faby
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 2,214
- 768
Get a life young man. You can't even define Christianity.
Back to the jungle monkey
Get a life young man. You can't even define Christianity.
YOU ARE WRONG.
Christianity is NOT A RELIGION.
That is why you are dumb and mindless.
huyu mwarabu mse nge.
Mbaki kwenu kwan Hamna nchi zenu we achana na Israel taifa teule la mungu we sema eee Israel yangu ubarikiwe milele na milele
Naona watu wanakrupuka kutoa povu kuhusu hiyo picha. Nini uthibitisho kwamba picha hiyo ilipigwa Israel? Na je tuna uhakika hii picha sio photo shop? Wataalamu waiangalie halafu watufahamishe kama hiyo picha haijachezewa. Naona huyo mzungu aliyebeba hilo bango amezungukwa pande zote na waafrika, je alikuwa anaandamana peke yake?
Akili yangu inaniambia kuna kitu hakipo sawa hapa.
Tiba.
Wale ni taifa teule mkuu, tulitarajia kuona tofauti au unasemaje?Hata wa chagga hubagua wengine kwa kuwaita Chasaka. Wamasai nao na Lubega zao hujiona bora kuliko wa swahili. Hayazz nao watusi nk. Ndo maana tunasema binadamu si mkamilifu. Tumuombe sana mungu wadau
Sababu huna akili
Mataifa mengi ya nje wanawachukia israeli moja ni wabaguzi wa rangi na uonevu kwa wapalestina. Lakini tanzania ni moja ya nchi chache sana duniani ambazo wengi wa raia wake wanawapenda waisraeli kuliko ndugu zao wa kuzaliwa nao. Waisreli sio watu wazuri hata kidogo ni bora makaburu wa africa kusini kuliko wao.
Jiheshimu mkuu. Usiniite stupid. Kwani hiyo yaonesha udini?Don't be stupid, post yangu inaonyesha ubaguzi wa rangi wanaofanyiwa waafrica na raia wa Israel, sasa unaniambia kuwa neutral kivipi? Kwanini kila kitu mnaleta udini udini tu?
Jiheshimu mkuu. Usiniite stupid. Kwani hiyo yaonesha udini?
Mimi sijui nikoje, mbona naona poa tu. Kwani mimi nikikataa watu fulani kuja nyumbani kwangu ni kosa? Sasa inakueje wa israel,wazungu wengine wanapokataa mataifa mengine waje kulowea kwao iwe issue. Wewe kama mtanzania au msomali una haki gani ya kudai ukae huko kama sio mkimbizi?
Kwenu mharibu halaf muende kwa wenzenu mdai haki ya kukaa huko. Its ridiculous na mimi sielewi kabisa naomba kujulishwa.
Mimi sijui nikoje, mbona naona poa tu. Kwani mimi nikikataa watu fulani kuja nyumbani kwangu ni kosa? Sasa inakueje wa israel,wazungu wengine wanapokataa mataifa mengine waje kulowea kwao iwe issue. Wewe kama mtanzania au msomali una haki gani ya kudai ukae huko kama sio mkimbizi?
Kwenu mharibu halaf muende kwa wenzenu mdai haki ya kukaa huko. Its ridiculous na mimi sielewi kabisa naomba kujulishwa.
Wamesema Waafrika ndio hawatakiwi huko Israel! Wakimaanisha watu weusi kama wewe. Wetu weupe hawanatatizo nao, acha kujizalilisha wewe, unawatetewa watu wanao kutukana na kukufukuza! Shame on you.Hakika.
Kila mtu akae na kutulia kwenye nchi yake.
Mnaenda kwenye nchi za watu kutafuta nini huko..??
Sio kila kukicha waafrika 'wanazamia' nchi za watu huko.
Mbona wazungu hawaji huku kwetu kiholela, na kuzuruna na kufanya uhalifu mitaani.??
Mimi sikaenda nchi za watu kiholela, kuna wakati nilienda Kenya kikazi, yaani nilijisikia 'kinyaa' huko, nikarudi fasta.
Hapo jamaa kwenye bango lake, 'anawabembeleza' waafrika warudi kwao.
Jamaa kaandika '...please , go back to your land...'
Umeonesha udhaifu sana... Kama umeangalia hiyo video na kuishia kupata conclusion ya kwamba ni ya Waislamu, basi una uelewa mdogo...Sasa umeniquote na video ya waislam, unasetaka nionyeshe neutral kivipi?
Umeonesha udhaifu sana... Kama umeangalia hiyo video na kuishia kupata conclusion ya kwamba ni ya Waislamu, basi una uelewa mdogo...