Methali: mwenzako akinyolewa...!?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,794
Tuendeleeni tu kuwakenulia wavimba macho
IMG-20180907-WA0050.jpg
 
Ukiona mtu anakupa mikopo na zawadi nzuri ambazo huwezi kumlipa basi atakuja kukuoa siku moja hata kama ni Mwanaume mwenzako.

(Nimetumia mfano mkali sana maana kuna mtu anaweza kuolewa miaka ya hivi karibuni)
 
Believe me!
Trust me on this one walahi!
‘Mataifa wataleta vipawa na mali kwetu Tanzania ‘ kwa kuwa wameamrishwa na Mwenye Enzi Mungu walahi!
DNA siyo uniform walahi!
That’s all!
Buhahhahaha

Hizo Walah.....Walah

kama Dozi

Jf,kweli imekusanya watu......
 
Believe me!
Trust me on this one walahi!
‘Mataifa wataleta vipawa na mali kwetu Tanzania ‘ kwa kuwa wameamrishwa na Mwenye Enzi Mungu walahi!
DNA siyo uniform walahi!
That’s all!
prayers or you are prophesying?
 
Of course, DAWA YA DENI KULIPA!

Pamoja na mengine, haya maviongozi ya Kiafrika yanachukua mikopo hovyo hovyo halafu hayarejeshi kwa sababu mapato huwa wanayaelekeza kusiko ndiko!!

Just imagine pesa zilizotumika kwenye chaguzi za marudio zingeweza kupunguza madeni yetu kwa kiasi gani? Au pesa ingeweza kutumika kwenye mambo mangapi muhimu ambayo pengine na yenyewe tumeyachulia mikopo!

Sometimes wanawekeza kwenye miradi isiyotoa return!!

Angalia mradi wa ndege zetu kwa mfano... ni sh. 1 Trillion! Of course, ni pesa za ndani lakini effect yake ni kwamba, mradi usipotengeneza return ya kutosha ina maana matumizi ya lazima ya serikali yatabidi yagharamiwe na mapato mengine... mapato ambayo yangeweza kupunguza madeni mengine tuliyonayo!

Matokeo yake, mapato yanaelekezwa kwenye shughuli ambazo pengine zingelipiwa na pesa zilizowekezwa kwenye white elephant projects! Na wakati yanaelekezwa huko, madeni ya watu yanazidi kuongezeka to the point yanakuwa hayalipiki!!

Tusiwaone Wachina roho mbaya... hicho walichofanya ni sawa na kile ambacho kilifanywa na waliokuwa wameidaka Bombardier!

Kama hayo hatutaki yatutokee basi tuache kukopa hovyo hovyo na hata pale tunapokopa basi tuwekeze kule ambako tunafahamu kuna faida za kiuchumi!
 
Ukiona mtu anakupa mikopo na zawadi nzuri ambazo huwezi kumlipa basi atakuja kukuoa siku moja hata kama ni Mwanaume mwenzako.

(Nimetumia mfano mkali sana maana kuna mtu anaweza kuolewa miaka ya hivi karibuni)
kabudi akiwa nje alisema nchi inekopeshwa trilion moja na bank ya dunia ambayo tutapaswa kulipa baada ya miaka 40

unajua wame focus nn? miaka hiyo 'stiglaz goji' na mradi wa treni utakuwa umesha kaa vizuri kwahiyo tukishindwa kurejesha mkopo

wataweka under control kimoja wapo kama sio vyote ili kujilipa. Kizazi cha baadae watajiuliza ina maana akina mbazo za mawe walikuwa vichaa kusaini makubaliano ya aina hii?
 
Jana nimetaka kujua namna ya kukopa Pesa benki ya dunia kwa dhamana ya Nchi yangu, nikifanikiwa hakika nitakopa mkopo mkubwa kisha nitokomee.
 
Back
Top Bottom