Message ya mchepuko yaenda kwa mume

Message ya mchepuko yaenda kwa mume

Nilishakuwaga na dili moja la pesa na anko wangu....sasa kipindi nataka nimtumie mesej anko kumuambia kwamba huyo jamaa tunataka kumpiga hela kashtuka ile mesej nkaituma kwa jamaa tunaetaka kumpiga hela....mesej niliandika hivi...."hoya anko huyu jamaa naona kama kashtukia"....jamaa hakunitafuta tena na dili ikaisha
Lazima usikie baridi mpaka kwenye ubongo hapo...
 
Dah mtu anauza utu wa mtu kwa ajili ya NGONO tu? hapo usikute mwanaume anamuhudumia kwa kila kitu, anamnyenyekea, anamjali, upendo wa hali ya juu, wakati mwingine usikute anagombana na watu wake wa karibu kwa ajili yake ila tatizo hilo la kutomfikisha ambalo linaweza kurekebishika linamfanye avuliwe utu wake, Wanadamu Ni Shida.
 
unajua ukishaamua kuchepuka epuka vimaneno vya kukela upande mwingine mbona utafurahi huyo kakosea kumponda mmoja wapo ndio shida ilipo anajifunza kuchepuka
Ila sifa mojawapo ya michepuko ni vimeseji fulani hivi vya kumfanya mlengwa kujiona yeye ndo yeye ili huduma iboreshwe zaidi na zaidi..
 
Huwa tunajisahau sana jamani, umeshachepuka inatosha habari za kuanza kumponda mumeo au mkeo kwa mchepuko huo ni udhalilishaji na kukosa maadili, huoni hata huruma jamani umeshamsaliti halafu bado unamponda tena, yaani hata huo mchepuko unakuona wa ajabu sema tu anashindwa kukuambia
 
Wengi hufanya hivyo kama njia ya kumuadaa mlengwa kumuonyesha kwamba yeye ndiyo yeye na jamaa akishapewa kichwa na kikavimba hakika hawazi tena kuongeza tarakimu kwenye ATM kwa ajili ya mchepuko..Na trick hii imethibitishwa inafanya kazi mno watu (ME) tunapendaga kusifiwa sana..
 
Ina mrejesho..!?
Mama aligoma akisema alimtumia Mume wake kwa makusudi tu alikuwa anataka kumpima...Sasa mama akisema hivyo jamaa anakuwa kichaa kabisa anasema tuko na miaka 10 na kitu kwenye ndoa hujawahi kunifanyia utani wa namna hii iweje uanze leo...Mume anakomaa na wife aseme ukweli huyo mwanaume ni nani...
 
Enheee.... then what next

Back
Top Bottom