Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Hii Kali sijui sizonje atakuwa kakwazika sana na taarifa za huyu kijana maana sidhani kama kuna mkuu wa mkoa hapa Tanzania aliyependwa kama huyu Bashite ila ndio hivyo sijui atamfanyaje maana ni kijana wa maeneo yetu aibu hii utaificha wapi,kweli ukiamua kupambana na vita yoyote ile jipange huyu hakujipanga vita ya madawa ya kulevya ni zaidi ya uijuavyo.
 
Samaki aliyefunga mdogo wake Kamwela Hawezi kunaswa na ndoana ya Mvuvi, Daudi ajifunze kufunga mdomo anapokuwa katikati ya Wabaya wake
 
Sidhani kama ni busara kwa meya kuandika haya.Yeye ni.kiongozi alipaswa kutofanya siasa kwenye japo hili.Japo napingana sana na vyeti fake,ila sioni ni busara kwa meya kuandika haya
 
Father meya umesahau ya mkurugenzi Wilson kabwe keleeeeee daraja la kigamboni now nyerere
 
huyu jamaa hana busara toka zamani huyu ndiye aliyemkashifu lowassa na kumpiga Mzee warioba
 
umeshahu pia kifo cha mkurugenzi wa Jiji la dsm ( Mh Kabwe), pia kilichangiwa na huyu bwana...

ila nimependa sana mh Jacob ulivyoalizia "Fedheha na aibu imepanda gari lako la kifahari,imeingia ndani ya jumba lako hapo masaki,walinzi wote polisi na wanajeshi wameshindwa kuizuia,ipo mpaka sebuleni na sasa ujue Dar es salaam haitokubali itawaliwe na kuongozwa na KILAZA.......KUSOMA RAHA SANA"

niliwahi kuandika siku moja, Ukiinuliwa na mwanadamu ipo siku mwanadamu atakushusha kwa kwa aibu...

Daudi aliinuliwa na mwanadamu, na ikafikia hatua akamuita mwanadamu mtukufu, akafanya dhambi yua kuua watu..

damu bado za watu zinamlilia na mwanzo wa laana kumtafuna
 
shortcut kwli inacost dahhhh...
jamaa nahisi mikono yake badala kuwa karbu na miguu...
mikono ipimezba masikio muda wote akijutia kwa ujuaji waajabu.......
 
AKUMBUKE TU KWAO KUNA WAZEEE..LILE LIKIBAO ALILIMSINDIKA MZEE WARIOBA LINAMTOKEA PUANI
 
Rais Kimwacha Bashite nitasikitika sana nikiskia mtu anasumbuliwa Kuhusu Ukaguzi
 
Ningekuwa na fedha za kuchezea,ningeweza kulipia milioni kumi na kuchongesha number plate yenye jina BASHITE halafu nibandike kwenye gari langu
 
Bashite anajiona mungu mtu wa dar es salaam, wakati sisi wananchi tunamuona kama Kijana wa Vyeti feki ambavyo hataki kukanusha au kuthibitisha
Nilijua tu kwambwembwe zile bichwa zero ...
 
Ningekuwa na fedha za kuchezea,ningeweza kulipia milioni kumi na kuchongesha number plate yenye jina BASHITE halafu nibandike kwenye gari langu
Mkuu tembeza tu bakuli tutakuchangia mi nitakuchangia tsh laki 5 naamini tupo wengi tutakaokuchangia it is a good idea
 
Sidhani kama ni busara kwa meya kuandika haya.Yeye ni.kiongozi alipaswa kutofanya siasa kwenye japo hili.Japo napingana sana na vyeti fake,ila sioni ni busara kwa meya kuandika haya
Okay....u r right what about the other......
 
Sidhani kama ni busara kwa meya kuandika haya.Yeye ni.kiongozi alipaswa kutofanya siasa kwenye japo hili.Japo napingana sana na vyeti fake,ila sioni ni busara kwa meya kuandika haya
siasa inafanywa ktk madawa ya kulevya sembuse vyeti feki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom