Meta imetengeneza Haptic Gloves zenye hisia na uwezo wa kugusa vitu katika ulimwengu wa kidigitali

Marketing team ya iliyokua Facebook inc nimewavulia kofia hapa

Hii nahisi itaenda kuwa one of the smartest marketing strategies kwenye Tech industry

Kitendo cha Facebook inc kujiita Meta, kumeidanganya public kwa kuwaaminisha watu kuwa Metaverse ni teknolojia kutoka Facebook na imetengenezwa na Facebook

Na wabongo wengi, hatuna idea kabisa ya hii concept mpya ya internet

Metaverse ni phase mpya ya internet,in layman terms
Ni kama tulivyohama kwenye analojia tukahamia kwenye ulimwengu wa kidijitali

Lakini niwambie ukweli tu, hii sio internet tuliyoizoea
Na hatuwezi kui afford kama bado umeme ni changamoto




Na maji...
 
Hakiki ujuo wa Meta tutapata mabadiliko mengi sana.
Hivyo hivyo na ushindani utaongezeka.
 

Ety VR Huwa najiuliza hivi huu ulimwengu tunao ishi is it real?? Hadi inafikia hatua wanaleta mambo ya virtual reality VR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…