Methali mpya

Methali mpya

Mkizitaka kwa wingi mumsikilize bonge wa clouds kila asubuhi
 
Maisha bila elimu sawa na kufumbata kipande cha barafu kiganjani
 
Mpenda nyingi nasaba ukaribisha mingi misiba
 
bora kitoto kichanga kinacholia kuliko kubwa jinga linalosema.
 
Back
Top Bottom