Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,056
- 41,532
Haaahaa...Funika kombe mwana haramu apite
Kombe halifunikwi na mwana haramu hapiti ng'oo
Waarabu wa PEMBA hujuana kwa vilemba...
Haaahaa...Funika kombe mwana haramu apite
Kombe halifunikwi na mwana haramu hapiti ng'oo
Ukitaka cha uvunguni sharti uiname😀 siku hizi vitanda havina uvungu🤣Methali gani unaona imepitwa na wakati na ipi ilikuwa mbele ya muda yaani inafaa hata sasa?
Mfano mie naona aliye Juu mngoje chini kama imepitwa na wakati maana asiposhuka itakula kwako,
Siku hizi upwa hauna maana tena tunatumia rice cookerMgagaa na upwa hali wali mkavu😂
Siku hizi kuna lift unamfuata huko hukoAliyepo juu mngoje chini... hii ifutwe
Na siku hizi ni lami tupu hakuna visikiMwenda pole hajikwai....
Je akivaa viatu??
Upwa-ufukwe😁Siku hizi upwa hauna maana tena tunatumia rice cooker
Siku hizi show zinapigwa mpaka kwenye makochi🤣Kitanda hakizai haram...
Basi vichaa wasinge kuwepo🫤
Siku hizi kuna CCTV na camera za siri🤣Kuchapiwa ni siri ya ndani....
Hii inauma labda usijue🙄
🙌🏿🙏🏿🤣 basi siku hizi kuna boatUpwa-ufukwe😁
Siku hizi uchi haufichwi tenaMficha uchi hazai.
Siku hizi kuna IVF
Haraka haraka haina barakaMethali gani unaona imepitwa na wakati na ipi ilikuwa mbele ya muda yaani inafaa hata sasa?
Mfano mie naona aliye Juu mngoje chini kama imepitwa na wakati maana asiposhuka itakula kwako,
Subira siku hizi anavuta bangi😁Haraka haraka haina baraka
Subira ya vuta heri
Simba mwenda pole ndiye mla nyama
Sasa wewe jifanye hauna haraka na maisha au unafanya vitu polepole uine kama haijala kwako
Mimi pia niliwaza upwa ni ufukwe au mshana anasema upwa kwa maana ya mpanti 😊☺️Upwa-ufukwe😁
Si ndio shekhHaaahaa...
Waarabu wa PEMBA hujuana kwa vilemba...
🤣🤣🤣 Unaweza kugagaa na upwa hata huo wali mkavu usipateMgagaa na upwa hali wali mkavu😂
Halafu hapo hapo wanasema,Polepole ndio mwendo....
Hii itakuchelewesha