Message ya mchepuko yaenda kwa mume

Message ya mchepuko yaenda kwa mume

Ila ishu hii mimi imenitokea liivvveee.... Nilikua nasafiri kwenda kwa wife... Nikaandika msg ya kumuaga mchepuko ..... Hakyananii nikaituma huko nnakoenda... Nyeeee.. Acheni tu .
Hahahahah sipati picha ya hilo farangati hapo...Uliweza solve hiyo balaa...Maana hapo wanaume wengi tunaishiwaga hadi mate mdomoni mate yanakauka chap unabaki unajichekesha chekesha tu...
 
Usiombe yakukute, ilishawai kunitokea namtumia mseji mfanyakazi meenzangu msg ikaenda kwa Boss..nilikuwa namwambia upuuzi flani hivi kuhusu huyohuyo boss wetu alafu nimekaa nae jirani, ikafika akasoma, nakumbuka tulikuwa SUB SCANIA pale, BOSS akaniuliza ni mwarabu gani ana mambo ya kisenge? Umenitumia msg hapa inasema huyu mwarabu wako ana mambo ya kisenge ni yupi huyo? Nikajibu vya kuunga unga tuu nashukuru hakutilia mkazo sababu alikuwa na furaha zake na dill lake pale SCANIA vinginevyo kingenuka.
 
Noma sana...
 
Nafikiri formulae ya kuchepuka ilipaswa kuwa moja tu, ufanye endapo haujali tena mahusiano yako. Ni upuuzi kukutwa na mwenza wako ukichepuka halafu ukaomba msamaha, manake hautakaa uaminike tena.

Sasa Kama una chepuka huku bado ndoa unataka lazma jasho na fedheha vikuhusu.
Siku za mwizi 40 ikifika hata ufanyeje utakamatwa tu.
 
Mchepuko/hawara unampigia simu..Msg ni risk zaidi..
Kabisa shida ni kuwa mazoea yakizidi mno watu hupoteza umakini ..akiamnin wakati nasubiri kufunguliwa gate kuingia hme nitafuta msg zote na called history zote zenye mashaka, balaa inakuja siku ya 40 kila kitu kinawekwa hadharani..
 
Kuna kujisahau ndugu....ni vigumu sana kuwa makini kwa asilimia 100 kwa wakati wote.

Na ni rahisi sana kutuma ujumbe wa simu kwa mtu ambaye siye....
Mara nyingi ukiwa unachat na watu wawili kwa mpigo ndio unajichanganya....nilijichanganya siku moja nilitamani nione msg niikamate! Halafu nyingine uki send tu ndio unashtuka hapo hapo!
 
Pia kama unachati na watu zaidi ya wawili. Wakati mwingine inatokea unachati na wtu hata watano kwa mpigo na katika hao wawili labda ni michepuko....

Kaazi kweli kweli.
 
Ila sifa mojawapo ya michepuko ni vimeseji fulani hivi vya kumfanya mlengwa kujiona yeye ndo yeye ili huduma iboreshwe zaidi na zaidi..
hahaaaaa kwa wachepukaji wa mwendokasi hao lakini ukiwa unajua nini umekosa ndani na nini unafata nje huwezi kuwa hivyo
 
Nafikiri formulae ya kuchepuka ilipaswa kuwa moja tu, ufanye endapo haujali tena mahusiano yako. Ni upuuzi kukutwa na mwenza wako ukichepuka halafu ukaomba msamaha, manake hautakaa uaminike tena.

Sasa Kama una chepuka huku bado ndoa unataka lazma jasho na fedheha vikuhusu.
Na ukitaka kujua wanaume hadi ile sauti ya base hutuisha ukute mwanaume tena wa miraba minne kakamwatwa kwa njia yeyote tu na wife wake akiwa kwenye maandalizi ama kwenye eneo ana chepuka ....Ni balaa sana..
 
Mara nyingi ukiwa unachat na watu wawili kwa mpigo ndio unajichanganya....nilijichanganya siku moja nilitamani nione msg niikamate! Halafu nyingine uki send tu ndio unashtuka hapo hapo!
Wakati huu huwa mfupi sana ila wenye mahangaiko makuu mno..Pale unapobonyeza send then ndo akili inarudi..
 
Ndio ujue watu wanakujua kuliko ujijuavyo.

Anyways, muhimu ni kujielewa na kujisimamia. Kama mtu anaamua kuchepuka inabidi achepuke kwa dhati ili akikamatwa asijute hata kidogo
Hahahahah eti kuchepuka kwa dhati......
 
Weeh. Kuna wanaume wababe. Anakamatwa na mkewe akichepuka na kibao anageuziwa mwanamke kuwa hana adabu na anamchunguza mno. Dunia ya leo kuna kipa dizaini Mungu kaziumba akaziacha hapo. Utashangaa
Na ukitaka kujua wanaume hadi ile sauti ya base hutuisha ukute mwanaume tena wa miraba minne kakamwatwa kwa njia yeyote tu na wife wake akiwa kwenye maandalizi ama kwenye eneo ana chepuka ....Ni balaa sana..
 
Hehehe. Ww ni mshindi wa ndondo cup.michepuko miwili kwa mpigo?
I give up

Back
Top Bottom