Umeweka uongo mwingi. Shetani ni Malaika waliomuasi Mungu. Malaika ni roho na roho haina jinsia...
Kama hujui mambo usiwe mbishi, ni vema ukaomba ufundishwe.
Sijakurupuka kuandika ujue, kuna mazito ninayoyajua siwezi kuyaweka hapa maana watu wengi ni wabishi halafu hawajui kitu.
Nimeona jinsi wanavyombishia mshana jr.
Usikimbilie kuniita muongo bila kufanya utafiti, ukiwa na akili hiyo, dunia itakupiga chenga Sana.
malaika na mapepo, wote ni roho, ila wana jinsia ktk ulimwengu wa roho.
Kwa mfano. malaika Mikael naye ni roho ila ni dume.
Hii strictly, kuna Mapepo jike na madume na yanaoana na kuzaana, wewe huwezi kuwaona Kwa macho, ni mambo ya kiroho.
Na Lucifer ni roho ila ni dume.
Usipende kuwa mbishi, penda kuwa mdadisi.