Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Shule ina faida nyingi sana, makonda angekuwa/angetumia akili kidogo kama mkuu wa mkoa, haya yote yasingemkuta
Nimesikitishwa sana na ukilaza wa huyu ndugu, kweli ccm wametuchoka, makonda kuwa mkuu wa mkoa
Niliwahi kusema hapo awali ile laana ya mzee Warioba itamtafuna sana mpk atakapotubu. Lakini pia bob Marley aliwahi kuimba hivi " if you live in a glass house don't throw stones" Angekuwa anajua nyumba yake ni ya vioo asingeanza kuwatupia mawe wapita njia
Dear
Daudi Albert Bashite.

Naanza na salamu na badala ya salamu ni kujua kama umeamka vizuri hapo kwako Masaki,na shemeji yetu naye natumaini ni mzima wa Afya.

Kwa uchache wa Muda naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu la kukuandikia ujumbe huu,hakika ujue sikupi pole sababu mambo Mengi umejitakia katika safari yako ya kisiasa,iliyo jaa vishindo na mbwembwe za kila aina.

Vijana wenzio tulibahatika kufanya kazi na wewe Daudi, kwakweli hatukuwahi kujua siri ya "kiburi" chako na "majivuno" yako uliyatoa wapi? Kwa jinsi ulivyokuwa kijana wa "Mission impossible" katika kila matendo ya vijana wa kaida yanayotarajiwa wewe ulitenda yale ambayo watu wasinge tarajia kuona,

Na hayo ndiyo yakawa maisha yako,hukujali wakubwa wanastahili heshima,hukujali kila binadamu anastahili staha,huku jali viongozi kama Mawaziri wa kuu au majaji wataafu walipaswa kulindwa na kuhifadhiwa.

Leo kabla Dunia haijaona mwanzo mpya au mwisho wa safari yako,kwakuwa Kwa namna yoyote vile tuta ulilokutana nalo Masihani mwako halitakuacha kama awali,utabadilika tuh utake usitake Hata kama mabadiliko yako yawe ya Nafasi au Nafsi yanakukuta kwa aibu na fedheha.

Walio karibu yako Daudi wanadai unawakati Mgumu,tukuombee,sitaki kuwa mnafki kwako,Daudi nikwambie tuh sitokuombea bali kabla ujamaliza kujutia Nafsi yako nikukumbushe tuh machache ili uyaingize kwenye sala ya toba.

1.Akilini kwako unamkumbuka baba wa watu? Mkurugenzi injinia mussa Natty,ulivyo muandama mpaka kusimamishwa kazi ulipokuwa DC KINONDONI? huku jali elimu yake aliyosomeshwa na wazazi wake masikini huko shinyanga,kwa UBASHITE WAKO ukamuumiza yeye na familia yake.

2.Je unawakumbuka wahandisi wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni?,uliowasemea Mbele ya mheshimiwa Rais,siku ile Pale Biafra,wenzio wakasimamishwa kazi,na kuhamishiwa vijijini,hukujali elimu yao ya kweli si kama yako,waliyo ipata kwa shida wala familia zao masikini zilizo wategemea,Kwa UBASHITE WAKO ukawatokomeza na kuwaharibia majina na kazi zao.

3.Je unawakumbuka Maafisa ardhi? ukitoa amri wakamatwe kule Wazo mivumoni tuh kwa sababu walichelewa kufika eneo la tukio baada yako,hukujali Elimu zao na utaalamu wao wa ardhi waliosotea mashuleni na vyuoni ,kitichako kilikuwa na mamlaka ya kuwalaza wote sita mahabusu kituo cha mabatini KWA UBASHITE WAKO ukajiona wewe ni alpha na omega.

4.Je unamkumbuka yule dada Afisa ardhi uliye Muita "Tahira" kule kwenye mkutano wako mabwepande? Tena mbele za Tv na Radio zikiwa Mubashara,Hukujali mwenzio ana vyeti halali na amepimwa kwenye mitihani na amefaulu, KWA UBASHITE WAKO ukaona hakuna atakacho kufanya wala pakukimbilia.

5.Je unakumbuka ile kauli yako kwamba wewe ufanyalo Dar es salaaam,na kuliamua juu yake ni kwamba ameamua Mungu,Hata watu walipo toa miguno ya kulewa kwako madaraka hukuwahi kujutia kijivika utukufu wa Mungu,wala kujifananisha naye au kujipa unabii juu ya Dar es salaam,KWA UBASHITE WAKO ulidhani na yeye Mungu alipata zero? Au Mungu alinunua vyeti?

6.Je unaikumbuka ile kauli yako ya mara kwa mara uliyopenda kuitoa kwamba "Mimi nimbabe wa vita" ulimaanisha vita vya kufeli na kufanya "manuva" vita ya kutorudia au kukariri Darasa? Na ukazani umevishinda vita kwa kununua jina jipya, KWA UBASHITE WAKO,Ukasahau kuwa wazungu wanasema "There is no short cut in alife" isipokuwa wewe ukazani umeyapitia Denge maisha,wenzio wasome wafaulu,wewe ufeli ujekuwa boss wao.

7.Je unakumbuka Ile kauli yako ya kuwa ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es salaam nzima inawafanyakazi 4,wengine wote ni mizigo? ,sasa utawaonea wivu hao mizigo kwakuwa wenzio wanavyeti na walifaulu wapo kihalali serikalini basi huenda utawaacha hapo na wewe mzigo namba moja utaondoka badala yao.KWA UBASHITE WAKO uliona kila mtu aliyesoma vigezo siyo kusoma ila ujanja kama uliotumia wewe.

Na mengine Mengi sababu ya Muda Nikuache na hayo,Niwache na boss wako muamue Mpangiane kazi gani nyingine,na kwa bahati mbaya mfumo wa nchi yetu,mwenye division zero,hastahili kuwa hata Dereva serikalini.

Fedheha na aibu imepanda gari lako la kifahari,imeingia ndani ya jumba lako hapo masaki,walinzi wote polisi na wanajeshi wameshindwa kuizuia,ipo mpaka sebuleni na sasa ujue Dar es salaam haitokubali itawaliwe na kuongozwa na KILAZA.......KUSOMA RAHA SANA

Na
BONIFACE JACOB
Senior councilor ubungo
Mstahiki meya
Manispaa ya ubungo
 
Sijawahi ona meya wa hovyo kama huyu Boniface Jacob
 
Kama mwandishi kweli ni huyu meya wa ubungo basi nina uhakika yupo mahali ambapo hastahili kuwepo.Lakini hata hivyo sura yake bado inaonekana ni ya kitoto.'Kusoma raha ' kwa hiyo wale ambao hawajasoma miongoni mwa unaowaongoza hawatakiwi kuwa na raha yoyote.
 
Achana naye Yeye na boss wake wote wanalaana ya Mungu huwezi tesa watu Mungu akaacha kukuadhibu Kipenzi cha Magufuli chali mpaka amefika kuiba ardhi ya wananchi na wezi wenzake wa Kigamboni ujue ni fimbo ya Mungu amchukue ampeleke ikulu wakaendelee kuibia nchi vyeti feki mafisadi GSM ndio wafadhili wa serikali ya magufuli
 
bashite mwizi wa simu wakati wa bunge la katiba, bashite kilaza aliyeiba vyeti, bashite ni tembele
 
Bashite anajiona mungu mtu wa dar es salaam, wakati sisi wananchi tunamuona kama Kijana wa Vyeti feki ambavyo hataki kukanusha au kuthibitisha
Ana delay wakati GSM wakihaha baraza la mitihani kugeuza upepo wakifanikiwa ataita press conference kwa mbwembwe
 
Jaribu kufikiri nje ya box. Weka mahaba pembeni. Samahani unaweza kuelezea faida na hasara ya mambo yaliyotajwa hapo juu. Je! Mzazi ni nani? Je,manung'uniko ya mzazi ni baraka au hasara kwa mnung'unikiwa
Huko kote mbali mkuu,alishawahi kufikiria kuwa bwana mdogo Daudi Bashite ni vipi km angevitumia hivyo vyeti na kisha kufanikiwa kuwa dokta pale Muhimbili si angetuulia wagonjwa wetu wengi tu
 
Kama mwandishi kweli ni huyu meya wa ubungo basi nina uhakika yupo mahali ambapo hastahili kuwepo.Lakini hata hivyo sura yake bado inaonekana ni ya kitoto.'Kusoma raha ' kwa hiyo wale ambao hawajasoma miongoni mwa unaowaongoza hawatakiwi kuwa na raha yoyote.
Mwache amwambie mwizi wa majina ya watu kilaza na mla rush wa za akina azimio na GSM dunia in somo endelevu bado Magufuli ataanguka kama huyu kipenzi chake ha ha aibu
 
Jamani muogopeni Mungu. Mtoto pekee kwa wazazi ambao wesha zeeka hao. Hana dada wala kaka ni yeye tu. Sasa, wazazi si karibu mioyo izimie?? Mwacheni jama, Kha!
 
Dear
Daudi Albert Bashite.

Naanza na salamu na badala ya salamu ni kujua kama umeamka vizuri hapo kwako Masaki,na shemeji yetu naye natumaini ni mzima wa Afya.

Kwa uchache wa Muda naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu la kukuandikia ujumbe huu,hakika ujue sikupi pole sababu mambo Mengi umejitakia katika safari yako ya kisiasa,iliyo jaa vishindo na mbwembwe za kila aina.

Vijana wenzio tulibahatika kufanya kazi na wewe Daudi, kwakweli hatukuwahi kujua siri ya "kiburi" chako na "majivuno" yako uliyatoa wapi? Kwa jinsi ulivyokuwa kijana wa "Mission impossible" katika kila matendo ya vijana wa kaida yanayotarajiwa wewe ulitenda yale ambayo watu wasinge tarajia kuona,

Na hayo ndiyo yakawa maisha yako,hukujali wakubwa wanastahili heshima,hukujali kila binadamu anastahili staha,huku jali viongozi kama Mawaziri wa kuu au majaji wataafu walipaswa kulindwa na kuhifadhiwa.

Leo kabla Dunia haijaona mwanzo mpya au mwisho wa safari yako,kwakuwa Kwa namna yoyote vile tuta ulilokutana nalo Masihani mwako halitakuacha kama awali,utabadilika tuh utake usitake Hata kama mabadiliko yako yawe ya Nafasi au Nafsi yanakukuta kwa aibu na fedheha.

Walio karibu yako Daudi wanadai unawakati Mgumu,tukuombee,sitaki kuwa mnafki kwako,Daudi nikwambie tuh sitokuombea bali kabla ujamaliza kujutia Nafsi yako nikukumbushe tuh machache ili uyaingize kwenye sala ya toba.

1.Akilini kwako unamkumbuka baba wa watu? Mkurugenzi injinia mussa Natty,ulivyo muandama mpaka kusimamishwa kazi ulipokuwa DC KINONDONI? huku jali elimu yake aliyosomeshwa na wazazi wake masikini huko shinyanga,kwa UBASHITE WAKO ukamuumiza yeye na familia yake.

2.Je unawakumbuka wahandisi wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni?,uliowasemea Mbele ya mheshimiwa Rais,siku ile Pale Biafra,wenzio wakasimamishwa kazi,na kuhamishiwa vijijini,hukujali elimu yao ya kweli si kama yako,waliyo ipata kwa shida wala familia zao masikini zilizo wategemea,Kwa UBASHITE WAKO ukawatokomeza na kuwaharibia majina na kazi zao.

3.Je unawakumbuka Maafisa ardhi? ukitoa amri wakamatwe kule Wazo mivumoni tuh kwa sababu walichelewa kufika eneo la tukio baada yako,hukujali Elimu zao na utaalamu wao wa ardhi waliosotea mashuleni na vyuoni ,kitichako kilikuwa na mamlaka ya kuwalaza wote sita mahabusu kituo cha mabatini KWA UBASHITE WAKO ukajiona wewe ni alpha na omega.

4.Je unamkumbuka yule dada Afisa ardhi uliye Muita "Tahira" kule kwenye mkutano wako mabwepande? Tena mbele za Tv na Radio zikiwa Mubashara,Hukujali mwenzio ana vyeti halali na amepimwa kwenye mitihani na amefaulu, KWA UBASHITE WAKO ukaona hakuna atakacho kufanya wala pakukimbilia.

5.Je unakumbuka ile kauli yako kwamba wewe ufanyalo Dar es salaaam,na kuliamua juu yake ni kwamba ameamua Mungu,Hata watu walipo toa miguno ya kulewa kwako madaraka hukuwahi kujutia kijivika utukufu wa Mungu,wala kujifananisha naye au kujipa unabii juu ya Dar es salaam,KWA UBASHITE WAKO ulidhani na yeye Mungu alipata zero? Au Mungu alinunua vyeti?

6.Je unaikumbuka ile kauli yako ya mara kwa mara uliyopenda kuitoa kwamba "Mimi nimbabe wa vita" ulimaanisha vita vya kufeli na kufanya "manuva" vita ya kutorudia au kukariri Darasa? Na ukazani umevishinda vita kwa kununua jina jipya, KWA UBASHITE WAKO,Ukasahau kuwa wazungu wanasema "There is no short cut in alife" isipokuwa wewe ukazani umeyapitia Denge maisha,wenzio wasome wafaulu,wewe ufeli ujekuwa boss wao.

7.Je unakumbuka Ile kauli yako ya kuwa ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es salaam nzima inawafanyakazi 4,wengine wote ni mizigo? ,sasa utawaonea wivu hao mizigo kwakuwa wenzio wanavyeti na walifaulu wapo kihalali serikalini basi huenda utawaacha hapo na wewe mzigo namba moja utaondoka badala yao.KWA UBASHITE WAKO uliona kila mtu aliyesoma vigezo siyo kusoma ila ujanja kama uliotumia wewe.

Na mengine Mengi sababu ya Muda Nikuache na hayo,Niwache na boss wako muamue Mpangiane kazi gani nyingine,na kwa bahati mbaya mfumo wa nchi yetu,mwenye division zero,hastahili kuwa hata Dereva serikalini.

Fedheha na aibu imepanda gari lako la kifahari,imeingia ndani ya jumba lako hapo masaki,walinzi wote polisi na wanajeshi wameshindwa kuizuia,ipo mpaka sebuleni na sasa ujue Dar es salaam haitokubali itawaliwe na kuongozwa na KILAZA.......KUSOMA RAHA SANA

Na
BONIFACE JACOB
Senior councilor ubungo
Mstahiki meya
Manispaa ya ubungo
TOKOMEZA ZEROOO
Aliwahi kusema "Dar es Salaam bila Zero inawezekana"
Uwiiiii, ss naona Jiji linaongoza kwa Zero na kiongozi wao alipata ZEROOO..
Nashangaa Aaaaaahhhhh
 
Jamaa amenikumbusha vilio vya watu jinsi walivyofanyiwa hila. Mwenyezi Mungu aamue. Amina.
 
TUMEFUNGUA KITUO CHA KURISITI MITIHANI. TUPO MOROGOGO MAFISA KWA MAMBI.
KAMA ULIPATA ZERO NA ULIWAI KUWA KIONGOZI TUTAKUPA HOFA YA TWO WEEKS BURE.
WAHI BILA KUKOSA.
BY BASHITE.
 
Back
Top Bottom