Mfahamu Grand P, Msanii mwenye mvuto wa aina yake

Dogo ujue ww ni verified alafu unataka kuleta utoto wako humu..

Kiswahili gani kipo hivyo ukitoa credit kwa Wikipedia na Google translator utarogwa!!
Nimetoa assignment nenda Google au wikipidia ukikuta haya njoo useme.
Si kusema tu
 
Hapana mkuu kiswahili ulichotumia ni testless...yaani kama chai iliyotiwa chumvi tuambie labda ulikulia mno nje ya Tz una kiswahili kibovu kama cha google translation..
Ubovu wake nini au kinafanania na kenya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom