kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,189
- 24,611
Yule malkia mchafu na mvaa mavazi mekundu anayeishi katikati ya ukanda huu mwaka hatoboi
Nawaambia ukweli kabisa, naam namaanisha yule malkia mvaa mavazi mekundu ya damu
Huu mwaka hamalizi ataenda kuzimu na tutafurahi sana na kumshukuru Mungu kwa kutuondolea huyo haramu
Yezebieli mkuu anaenda kuanguka!! Malkia wa ukahaba na makufuru!! Kahaba wa ufunuo anakwenda kuanguka!!
Huu mwaka mti unaenda kung'ooka jiandaeni kwa sherehe na karamu!! Kwani ni kitambo kidogo tu, mateso yetu ni ya muda mchache tu soon patalipuka kwa shangwe na furaha.