Mfahamu malkia wa kuzimu

Mfahamu malkia wa kuzimu

Mzee omba mda wowote na mahala popote, maombi yako yanafika kwa Mungu hakuna kiumbe chochote kinachoweza kuzuia maombi yako, isipokua wewe muombaji. Maombi yana kanani zake za uombaji pia yana mahitaji yake. mzuiaji wa maombi ni mtu mwenyewe yaani muombaji, haiwezekani leo unaomba kitu alafu kesho yake unaenda kuzini na mke wa mtu, unategemea jibu hapo? na ndio mbinu pekee shetani anatumia sasa ivi kuwakosesha majibu ya maombi ya watakatifu wa Mungu kwa kuwa ingiza kwenye mitego ya dhambi
kweli mkuu nilikuwa najaribu kumwelekeza
lakini huu utawala wa shetani tunaubomoa kila siku kwa maombi mda wowote.
haijalishi ni mchana au ni usiku.
 
Humu ndani kuna watu ni wapotoshaji na wanajiribu kuharibu mind za watu kwa mambo ya uongo na yasiyo na tija katika kumtukuza Mungu. Bali yanafubuza mind za watu na wanajikuta wana acha kumtafakari Mungu, wanaanza kutafakari katika mind zao mambo ya giza...
Mkuu Hapa Naona Unajidanganya Mwenewe Coz Huwezi Kumshinda Adui Yako Bila Kujua Mbinu Na Silaha Alizonazo.

Jambo Ambalo Unatakiwa Ulitambue Ni Kwmb, Mwanadamu Yeyote Ambaye Anategemea Kuingia Peponi Mtihani Wake Hupewa Na Shetani Kisha Mungu Ndiye Msahishaji.

Kama Mtoa Uzi Anaifunza Jamii Unapaswa Kumsifu Na Kumshukuru Maana Anaeleza Mambo Ambayo Yapo Ktk Ulimwengu Wa Kiroho.

Hata Misikitini Na Makanisani Wanaeleza Mbinu Za Shetani Sasa Kosa La Mtoa Uzi Hapa Ni Lipi.

Ni Vyema Tukatambua Nini Nia Ya Mtoa Uzi Badala Ya Kumlenga Tofauti.
 
Ni mambo mengi yanayo zuia pia mtu kutokupokea majibu ya maombi yake pindi aombapo na sio hayo mapepo, shetani na majeshi yake hao wote ni powerless katika new covenant. Hakuna kitu kinachoweza kuzuia maombi ya mtu kumfikia Mungu, na hakuna kinacho zuia mtu kupokea majibu ya maombi yake kutoka kwa Mungu katika hili agano jipya kama mtu huyo akifata kanuni za maombi na kuzishika
1. Kama Hakuna Kinachozuia Maombi Yetu Kufika Kwa Munungu Kwanini Tunafunga Na Kuomba?

2. Kama Hakuna Kinachozuia Maombi Yetu Kufika Kwa Mungu, Kwanini Neno Latuasa Tusali Sana?.

3. Kama Hakuna Kinachozuia Maombi Yetu Kufika Kwa Mungu, Kwanini Neno Lasema Maombi Ni Silaha?.

4. Kama Hakuna Kinachozuia Maombi Yetu Kufika Kwa Mungu, Shetani Yupo Duniani Kwa Kazi Gani?.

5. Kama Hakuna Kinachozuia Maombi Yetu Kufika Kwa Mungu, Nani Mpinzani Wa Mungu?.

Jambo Ambalo Wengi Hatulielewi Ni Kwmb, Mpango Wa Mwanadamu Yeyote Ule Ukati Ya Mungu Na Shetani, Wakat Mwanadamu Anapanga, Mungu Na Shetani Pia Hupanga Kwa Mtu Huyo.

Sisi Wanadamu Ni Mtaji Kwa Mungu Na Shetani So Lazima Tutambue Kwmb Shetani Huzuia Maombi Ya Mtu Kwa Njia Nyingi Sana.
 
Mzee omba mda wowote na mahala popote, maombi yako yanafika kwa Mungu hakuna kiumbe chochote kinachoweza kuzuia maombi yako, isipokua wewe muombaji. Maombi yana kanani zake za uombaji pia yana mahitaji yake. mzuiaji wa maombi ni mtu mwenyewe yaani muombaji, haiwezekani leo unaomba kitu alafu kesho yake unaenda kuzini na mke wa mtu, unategemea jibu hapo? na ndio mbinu pekee shetani anatumia sasa ivi kuwakosesha majibu ya maombi ya watakatifu wa Mungu kwa kuwa ingiza kwenye mitego ya dhambi
Ethical Ninja Yani Unakana Hili Halafu Unalikubali Hilo Hilo Tena.

Unaposema Maombi YanaKanuni Zake Upo Sahihi Lakn Nani Anakutia Kishawishi Cha Kutoka Na Mke Wa Mtu Wakat Mungu Hukataza.

Unapotaka Kufanya Dhambi Kuna Roho Mbili, Moja Hukuhamasisha Ufanye Wakat Nyingine Hukataza, So Huoni Hapo Ndipo Chanzo Cha Maombi Yako Kutofika Kwa Mungu Endapoa Utatimiza Dhambi Husika?

Upo Vizuri Lakn Unalenga Zaidi Kukosoa Kuliko Kujifunza Ndio Maana Unajikuta Unajikanganya Mwenyewe Kwa Maelezo Yako.

Slow Slow U'll Be A Wise Man Lakn Lenga Zaidi Kumuelewa Mtu Kuliko Kumkosoa.
 
Mkuu prosper nimepitia comments za watu zote, kuna mambo makuu mawili
1) Nguvu za Giza
2) Nguvu za Mungu
Ethical ameelezea vyema kabisa kuhusu agano la kale na agano jipya, rejea kwamba agano la kale watu walikuwa wanaadhibiwa directly kwa dhambi zao ila agano jipya hakuna hilo jambo
Mleta mada anaweza kuwa sahihi au pia asiwe sahihi, dunia ya sasa hivi imeharibiwa sana kwa ujuaji na ndio sababu maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Zimezuka stori nyingi zinazohusu kuzimu na kila mtu anajikuta anaijua kuzimu sana jambo ambalo ni nadharia tupu. Pili nasikitika sana ninaposoma comments za mtu anasema kama Mleta mada ni mwongo basi weka wewe tulinganishe nani ni mwongo, hii inaonesha ni kwa kiasi gani watu hawa wameaminishwa na sio wasomaji wazuri wa maandiko hivyo hata wakiletewa ushahidi roho zao zimeshafungwa.
Huwa naonaga watu wengi wanaoandika kuhusu mambo ya kuzimu na sijawahi changia kama kina mshana, jichawi, mzizimkavu na wengineo na masikitiko yangu watu wamesahau maandiko ya Quran na Biblia na kuwa interested na topic za namna hii...akili yako ukiijaza vitu hivi basi utaishia kuamini na kusahau ukweli upo wapi.
By the way siamini swala la sala kuzuiwa angani kama ozone layer inavyozuia miale mikali ya jua kuingia duniani...shetani hana Nguvu ya kuzuia maombi yako Bali Ana Nguvu ya ushawishi, mfano kama ulipanga usali saa saba mchana basi atakutia vishawishi na usisali ila ukishikilia msimamo wako unakuwa umemshinda. Pia tulipoambiwa tusali sana sio kwasababu ya maombi yetu kuzuiwa kama Mleta mada anavyodai la hasha Bali sababu ibilisi Ana Nguvu kubwa ya ushawishi hivyo kwa uwezo wetu hatuwezi kushinda ushawishi wake hivyo tunapaswa kujitakasa kila Mara ili roho mtakatifu atuongoze kushinda vishawishi hivyo. Adamu na Eva ukisoma kwa makini utaona mbinu anayoitumia ibilisi hakumshurutisha Eva ale lile tunda bali alimshawishi na ushawishi wake ukafanikiwa. Sasa tafakari kama Adamu na Eva hakukuwa na dhambi lakini alifanikiwa kumshawishi vizuri tu vipi kuhusu sisi tunaoishi kwenye ulimwengu uliojaa dhambi?!
Hivyo maombi hayazuiwi bali mapepo yana kazi kubwa ya kukushawishi na usipokuwa na imani dhabiti unashawishika na kuangamia kabisa...fact za kuzimu hazina ushahidi kwani kwangu nazifananisha na hadithi za Eric Shigongo kuuza vitabu na magazeti
 
423d1b272045cd0808e526f0688ab99e.jpg
Mshana nini tena hiyo kitu???.
 
uliyoandika mengi kama sio yote yanafanana na mafundisho ya kikiristo kuhusu shetani na utawala wake maudhui ya mafundisho yako ni mazuri,

lakini ni vigumu watu wote kuomba saa nane usiku nafikiri ni vizuri ungewashauli wafanyeje ili hata kama wakiomba mchana maombi yao yasizuiliwe.

kilicho muhimu ktk maombi ni imani ya kile unachoomba kwamba kitatimia.

yaani "IMANI".
Kumpata YESU KRISTO aishi ndan yako sio lelemama kama ye alitufia msalabani na mateso yale yote inabidi unyanyuke umuombe MUNGU kwa nguvu zote ili kumshinda shetani
 
