Meta wafuta account ya Mange Kimambi ya Instagram

Meta wafuta account ya Mange Kimambi ya Instagram

Hakuna asiyenunulika
Kuelekea D9 pigo lingine
Dada wa Taifa amekula ban
View attachment 3510941
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_082736_0000.png
 
Kumpiga spana kidogo tu kakimbilia kuniblock
 
Habari ndio hiyo... Mange na Maria accounts zao za Insta zenye ufuasi mwingi zapigwa pini.

Inaonekana hili ni pigo kubwa na la kwanza kwa wanaharakati hawa. Hakika serikali ina mkono mrefu. Kwa maana hiyo maandamano ya D9 yamesha fail.

Usicheze na Serikali
Siku hizi mmeacha ule msemo wenu maarufu wa "Watanzania wanaandamana mitandaoni kwenye keyboard tu"
 
Safi kabisa, haya wachochezi .

Yeah, waache uchochezi ili tuendelee k*u*f*ira watoto bila kubugudhia, Samia kaagiza tufanye hivyo na anasema ni muhimu ili kiti chake kilindwe.
 
Habari ndio hiyo... Mange na Maria accounts zao za Insta zenye ufuasi mwingi zapigwa pini.

Inaonekana hili ni pigo kubwa na la kwanza kwa wanaharakati hawa. Hakika serikali ina mkono mrefu. Kwa maana hiyo maandamano ya D9 yamesha fail.

Usicheze na Serikali
"Hakika Serikali ina mkono mrefu"
 
Back
Top Bottom