Message ya mchepuko yaenda kwa mume

Message ya mchepuko yaenda kwa mume

Mama John amweleze baba John shetani alimpitia tena pepo kama wale waliotupwa kwa KTM😀........pole zake
 
Nilishakuwaga na dili moja la pesa na anko wangu....sasa kipindi nataka nimtumie mesej anko kumuambia kwamba huyo jamaa tunataka kumpiga hela kashtuka ile mesej nkaituma kwa jamaa tunaetaka kumpiga hela....mesej niliandika hivi...."hoya anko huyu jamaa naona kama kashtukia"....jamaa hakunitafuta tena na dili ikaisha

hahahahaha..... pale unapotuma msg ya kumengenya mtu unakosea unatuma kwa unayemengenya balaa lake lol
 
Aisee, ipo siku nilimtumia Mama yangu msg badala ya aliyekuwa mlengwa, nltaman kukimbia kama miale ya mwanga nikaifute kabla hajaiona!!
 
Mbona ku2ma pesa (m-pesa, tigopesa, airtel money....) huwa hamkosei!!! Heb koseen bas m2me hela kwny namba'ng
 
Hahahahah sipati picha ya hilo farangati hapo...Uliweza solve hiyo balaa...Maana hapo wanaume wengi tunaishiwaga hadi mate mdomoni mate yanakauka chap unabaki unajichekesha chekesha tu...
Niliisolve kiselaa... Acha tu.
 
Ila huyo mwanamke naye aliandika sana hadi kumuongelea mumewe kwa mchepuko laaaaa, bora angejiongelea yeye tu na hamu yake.

Wanawake/wasichana mchepuke ila msiongelee wenu wa ndoa kiundani kiasi hicho hata mkiwa uso kwa uso...mwache apate ka wivu asijue unakuwaje naye kitandani...akikuuliza jisikie raha sema unampa haki yake kama kawaida sababu ni wako ila wewe unajua unalofanya ukiwanaye sio kubwabwaja ovyo. Uongo ni muhimu sana ukiwa mwanamke unachepuka...akifikiri wewe mjinga basi wewe enjoy kampani yake au mawasiliano...atajiju
 
Mama jonii naye nikiruka njia sana, kumbe mumewe anamkuna lakini kwa tamaa zake ameweka supu nyanya
 
  • Thanks
Reactions: irk
Hahahahah!mama jonii ah!!!!tahadhari kwa wanawake wote ukitaka Ndoa yako idumu daima acha michepuko! Hata kama mumeo ana ka nyumba ndogo mahali tunza yako tu na c kubomoe! Wanaume wanagundua makosa yao kwa haraka sana,ila kumsamehe mwanamke ndo issue, hiyo haitakaa iishe kwenye moyo wa baba jonii!!
 
Na epukaga saaana kutaja majina ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe
hujatulia wewe
Nilishakuwaga na dili moja la pesa na anko wangu....sasa kipindi nataka nimtumie mesej anko kumuambia kwamba huyo jamaa tunataka kumpiga hela kashtuka ile mesej nkaituma kwa jamaa tunaetaka kumpiga hela....mesej niliandika hivi...."hoya anko huyu jamaa naona kama kashtukia"....jamaa hakunitafuta tena na dili ikaisha
Uuiwiiiiiiiiiie yeuuuiwiiiiiiiiii, auwiiiiiiiiiiiii, jaman njooniii, uwiiiiiiiiiiiiiiiieeeeee
 
kwahiyo kuchepuka wameumbiwa wanaume tu
kiruu ng'astuka yaani ukiona mpaka mwanamke anachepuka kachoshwa haswaaa
Daaah!!! You are sounding so sexy, Umenitamanisha nichepuke na wewe hadi udenda unanitoka!
 
`Waambie mahali kama itazidi 500000 nawaachia mwanao na mtoto wangu akizaliwa namchukua sinunui bidhaa mimi' ni text iliyoingia kwangu badala ya mwanafunz aliepew ujauzito na EX ndio mwanzo wa kujua ukwel!!!!!!! akyanaN unazimia,,,,,,,.
 
Ila huyo mwanamke naye aliandika sana hadi kumuongelea mumewe kwa mchepuko laaaaa, bora angejiongelea yeye tu na hamu yake.

Wanawake/wasichana mchepuke ila msiongelee wenu wa ndoa kiundani kiasi hicho hata mkiwa uso kwa uso...mwache apate ka wivu asijue unakuwaje naye kitandani...akikuuliza jisikie raha sema unampa haki yake kama kawaida sababu ni wako ila wewe unajua unalofanya ukiwanaye sio kubwabwaja ovyo. Uongo ni muhimu sana ukiwa mwanamke unachepuka...akifikiri wewe mjinga basi wewe enjoy kampani yake au mawasiliano...atajiju
Ni kama unaniita kuja kuchepuka na wewe vile!
 
Back
Top Bottom