Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Tayari ameshaanza kuamisha baadhi ya vitu alivyonunuliwa na wazee wa G..M ofisini kwake ili atakayeingia asitumie vitu ambavyo kavitolea jasho..Ofisi kama naiona inavyobaki na Meza kuukuu..Run!!
 
Bashite akiachwa kuendelea kula bata, basi na wale wote waliotumbuliwa na baba Bashite kwa kukosa sifa ya vyeti warudishwe kazini, na forgery ihalalishwe kama sifa ya ujanja makazini.
 
Dah! Yaani kila ukitafutwa mfano wa fani duni basi lazima itajwe fani ya Mwana Mtoka Pabaya...Big Bonny mbona mtata wewe?

Lakini kiasi fulani unanisukuma next year nisiwe tena dereva, niwe RC. Mimi fomi four nilipata Div3, sijui nitaonwa?
 
Kukata mzizi wa fitina Makonda itisha mkutano na waandishi wa habari kama kawaida yako elezea elimu yako.

Tusiwe wanafiki na double standard, rais alishasema hata kama Mama Jessica anahusishwa na tuhuma lakini achanguzwe.

Kuita masheikh na kuanguka mwenye miguu ya Pengo nadhani haina uhusiano wowote na vyeti.

Fanya hivyo Mkuu wetu wa Mkoa.
 
AHAHAHAHAHAHAHA....NAMKUMBUKA MWALIMU NYERERE MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

ALIWAHI KUSEMA KUWA KATI YA VITABU VIWILI ANAYOAMINI HAVINA KOSA HATA KIDOGO BASI NI BIBLIA NA AZIMIO LA ARUSHA. MAANA VIMEJENGEKA KATIKA UTU NA UPENDO BAINA YA WATU.....MWISHO WA KUMBUKUMBU ZANGU ZA KUMNUKUHU MWALIMU.

MAKONDA ASOME VITABU HIVI ILI AREJEE KATIKA UTUU NA UPENDO BAINA YA WANADAMU WENZAKE.
ASIJIONE YEYE NI MUNGU KAMA ANAVYOAMINI NA PIA ASIJIITE BINGWA WA VITA MAANA VITA HIYO ANAYOPIGANA ADUI YAKE NI YEYE MWENYEWE HAWEZI SHINDA ATAJITIA AIBU.
 
Mateja mna haha kujificha kwenye hiki kichaka!

mtasema weee, mtakaa kimya

sasa kumbe una gubu lako la miaka na miaka


Mods do needful

Pole sana hata mie iliniuma sana kuwaweka MAHABUSU wazee waliokuwa wanakaribia kuretire,ambao ni zaidi ya wazazi wake.Hivi inashindikana kabisa kuongea na watu wazima kama hawa kwa heshima??Tena ilikuwa rahisi sana kuwaomba waombe retirement ya mapema zaidi.Mnaroho mbaya kama nyoka wa kibisa.
 
Hiyo #4 na 5 ndio nilimpomuona huyu jamaa sio mzima.

Mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu....................!!!!

Acha kisu kiendelee kugusa mfupa.
 
Meya Boniface anamkomalia Makonda huku amemsahau mwenyekiti wake Mbowe, amuombe na Mbowe atoe vyeti vyake, na sio hizi siasa za kinafiki.
 
Kukata mzizi wa fitina Makonda itisha mkutano na waandishi wa habari kama kawaida yako elezea elimu yako.

Tusiwe wanafiki na double standard, rais alishasema hata kama Mama Jessica anahusishwa na tuhuma lakini achanguzwe.

Kuita masheikh na kuanguka mwenye miguu ya Pengo nadhani haina uhusiano wowote na vyeti.

Fanya hivyo Mkuu wetu wa Mkoa.

DUUH....KWELI KAZI IPO.
HATA WEWE RITZ UMEMTOSA KADA MWENZIO?....IKIVUMA SANA IPO KARIBU NA KUPARSUKA KWAKE....
IKIVUMAAA VUUUU VUUUUU VUUUUUUUU (IN THE LATE ACTOR KANUMBA'S VOICE)

UNAMJUA MAKONDA UNAMSIKIA WEWE?....
VYETI VINGEKUWEPO ANGALISHAVITOA KWENYE FRONT PAGES ZA MAGAZETI YOOOTE DUNIANI....KIFUPI NI KWAMBA HAKUNA HIVYO VYETI....KASHIKWA PABAYA....

NADHANI MUKULU HUKO ALIKO NAYE NGOMA INAGONGA BESELA INARUDI...ATAMSAFISHAJE KIJANA WAKE MPENDWA ALIYEPENDEZWA NAYE?
 
Aiseeeee siji kuanzisha ugomvi wa mawe wakati najua naishi katika nyumba ya vioo, dah najaribu kuwaza hapa ikitokea katumbuliwa (Japo siombei iwe hivyo) ina mana atarudi uswahilini kuishi na aliokuwa anawadharau, je masheikh watamnyenyekea tena? GSM wataendelea kumpa ufadhili?? ulinzi alionao sa hivi ataendelea kuwa nao?? kama ameweza kuwatuhumu marafiki zake hadharani bila ushahidi je atakua rafiki wa nani??
Yu wapi Magessa Mulongo?!
 
Tuombe kwa nia njema haya madawa yaliua ndugu zetu hii ni vita ipiganwe na wote sasa mpaka meya unasema hivi mtatuongozaje? hishimianeni kwanza ndo mtuongoze uclalamike na kuandika vitu vya kuhisi mkoa wa dar unahitaji viongozi makini tena nyie vijana mkianza majungu hatuendi elewaneni hishimu mamlaka ilio juu yako hii ni hekima meya
 
tapatalk_1487755552534.jpg
 
Tunataka viongozi makini Kama makonda Hatutaki vyeti Sisi
 
Back
Top Bottom