mashikolomageni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 1,570 Reaction score 193 May 23, 2011 #21 Na bado hadi kieleweke kwa watu wa A city kwani bado hawana Mayor ila wanae king'ang'anizi wa ofisi ya meya
Na bado hadi kieleweke kwa watu wa A city kwani bado hawana Mayor ila wanae king'ang'anizi wa ofisi ya meya
N-handsome JF-Expert Member Joined Jan 23, 2008 Posts 2,453 Reaction score 561 May 23, 2011 #22 Hali hii si nzuri hata kidogo