Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Naona watu wanakrupuka kutoa povu kuhusu hiyo picha. Nini uthibitisho kwamba picha hiyo ilipigwa Israel? Na je tuna uhakika hii picha sio photo shop? Wataalamu waiangalie halafu watufahamishe kama hiyo picha haijachezewa. Naona huyo mzungu aliyebeba hilo bango amezungukwa pande zote na waafrika, je alikuwa anaandamana peke yake?

Akili yangu inaniambia kuna kitu hakipo sawa hapa.

Tiba.

kwa sababu tu hunaga akili...alafu umevaa miwani ya udini kichwani tayari

AP070820045691.jpg
 
Watetezi wakuu, Mawakili sugu, Lawyers wa Taifa teule ndugu zetu akina Mr. 2013 Kakende Mlaleo Ishmael
na wenineo..... Salaam zenu!!

11041824_702715586511859_5223434401185650286_n.jpg

Unaongea kitu Gani Kipya???

Swali kwako na wewe.... Wahamiaji Haramu hapa Tanzania waliambiajwe?

E86A0641.JPG

Tizama hii Picha hawa ni Waethiopia walikamatwa Nchini Tanzania na walirejeshwa Makwao.. Israel ipo sawa...

Mmoja+wa+Wahamiaji+Haramu+raia+wa+Ethiopia+akisoma+majina+ya+wenzake+kwa+ajili+ya+kuingia+mahakamani+kusikiliza+kesi+yao+%252C+Wahamiaji+hao+walikamaatwa+mwishino+mwa+wiki+na+kufikishwa+Mahakamani+hapo+Januari+23%252C+2012.JPG

[h=1]Tanzania yaahidi kuendelea kuwarejesha wahamiaji haramu.[/h]

Wakimbizi wa Burundi wajitayarisha kurudi nyumbani kutoka tanzania

20.08.2013 16:32

Serikali ya Tanzania imefafanua zoezi la Serikali hiyo la kutaka kuwaondoa wahamiaji haramu walioko katika mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa nchi hiyo ya Kagera, Kigoma na Geita.

Jumanne jijini Dar es salaam Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dakta Emanuel Nchimbi ambaye wizara yake inahusika na idara ya uhamiaji ametoa taarifa ya zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu katika mkutano na waandishi wa habari.

Waziri Nchimbi kwanza alitoa ufafanuzi wa wahamiaji hao haramu ili kuondoa mkanganyiko unaoenezwa kwamba Tanzania imeamua kufukuza raia wa mataifa jirani.

Alisema wanaotakiwa kuondoka ni wale wanaoishi nchini kinyume na sheria ya uhamiaji inayowataka kuomba vibali maalum vya ukaazi na ufanyaji kazi hapa nchini

Kuna madai pia kwamba wahamiaji haramu walioamua kuondoka kwa hiari yao baada ya agizo la mkuu wa nchi Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni, hawatendewi haki wengi wanaporwa mali zao na kufanyiwa uhuni.

Waziri wa mambo ya ndani amesema kufanya hivyo ni kosa kisheria na ndiyo sababu wametoa agizo la wahamiaji wanaotaka kuondoka na mali zao watoe taarifa kwa vyombo vya usalama ili polisi wawasindikize mpaka mpakani.

Wahamiaji haramu 10,672 wameshaondoka nchini Tanzania kuanzia kutangazwa kwa operesheni hiyo na Rais mwishoni mwa mwezi julai mwaka huu.
[h=5]Ripoti ya Dina Chahali[/h]

[h=1]Msako dhidi ya wahamiaji haramu Tanzania[/h] 12 Septemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 12:49 GMT
Zaidi ya watu sabini wanaodai kuwa ni raia wa Tanzania wamegoma kuendelea na safari kuingia nchini Rwanda baada ya vyombo vya dola nchini Tanzania kuwafikisha kwenye mpaka wa Rusumo kati ya mataifa mawili.
Awamu ya kuwaondosha kwa nguvu wamamiaji haramu kutoka Tanzania kwa agizo la rais Jakaya Kikwete imeanza mwishoni mwa juma,baada takriban wanyarwanda elfu saba kurejea hapo awali kwa hiari yao japo baadhi walidai kuyakimbia maskani yao kutokana navitisho kadha wa kadha dhidi yao.
Mwandishi wa BBC John alikwenda katika mpaka wa Rusumo kujionea hali

[h=3]Waethiopia 100 wahukumiwa kuwa Kenya[/h]
​
Raia mia moja wa Ethiopia hii leo wamehukumiwa kifungo cha miezi kumi na mbili gerezani nchini Kenya au walipe faini ya takriban dola 600 baada ya kupatikana na hatia ya kuwemo Kenya kinyume na sheria.
Polisi waliwakamata wahamiaji wao haramu siku ya Jumatatu katika mtaa mmoja mjini Nairobi. Maryam Dodo Abdalla anaarifu zaidi.
Wahamiaji hao haramu walioonekana wachafu na waliodhoofika kwa njaa, walikiri mashtaka hayo baada ya kusomewa makosa yao mmoja baada ya mwingine na hakimu Victor Wakhumile mjini Nairobi.

Hufahamu Maana ya Neno Mau Mau... Mzungu Aende Ulaya Mwafrika Apate Uhuru...

Kila mtu aende kwao utotoni tumeimba kimwimbo hicho kifupi...
 
Wamesema Waafrika ndio hawatakiwi huko Israel! Wakimaanisha watu weusi kama wewe. Wetu weupe hawanatatizo nao, acha kujizalilisha wewe, unawatetewa watu wanao kutukana na kukufukuza! Shame on you.

Eti anajiita Mu-Israeli acha kujipakatisha wewe, nenda huko Esrael basi kama hawaja kutoa roho.
Sasa kwanini hilo likuumize wewe? Wao kukukataa wewe uende kwao, inakuumiza nini wewe hadi upanic hivyo? Wewe huna kwenu? Au ulichangia chochote kuleta maendeleo yao mpaka leo hii wakisema hawakutaki huko kwao ulazimishe na ukasirike na uone sio haki?
 
Ni lugha wanayotumia. Hakuwa Na haja Ya. Kuita Africa jungle!!!
Jungle ni tusi? Hatuna jungles kwani? Tena ni kitu cha kujivunia kuwa na misitu ukiringanisha na jangwa lao. Yes come back to your tropical evergreen jungles, why should you force to stay in a god forsaken dry desert??

Unajua WaAfrika tumezidi, kila kitu mnaona mnabaguliwa wakati kuna mda ni inferiority complex zetu tu.
Sioni tatizo ya stance ya huyo jamaa tena hasa hasa kwa nchi kama Israel. Ingekua USA au UK sawa, sababu kuna mchango mkubwa wa mtu mweusi kwenye hizo nchi na watu weusi walichukuliwa kwa lazima kwenda huko. Kwaio leo hii akija mzungu akisema waafrika wamarekani waondoke huyo atakua kichekesho. Lakini ISRAEL!!
 
Sasa kwanini hilo likuumize wewe? Wao kukukataa wewe uende kwao, inakuumiza nini wewe hadi upanic hivyo? Wewe huna kwenu? Au ulichangia chochote kuleta maendeleo yao mpaka leo hii wakisema hawakutaki huko kwao ulazimishe na ukasirike na uone sio haki?

Wala hainisumbui mimi hiyo,hao israel kwangu ni sawa na Mbwa tu,hiyo post kunamtu nimemjibu naona wewe umejibu bila kujua nini kinaendelea,mwenyewe ilomhusu amekaa kimya.
 
Hii picha kwa mbaali nina mashaka nayo. Hilo bango ni translucent ila image inayoonekana haina uhusiano na picha. Anyways, huyu hawakilishi taifa zima la Israel.

Wacha kujitekenya na kujipakatisha wewe!
 
Hii picha kwa mbaali nina mashaka nayo. Hilo bango ni translucent ila image inayoonekana haina uhusiano na picha. Anyways, huyu hawakilishi taifa zima la Israel.

Anakoangalia huyo mwisraeli mwana wa Mungu na liliko bango ni tofauti. Mikono iliyoshika bango ni myeusi wakati mwisraeli ni mweupe. Mwisraeli kavaa shati jeupe mikono mifupi lakini kwenye bango tunaona mtu amevaa shati jeusi. Full photo shop
 
Wala hainisumbui mimi hiyo,hao israel kwangu ni sawa na Mbwa tu,hiyo post kunamtu nimemjibu naona wewe umejibu bila kujua nini kinaendelea,mwenyewe ilomhusu amekaa kimya.

Utaitaje mbwa taifa takatifu lililowekewa agano na Mungu kuwa ni watu wake na kuwa mataifa yatatoka kwake?Mwanzo 17:6. Unajitafutia laana hili ni taifa na nchi takatifu ndugu
 
Utaitaje mbwa taifa takatifu lililowekewa agano na Mungu kuwa ni watu wake na kuwa mataifa yatatoka kwake?Mwanzo 17:6. Unajitafutia laana hili ni taifa na nchi takatifu ndugu

Blind love fir Israel now let me open your eyes. Have you read Sanhedrin in the Talmud?

This is the Jewish Law book that is written by 70 Rabi Elders who interpret The Torah into Laws and guidlines for the Jews to follow.
 
Anakoangalia huyo mwisraeli mwana wa Mungu na liliko bango ni tofauti. Mikono iliyoshika bango ni myeusi wakati mwisraeli ni mweupe. Mwisraeli kavaa shati jeupe mikono mifupi lakini kwenye bango tunaona mtu amevaa shati jeusi. Full photo shop
Good eye. . . .
 
Blind love fir Israel now let me open your eyes. Have you read Sanhedrin in the Talmud?

This is the Jewish Law book that is written by 70 Rabi Elders who interpret The Torah into Laws and guidlines for the Jews to follow.

No problem. I think you are talking about Ptolemy the second ordered the bible to be written in Greek because most of Jewish societies lost their language identity and instead they knew only Greek language. Is that right?
 
Utaitaje mbwa taifa takatifu lililowekewa agano na Mungu kuwa ni watu wake na kuwa mataifa yatatoka kwake?Mwanzo 17:6. Unajitafutia laana hili ni taifa na nchi takatifu ndugu

Teh! teh! teh! nadhani utakuwa umekinywa kile kinywaji tayari! (Dini nikilevi hatari) Hao kwangu ni Mbwa tu! wewe endelea kuwatukuza! japo wewe wanakuzarau na kukuzalilisha.
 
Jamaa hawa ni wabaguzi sana na wana chuki za kutisha kwa Waafrika, baada ya waliofanyiwa na yule jamaa wa Ujerumani ungetegemea wawe mstari wa mbele kuonyesha upendo kwa wanadamu wenzao bila kujali rangi ya ngozi zao, lakini si hivyo.

Kwa kweli hata mimi nilitegemea wanaijua shubiri ya kunyanyapaliwa wazazi wao waliyopita kipindi cha Unazi, ila kumbe ni tofauti....
 
Mimi binafsi nachukia watu weupe hasa waarabu na wahindi. Hawajanikosea chochote lakini imetokea tu yaani siwapendi na wala sina sababu ya msingi nawachukia bila sababu.
 
Back
Top Bottom