The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,081
- 117,691
Umzaniaye ndiye kumbe siye,
Siku hizi umzaniaye ndiye,ndio huyo huyo.
Siku hizi umzaniaye ndiye,ndio huyo huyo.
Kama kawaida yake😁Mimi pia niliwaza upwa ni ufukwe au mshana anasema upwa kwa maana ya mpanti 😊☺️
Sijui utafanyanini🤣🤣🤣🤣 Unaweza kugagaa na upwa hata huo wali mkavu usipate
Tena bila kupepesa macho!🙌🏾Umzaniaye ndiye kumbe siye,
Siku hizi umzaniaye ndiye,ndio huyo huyo.
Kwa hiyo wewe ni tajiriSio kuzeeka unazeeka vibaya
Niliookua mtoto nilikua nalala na hela
Atajikwaa tuMwenda pole hajikwai....
Je akivaa viatu??
Bangi unayovuta nimeipenda!Mara usitukane mamba kabla haujavuka mto, sikuhizi mamba anatukanwa na mto tunavuka😃
Wahenga hawaamini😁
Njoo nikupe kidogo😎Bangi unayovuta nimeipenda!
Sio vitu vyangu mi napenda kula vizazi tu!Njoo nikupe kidogo😎
Hongera basi utakuwa umenenepa sioSio vitu vyangu mi napenda kula vizazi tu!