Methali mpya

Methali mpya

1. Mke wa mwenzio ni wako.

2. kitu kizuri ule na mwenzako

Kizuri kula na nduguyo, kibaya mtupie mbwa!

(Methali hii wanaitumia sana kina dada wanapoamua kutembea na waume/boyfriends wa marafiki/ndugu zao!)
 
Ukitaka kujua nguvu ya ufisadi tazma viogozi walioko madarakani
 
Kwanini utumbo utupwe wakati wenyewe twalia ndizi (!?)
 
Back
Top Bottom