokana Na Kuwepo Kwa Pande Mbili (Nuru&Giza).
Nashindwa Kukuhukumu Coz Sikujui Lakn Napata Picha Nzima Ya Uelewa Wako Mdogo Kuhusu Nuru Na Giza.
NB: If U Real Want To Understand, Be Flexible.
Sawa Mkuu Lakn Yesu Anatambua Kuzimu Na Nakusuhi Kasome Kitabu Cha Ufunuo Utagundua Mtoa Uzi Hana Tofauti Na Maandiko.Nadhani kuna mahala umeshindwa kupata picha ya kile nilichomainisha...sikusema hakuna kuzimu bali ninachosema stori zinazogaa kila kukicha na kila mtu kujikuta expert wa kujua mambo ya kuzimu ndio hapo nasema hayo mambo ni ya kusadikika tu...kama ulinielewa vyema nilisema hakuna ajuaye mambo ya mbinguni wala kuzimu bali ni tantalila za kuuza vitabu vya stori zao.
Ila Mkuu kama umeamua kuamini propaganda za kuzimu basi baki nazo Mimi sitaki kuamini hizi stori za kutunga kila kukicha na wala sihitaji ushahidi wa kuaminishwa...acha nife nikimuamini Yesu wangu tu hayo ya wasiomjua Yesu hayanihusu ila kwangu stori za kuzimu ni abunuasi tu
Hebrew scriptures .....Mkuu haujatuambia story yake inapatikana kwenye kitabu cha Mwanzo ngapi?
Duuu balaaaaDunia inateswa na mambo mengi Sana ambayo wengi wetu huwa tunadhani yanatokana na akili zetu na mawazo yetu ama pengine ni uamuzi wetu binafsi.
La hasha, kila jambo linalotokea huwa limepangwa ktk ulimwengu wa roho tusioweza kuuona Kwa macho ya damu na nyama.
Kiongozi mkuu au mfalme wa maovu na shida zote duniani ni shetani ,kuzimu wanamwita Lucifer.
Huyu ni kiongozi mkubwa Sana ambaye makazi yake ni chini ya maji, bahari na maziwa. (kuzimu)
Lucifer huwa hafanyi kazi yoyote ngumu, yeye hupokea Taarifa na kutoa amri Kwa pepo mkuu Belzebur, ambaye naye huwaagiza mapepo wengine watatu ambao nao ni wakuu.
Kwa Sababu maalumu, nitamtaja pepo mmoja tu Kati ya hao watatu wengine na kazi zake hapa duniani.
Kwa kawaida, Lucifer ana serikali yake kuzimu yenye dola kamili, na waziri mkuu wake ni Belzebur.
Lucifer huwapa kazi za kufanya hawa hao mapepo, kila Siku.
Na wote hukaa angani, kila mmoja akikaa pande moja ya dunia ,yaani mashariki, kaskazini, magharibi na kusini, na kazi yao ni moja tu ni kuzuia Maombi ya watu Wa Mungu, Na wote wanakuwa chini ya Belzebur.
Huzuia Maombi, ndo maana unaweza kuomba Mungu miaka kibao bila majibu, Soma Daniel 10:13.
Malkia wao anaitwa Kilenzi, hili ni pepo hatari la kike ambalo ndo limeshikilia anasa na pesa zote za dunia hii.
Kilenzi linavunja ndoa za watu na kuharibu maisha ya vijana na mabinti.
Ni pepo haribifu la maisha ya watu, wote wanaotafuta Mali kishirikina, kilenzi ndo mgawaji wa hizo mali endapo tu utafuata masharti yao.
Kilenzi ndo waziri wa fedha na uchumi huko kuzimu.
Kati ya mapepo makuu yote, ni yeye tu ndo jike peke yake.
Mtu yoyote, akitaka chochote, iwe utajiri, Urais, Umaarufu, hata Kama hana elimu Lucifer humpatia kupitia kilenzi endapo tu, atatimiza masharti yao ambayo ni magumu mno.
Kila Siku saa 8 usiku ktk majira ya nchi zote duniani, mapepo hawa hushuka kutoka angani na kwenda kuzimu Kwa ajili ya kufanya sherehe na mikutano maalumu ya kuiangamiza dunia.
Inapotimia saa9:55 alfajiri, yanakuwa tayari yamemaliza kazi zao kuzimu na kurudi angani.
Watu wengi hawajui kuwa muda mzuri wa kuomba Mungu ni kuanzia saa 8:00 usiku hadi mwisho saa 9:55 alfajiri.
Maana kilenzi na wenzake wanakuwa kuzimu na hivyo kuliacha anga likiwa safi.
Kilenzi ndo pepo aliyeshikilia hadi serikali nyingi duniani. Soma ,Ufunuo wa Yohana. 17:1-8.
Jamani tukaeni jaribu na Mungu, Kwa leo naishia hapa, Siku nyingine nitafafanua zaidi.
Mmoja Wa mabinti aliye chini ya miliki ya kilenzi, Kama upo Kama huyu haha kwenye picha, basi wewe ni wa kilenzi, Nitafafanua zaidi.
Kweli kabisa huo mda ukiomba utaona tu mabadilikoHuo muda ukiamka kuomba kuanzia saa 8 usiku kuna nguvu flani unahisi na hali ya tofauti.Kwenye huo muda nahafiki,hayo mengine wajuvi watakuja.
Kijana mapokeo ni hatari? WachaMungu wote kuanzia Marekani hadi China, Afrika kusini hadi Norway wanaomba usiku. Yesu mwenyewe aliomba sana Muda gani? usichanganye maombi na sala za mapokeoWewe sali sala yako muda wowote, Mungu hana mipaka ya muda kwa wale wanaosali mbele zake
Mkuu Naomba Tutambue Hili. Zipo Falme Mbili Za Kiroho,Kilenzi ndo namsikia leo! ila najua utawala wa shetani upo na umegawanywa kati ya Falme, mamlaka, wakuu wa giza na mamilioni ya majeshi ya pepo wa baya. bahati mbaya sifahamu hizo falme ni zipi? mamlaka ni zipi? wakuu wa giza ni akina nani? ila pepo wa baya kwa sehemu nawajua ndio majini, mazimwi na takataka nyingine,
Back tu Kilenzi; mtoa mada umewahi kumsikia mungu mke (goddess) aliyekuwa akiabudiwa zamani za nabii Yeremia, au mungu Mke aliyeitwa Artemi nyakati za mitume ambaye hekalu lake lilikuwa efeso (uturuki ya sasa) ambaye jina jingine huitwa Diana, malkia wa mbingu! na kwamba baada ya kuongoka kwa kaisari na kulazimisha watu wote wawe wakristo, hawa waabudu Diana katika karne ya saba katika mji wa Efeso ndio waliomtangaza Maria kuwa mama wa Mungu na Malkia wa Mbingu, kisha "kuzibatiza" sanamu zao zile zile za Artemi na kuziita za Maria!
Mkuu Umenena Vizuri Sana Hapa, Natamani TAECO LTD Aone Huu Mchango Wako.Kwenye suala la maombi hapo ni shida , vita kubwa ya waumini ni maombi yenye majibu, yanayofika kwenye kiti cha Mungu na kuwa harufu ipendezayo. Kuna watu wanachanganya maombi na zile sala zao za kukariri kila siku. maombi ni sadaka. Kaini alitoa sadaka lakini haikuwahi kupokelewa na Mungu, Habili nae alitoa sadaka na ikawa harufu ya kumpendeza Mungu.
Maombi ni hivyo hivyo, kuna watu wanasali kila siku kama kaini lakini maombi yao hayajawahi kufika popote! Waombaji wa kweli wanajua maombi yao yanapopokelewa na yasipopokelewa (najua kwa wengi hapa ni hadithi za abunuas), na hujiuliza kwanini leo maombi yamekuwa makavu.
mombi yakifika kwa Mungu LAZIMA YAJIBIWE, tunakumbuka kornerio"...Maombi yako yamefika mbele zangu na kuwa ukumbusho..kwa hiyo nenda kamwite Petro.."
Lakini mpaka hatua hiyo ifikiwe NI VITA
Efeso 6:10 "... maana vita vyetu si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya Falme, Mamlaka, Wakuu wa giza... katika ulimwengu wa roho"
Siku Zote Mtu Akijipanga Kuelewa Ataelewa Na Akijipanga Kupinga Atapinga Tu.Mkuu MNFUMAKOLE, @Prosper C Manasse na [USER=211430]nabiidaniel asanteni kwa michango yenu, nimejifunza kitu.[/USER]
Ila jina la hiyo malkia limekaa kiafrikaNimecheka sana ulitaka awe Mwafrica?
