Methali mpya

Methali mpya

Nyerere ni baba wa Taifa,je mama wa taifa...........
 
1. Kulia na kucheka zote ni kelele
2. Aliyeaga na aliyetoroka wote hawapo
 
1. Mke wa mwenzio ni wako.

2. kitu kizuri ule na mwenzako
 
Zipo funguo kadhaa za mafanikio,lakini funguo moja ya kushindwa ni kujaribu kumfurahisha kila mtu.
 
1:Tanzania Bila ukimwi inawezakana

2: Tanzania bila ufisadi haiwezakani
 
Ukitaka kuwa Kiongozi ccm, lazima uwe fisadi
 
Si kila anayelia amedhurika...wengine hulia kwa kufurahia
 
Back
Top Bottom