Mfahamu malkia wa kuzimu

Mfahamu malkia wa kuzimu

hakuna kinachoweza kuzuia maombi yangu. maneno yangu yanatoka na moto wa Roho Mtakatifu. Asante Kristo Yesu kwa Roho wako

Endelea kujidanganya na siku zinasonga mbele.
Na sijui Kama una usafi wa kumzidi Daniel mtu wa Mungu ambaye majibu ya Maombi yake yalizuiwa Kwa Siku 21,na mkuu wa uajemi (Belzebur). hadi Mungu akamtuma malaika wa Vita Mikael, akapigana na pepo Belzebur na kulishinda na ndipo Daniel akapata majibu yake.
Tatizo lenu ndugu zangu walokole mna ubishi wa ajabu Sana ambao mara nyingi hauwasaidii Daniel 10:13.
 
Mada nzuri ile kamalizia vibaya mno ...

Nimebaki kucheka na kilenzi

Nimemalizia vibaya?
hebu nisahihishe pale unapoona nimekosea ili watu wajifunze zaidi.

NB ila ujue kuwa sijaandika haya kutoka kichwani kwangu.
 
Endelea kujidanganya na siku zinasonga mbele.
Na sijui Kama una usafi wa kumzidi Daniel mtu wa Mungu ambaye majibu ya Maombi yake yalizuiwa Kwa Siku 21,na mkuu wa uajemi (Belzebur). hadi Mungu akamtuma malaika wa Vita Mikael, akapigana na pepo Belzebur na kulishinda na ndipo Daniel akapata majibu yake.
Tatizo lenu ndugu zangu walokole mna ubishi wa ajabu Sana ambao mara nyingi hauwasaidii Daniel 10:13.
Mkuu

Siku nilipofunuliwa/kufundishwa haya mafundisho ya Nabii Daniel, nilistaajabu sana.

Imeandikwa, Siku ile Daniel alipopewa ufahamu na kuanza kutia nia yake (kuanza kusali), Mungu alitoa amri (alimtuma Malaika Gabriel aje amletee Daniel majibu yake).

Lakini wafalmu wa uhajemi (mapepo) wakainuka kuja kupigana na Gabriel ili asimpelekee habari Daniel.

Gabriel alipoelemewa ikabidi aombe msaada kutoka juu Mbinguni, ndipo Malaika Mkuu Mikael akashuka kuja kumsaidia kupigana na yale mapepo.

Upenyo ukapatikanika, Gabriel akashuka haraka kumpasha habari Daniel na akarudi tena kupigana vita.

Ni ukweli usiopingika, haya mapepo huwa yanazuia sala zetu, yanazuia majibu yetu na ndio maana tunakuwa tunaishia kukata tamaa, kwa maana unasali weeee, lakini hupati majibu au majibu yanacheleweshwa.

Lakini nilichojifunza, yatupasa tusali mfululizo pasipo kuchoka mapaka tutakapopata majibu yetu.
 
Kwa hio mkuu

Kwanini wachawi nao huo muda ndo wapo resi kama vibajaji vya manyara mto wa mbu inakuwaje hapo!! Kama wajamenga ndo wapo underworld wanasherekea... Au wao hawahusiani na hao kina vilenzo
 
Endelea kujidanganya na siku zinasonga mbele.
Na sijui Kama una usafi wa kumzidi Daniel mtu wa Mungu ambaye majibu ya Maombi yake yalizuiwa Kwa Siku 21,na mkuu wa uajemi (Belzebur). hadi Mungu akamtuma malaika wa Vita Mikael, akapigana na pepo Belzebur na kulishinda na ndipo Daniel akapata majibu yake.
Tatizo lenu ndugu zangu walokole mna ubishi wa ajabu Sana ambao mara nyingi hauwasaidii Daniel 10:13.

Huelewi kitu, Daniel alikua agano la kale, mimi nipo agano jipya ambalo ni bora zaidi na Yesu Kristo akalisema hilo alipo kua anaelezea habari za Yohana mbatizaji. Enzi za akina Daniel hakukua na Speaking in tongues na wale walikua wanakaliwa na Roho juu, ila sisi wa agano jipya tuna Roho pamoja nasi, tuna Roho ndani yetu na tuna Roho juu yetu. so acha kujifanya mjuaji kwa kupotosha watu
 
hizo rank unazo zitaja ni upuuzi mtupu hakuna ukweli wowote hapo, huyo kalenzi sijui belzeburi ni ujinga mtupu. kasome vizuri nyaraka ya efeso 6:10 na kuendekea then itafakari kwa kina ndipo utaelewa kua ulicho andika ni upotoshaji
 
Endelea kujidanganya na siku zinasonga mbele.
Na sijui Kama una usafi wa kumzidi Daniel mtu wa Mungu ambaye majibu ya Maombi yake yalizuiwa Kwa Siku 21,na mkuu wa uajemi (Belzebur). hadi Mungu akamtuma malaika wa Vita Mikael, akapigana na pepo Belzebur na kulishinda na ndipo Daniel akapata majibu yake.
Tatizo lenu ndugu zangu walokole mna ubishi wa ajabu Sana ambao mara nyingi hauwasaidii Daniel 10:13.
Mkuu chukua ujasiri wa mshana jr wakati anaweka mabandiko yake kuna watu walikuwa wakimpinga aidha aliendelea kukomaa Mwisho wa siku watu wamekuwa wakimuomba aweke Topic so kiongoz kama unania yakufundisha lete vitu Wengine sisi hatupitwi na jambo tunasoma kila kinachoandikwa tunachanganya na zetu so mkuu karibu uendelee ulipobakisha
 
Humu ndani kuna watu ni wapotoshaji na wanajiribu kuharibu mind za watu kwa mambo ya uongo na yasiyo na tija katika kumtukuza Mungu. Bali yanafubuza mind za watu na wanajikuta wana acha kumtafakari Mungu, wanaanza kutafakari katika mind zao mambo ya giza...
 
Cipro n.a. wewe uko but dunia imekeisha mi huwa najua ni wakina mshana wa mabibo gongazote n.a. kichawi
 
uliyoandika mengi kama sio yote yanafanana na mafundisho ya kikiristo kuhusu shetani na utawala wake maudhui ya mafundisho yako ni mazuri,

lakini ni vigumu watu wote kuomba saa nane usiku nafikiri ni vizuri ungewashauli wafanyeje ili hata kama wakiomba mchana maombi yao yasizuiliwe.

kilicho muhimu ktk maombi ni imani ya kile unachoomba kwamba kitatimia.

yaani "IMANI".
 
Ni mambo mengi yanayo zuia pia mtu kutokupokea majibu ya maombi yake pindi aombapo na sio hayo mapepo, shetani na majeshi yake hao wote ni powerless katika new covenant. Hakuna kitu kinachoweza kuzuia maombi ya mtu kumfikia Mungu, na hakuna kinacho zuia mtu kupokea majibu ya maombi yake kutoka kwa Mungu katika hili agano jipya kama mtu huyo akifata kanuni za maombi na kuzishika
 
Humu ndani kuna watu ni wapotoshaji na wanajiribu kuharibu mind za watu kwa mambo ya uongo na yasiyo na tija katika kumtukuza Mungu. Bali yanafubuza mind za watu na wanajikuta wana acha kumtafakari Mungu, wanaanza kutafakari katika mind zao mambo ya giza...
Kwenye ulimwengu wa Roho kuna....wa GIZA na NURU nivizuri kuzijua pande zote vzr Humu duniani huwezi kujua kila kitu unaweza kusema unaujua zaidi ulimwengu wa NURU unaweza ukakutana na MTU anajua mengi kuliko ww so maisha hayataki kukariri
 
Hatukatazwi kujua, isipokua mleta mada anajuza watu kwa taarifa zisizo sahihi. Yaani namaanisha ni mwongo muanzisha mada
 
uliyoandika mengi kama sio yote yanafanana na mafundisho ya kikiristo kuhusu shetani na utawala wake maudhui ya mafundisho yako ni mazuri,

lakini ni vigumu watu wote kuomba saa nane usiku nafikiri ni vizuri ungewashauli wafanyeje ili hata kama wakiomba mchana maombi yao yasizuiliwe.

kilicho muhimu ktk maombi ni imani ya kile unachoomba kwamba kitatimia.

yaani "IMANI".

Mzee omba mda wowote na mahala popote, maombi yako yanafika kwa Mungu hakuna kiumbe chochote kinachoweza kuzuia maombi yako, isipokua wewe muombaji. Maombi yana kanani zake za uombaji pia yana mahitaji yake. mzuiaji wa maombi ni mtu mwenyewe yaani muombaji, haiwezekani leo unaomba kitu alafu kesho yake unaenda kuzini na mke wa mtu, unategemea jibu hapo? na ndio mbinu pekee shetani anatumia sasa ivi kuwakosesha majibu ya maombi ya watakatifu wa Mungu kwa kuwa ingiza kwenye mitego ya dhambi
 
Hatukatazwi kujua, isipokua mleta mada anajuza watu kwa taarifa zisizo sahihi. Yaani namaanisha ni mwongo muanzisha mada
Inawekana anadanganya lkn hadi ujue kuwa anadanganya Manake unaujua ukweli so kwakuwa hapa nikama Darasa kama MTU amedanganya ikiwa unaujua ukweli unaweka watu tunapima.....Wanasema hoja inapingwa kwa Hoja
 
Back
Top Bottom