uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,939
Mama John hakutakiwa kuwa na mchepuko full stop.
Full stop
Mama John hakutakiwa kuwa na mchepuko full stop.
Ingekuwa ajira ungepata kirahisi. unauzoefu wa miaka mingi.Na epukaga saaana kutaja majina![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe
Kuna jamaa alinihadithia, kuna wakati rafiki yake alimwita wapige maji. Wakiwa wanaendea kunywa akapokea sms ya rafiki mwingine waende kwenye bata zao (ndiyo ulikuwa mpango wake siku hiyo).Mara nyingi ukiwa unachat na watu wawili kwa mpigo ndio unajichanganya....nilijichanganya siku moja nilitamani nione msg niikamate! Halafu nyingine uki send tu ndio unashtuka hapo hapo!
Mama huyo anasema alitamani message hiyo iwe kama mpira ili aione airukie na kuishika isiende maana ile ame-press send button ndo akagundua alikuwa anamtumia Mume wake na si hawara yake kama alivyokusudia...
Msg ilikuwa inasema hvi: (Majina si ya kweli haya)
''David nakupenda mno hata kushinda Baba Jonii hadi imefikia wakati tunashiri tendo la ndoa na Baba Jonii bila kuvuta hisia zako huwa sifikii juu ya mlima naomba ufanye hima utafute nafasi ingine weekend hii ili ukanifanyie kama siku ile, Nakupenda mno''...
Ni mtafaruko mkubwa unaoendelea sasa hivi katika familia moja hapa jirani kisa kikiwa ni kama nilivyoonyesha hapo juu...
Tuwe makini sana wakati wakutuma msg zetu za aina yeyote usije ukatamani kurukia msg ili uirudishe ili hali msg hata haionekani inavyosafiri..
Kama ilishawai kukutokea kutuma msg mbaya kwa mtu usiye kuwa unataka aione hiyo msg toa ushuhuda wako hapa...
Koho koho...Weeh. Kuna wanaume wababe. Anakamatwa na mkewe akichepuka na kibao anageuziwa mwanamke kuwa hana adabu na anamchunguza mno. Dunia ya leo kuna kipa dizaini Mungu kaziumba akaziacha hapo. Utashangaa
We fundiNa epukaga saaana kutaja majina![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe



mbinu zote wazijua hatareeee!Aisee kama namuona uso ulivyomshuka maanake yule 'fala' anaemnywesha bia anaweza kuisoma halafu akakaa kimya tu. Mimi muhusika niliemtumia alinijibu kistaarabu tu 'ukiwa unatuma msg kwa wenzio uwe makini' yakaishia hapo.Kuna jamaa alinihadithia, kuna wakati rafiki yake alimwita wapige maji. Wakiwa wanaendea kunywa akapokea sms ya rafiki mwingine waende kwenye bata zao (ndiyo ulikuwa mpango wake siku hiyo).
Akamjibu "nipo mahali nakunywa pombe za fala flani", wakati wa kusend ikaenda kwa rafiki yake waliyekaa naye......Ilikuwa aibu sana kwa sababu anamheshimu sana jamaa.
Ndio tatizo la kutuma meseji za analogia. Angetumia wasap sidhani kama haya yote yangetokea.Mama huyo anasema alitamani message hiyo iwe kama mpira ili aione airukie na kuishika isiende maana ile ame-press send button ndo akagundua alikuwa anamtumia mume wake na si hawara yake kama alivyokusudia...
Msg ilikuwa inasema hvi: (majina si ya kweli haya) ''David nakupenda mno hata kushinda baba Jonii hadi imefikia wakati tunashiri tendo la ndoa na baba Jonii bila kuvuta hisia zako huwa sifikii juu ya mlima naomba ufanye hima utafute nafasi ingine weekend hii ili ukanifanyie kama siku ile, Nakupenda mno''...
Ni mtafaruko mkubwa unaoendelea sasa hivi katika familia moja hapa jirani kisa kikiwa ni kama nilivyoonyesha hapo juu...Tuwe makini sana wakati wakutuma msg zetu za aina yeyote usije ukatamani kurukia msg ili uirudishe ili hali msg hata haionekani inavyosafiri..Kama ilishawai kukutokea kutuma msg mbaya kwa mtu usiye kuwa unataka aione hiyo msg toa ushuhuda wako hapa...
Hii ni kubwa kuliko, ulipomuona binti yako sura yako sipati picha.Nilimtumia SMS mchepuko ikaenda kwa binti yangu. Ilikuwa aibu ya kutosha
Ndio maana naamini kuchepuka ni kujitafutia shida tu. Kila ukituma sms uwe makini, simu huachani nayo, akiishika mwenzako unatamani kutoweka duniani kwa muda...
Yote hayo ya nini.
`Waambie mahali kama itazidi 500000 nawaachia mwanao na mtoto wangu akizaliwa namchukua sinunui bidhaa mimi' ni text iliyoingia kwangu badala ya mwanafunz aliepew ujauzito na EX ndio mwanzo wa kujua ukwel!!!!!!! akyanaN unazimia,,,,,,,.
Upo sahihi sna hapa King'astiNafikiri formulae ya kuchepuka ilipaswa kuwa moja tu, ufanye endapo haujali tena mahusiano yako. Ni upuuzi kukutwa na mwenza wako ukichepuka halafu ukaomba msamaha, manake hautakaa uaminike tena.
Sasa Kama una chepuka huku bado ndoa unataka lazma jasho na fedheha vikuhusu.