Umewajuaje majina hao majini aisee.
Ukiwa mfatiriaji mzur wa watumishi WA MUNGU na kusoma novo zao ivi vitu vipo kuna ukweli ndan yako hata wafarisayo kipindi cha YESU yupo dunia walikuwa wanawapotosha watu kwa kuwambia KRISTO ajatoka kwa MUNGU ila ni mkuu wa mashetani wakimaanisha melzabur
 
Mkuu prosper nimepitia comments za watu zote, kuna mambo makuu mawili
1) Nguvu za Giza
2) Nguvu za Mungu
Ethical ameelezea vyema kabisa kuhusu agano la kale na agano jipya, rejea kwamba agano la kale watu walikuwa wanaadhibiwa directly kwa dhambi zao ila agano jipya hakuna hilo jambo
Mleta mada anaweza kuwa sahihi au pia asiwe sahihi, dunia ya sasa hivi imeharibiwa sana kwa ujuaji na ndio sababu maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Zimezuka stori nyingi zinazohusu kuzimu na kila mtu anajikuta anaijua kuzimu sana jambo ambalo ni nadharia tupu. Pili nasikitika sana ninaposoma comments za mtu anasema kama Mleta mada ni mwongo basi weka wewe tulinganishe nani ni mwongo, hii inaonesha ni kwa kiasi gani watu hawa wameaminishwa na sio wasomaji wazuri wa maandiko hivyo hata wakiletewa ushahidi roho zao zimeshafungwa.
Huwa naonaga watu wengi wanaoandika kuhusu mambo ya kuzimu na sijawahi changia kama kina mshana, jichawi, mzizimkavu na wengineo na masikitiko yangu watu wamesahau maandiko ya Quran na Biblia na kuwa interested na topic za namna hii...akili yako ukiijaza vitu hivi basi utaishia kuamini na kusahau ukweli upo wapi.
By the way siamini swala la sala kuzuiwa angani kama ozone layer inavyozuia miale mikali ya jua kuingia duniani...shetani hana Nguvu ya kuzuia maombi yako Bali Ana Nguvu ya ushawishi, mfano kama ulipanga usali saa saba mchana basi atakutia vishawishi na usisali ila ukishikilia msimamo wako unakuwa umemshinda. Pia tulipoambiwa tusali sana sio kwasababu ya maombi yetu kuzuiwa kama Mleta mada anavyodai la hasha Bali sababu ibilisi Ana Nguvu kubwa ya ushawishi hivyo kwa uwezo wetu hatuwezi kushinda ushawishi wake hivyo tunapaswa kujitakasa kila Mara ili roho mtakatifu atuongoze kushinda vishawishi hivyo. Adamu na Eva ukisoma kwa makini utaona mbinu anayoitumia ibilisi hakumshurutisha Eva ale lile tunda bali alimshawishi na ushawishi wake ukafanikiwa. Sasa tafakari kama Adamu na Eva hakukuwa na dhambi lakini alifanikiwa kumshawishi vizuri tu vipi kuhusu sisi tunaoishi kwenye ulimwengu uliojaa dhambi?!
Hivyo maombi hayazuiwi bali mapepo yana kazi kubwa ya kukushawishi na usipokuwa na imani dhabiti unashawishika na kuangamia kabisa...fact za kuzimu hazina ushahidi kwani kwangu nazifananisha na hadithi za Eric Shigongo kuuza vitabu na magazeti
Umenena Vyema Sana Mkuu, Labda Nikuulize Maswali Kadhaa.

SWALI.
1. Bible/Quran Hazizungumzii?.

2. Kama Zinazungumzia Wewe Unapinga Nini Kuhusu Kuzimu?.

3. Kujua Silaha Za Maangamizi Za adui Yako Ni Vibaya?.

4. Je Tuamini Kwmb Hakuna Kuzimu?.
 
Au pengine mwarabu, mchina na mjep
actually imebalance sana kwani linapokuja jambo jema huwa ni wazungu, na ikiwa sheta.. naye ni mzungu hapo iko njema japo naskia wasambaa nao walidai ni msambaa mwenzao..sababu jina lake lina anza na she...
 
Malkia wa kuzimu ni Lilith ambaye ndo alikuwa mke wa kwanza wa adamu na ndo aliumbwa kama adamu.... hakuumbwa kutoka katka ubavu wa adamu.... hivyo nae alikuwa anataka mamlaka kama adamu....

Ndipo alipofukuzwa kutoka edeni na akaenda nyikani na kuanza kuzini na wale fallen angels na kuzaa nao .....
 
Back
Top Bottom