Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Aiseeeee siji kuanzisha ugomvi wa mawe wakati najua naishi katika nyumba ya vioo, dah najaribu kuwaza hapa ikitokea katumbuliwa (Japo siombei iwe hivyo) ina mana atarudi uswahilini kuishi na aliokuwa anawadharau, je masheikh watamnyenyekea tena? GSM wataendelea kumpa ufadhili?? ulinzi alionao sa hivi ataendelea kuwa nao?? kama ameweza kuwatuhumu marafiki zake hadharani bila ushahidi je atakua rafiki wa nani??

Mkuu ,mwisho wa ubaya niAibu
 
Tatizo la kisheria ni kwamba kasoma masomo ya juu bila kuwa na sifa. Ni hilo tu. Matokeo yake ya kidato cha nne Kama Bashite hayampi fursa ya kusomea yale aliyosomea. Kwa hiyo vyeti vinavyofuatia hata kama ni vyake ni batiri.

Sheria ina waamuzi wake, sio mimi wala wewe, sio mitandao ya kijamii, sasa wanaotaka haki si waende basimbona wamebaki wanabweka bweka tu kama majibwa koko?
 
kwamba pasco ndo reference yako,kwamba mtumishi wa umma anaeteuliwa na rais anatumia standard order tofauti na watumishi wengine? Kigezo cha kwanza Tanzania cha mtu kuwa mtumishi wa umma ni elimu ya kidato cha NNE,kama makonda hana,basi hana budi kumsaidia kazi rais wetu kwa kujiuzuru mwrnyewe

Hakuna kigezo cha rais kumteua mtu,kisha mkuu wa mkoa si mtumishi wa umma kwa maana na sifa za utumishi wa umma. Soma hizo unazoziita 'standard order' soma chochote. Jamani tujielimishe, tuwe na taarifa sahihi kwanza kabla ya kuja hadharani na kutoa hoja zetu, kufanya hivyo ni kujivua nguo hadharani.
 
Back
Top Bottom