Meta imetengeneza Haptic Gloves zenye hisia na uwezo wa kugusa vitu katika ulimwengu wa kidigitali

Marketing team ya iliyokua Facebook inc nimewavulia kofia hapa

Hii nahisi itaenda kuwa one of the smartest marketing strategies kwenye Tech industry

Kitendo cha Facebook inc kujiita Meta, kumeidanganya public kwa kuwaaminisha watu kuwa Metaverse ni teknolojia kutoka Facebook na imetengenezwa na Facebook

Na wabongo wengi, hatuna idea kabisa ya hii concept mpya ya internet

Metaverse ni phase mpya ya internet,in layman terms
Ni kama tulivyohama kwenye analojia tukahamia kwenye ulimwengu wa kidijitali

Lakini niwambie ukweli tu, hii sio internet tuliyoizoea
Na hatuwezi kui afford kama bado umeme ni changamoto

Na maji...
 
Hakiki ujuo wa Meta tutapata mabadiliko mengi sana.
Hivyo hivyo na ushindani utaongezeka.
 
View attachment 2015708Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa, mifumo ya AR/VR na teknolojia ya kutafsiri hisia za mwili na kuunganisha na vifaa vya kiteknolojia.

Wiki hii, Meta imeonyesha Gloves mpya zenye uwezo wa kuweka uhalisia wa miguso katika ulimwengu wa kufikirika. Gloves hizi zimefungwa teknolojia maalum ambazo zinawezesha mtu ku-kuhisi miguso, vitu na kuweka uhalisi wa kushika vitu na miguso katika ulimwengu wa kidigitali.

Gloves hizo, zina uwezo wa kushirikiana na VR na mtu akapata uhalisia wa kuona na kugusa vitu, Mfano mtu anaweza kujenga, kushika vitu katika ulimwengu wa kidigitali na kuhisi kama ni uhalisia.

Hivi ndiyo Gloves hizo zitafanya Kazi

Ety VR Huwa najiuliza hivi huu ulimwengu tunao ishi is it real?? Hadi inafikia hatua wanaleta mambo ya virtual reality VR
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom