Kumbe una mchepukoNa epukaga saaana kutaja majina [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe
Kumbe una mchepukoNa epukaga saaana kutaja majina [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe
Malizia kabisa kuwaNaamini pia katika hilo wanasema siku ya kufa nyani .....
Mimi sichepukagi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna adaCongratulations mkuu ! Ha ha. Sasa best naomba consultation kwako ili unifundishe mbinu za kuepuka kuchepuka. Tuanze lini session ya kwanza? Virtually tuanzie PM halafu tuta-advance kwenye real world. I promise nitakuwa mwanafunzi mzuri kwako. Nakusubiria...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna ada
[emoji4] [emoji4] [emoji4] okayHa ha haaah. Of course hiyo hainipi shida hata kidogo mrembo. Ninainjoi sana kulipia kitu chochote kizuri na chenye thamani. So, it is my great pleasure to take care of u for dat dear lizziebettie. Twende kazi bila kuchelewa. Natangulia basi..