Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Message kwa waafrika wanaoishi Israel

Mimi sijui nikoje, mbona naona poa tu. Kwani mimi nikikataa watu fulani kuja nyumbani kwangu ni kosa? Sasa inakueje wa israel,wazungu wengine wanapokataa mataifa mengine waje kulowea kwao iwe issue. Wewe kama mtanzania au msomali una haki gani ya kudai ukae huko kama sio mkimbizi?
Kwenu mharibu halaf muende kwa wenzenu mdai haki ya kukaa huko. Its ridiculous na mimi sielewi kabisa naomba kujulishwa.

Hakika.
Kila mtu akae na kutulia kwenye nchi yake.
Mnaenda kwenye nchi za watu kutafuta nini huko..??
Sio kila kukicha waafrika 'wanazamia' nchi za watu huko.
Mbona wazungu hawaji huku kwetu kiholela, na kuzuruna na kufanya uhalifu mitaani.??
Mimi sikaenda nchi za watu kiholela, kuna wakati nilienda Kenya kikazi, yaani nilijisikia 'kinyaa' huko, nikarudi fasta.
Hapo jamaa kwenye bango lake, 'anawabembeleza' waafrika warudi kwao.
Jamaa kaandika '...please , go back to your land...'
 
Wengine mpaka wanapigwa huko ughaibuni..., kisa ??..!!

WHR-Ethiopian-refugees-beaten-to-death-in-Apartheid-Saudi-Arabia.jpg
 
Jamaa hawa ni wabaguzi sana na wana chuki za kutisha kwa Waafrika, baada ya waliofanyiwa na yule jamaa wa Ujerumani ungetegemea wawe mstari wa mbele kuonyesha upendo kwa wanadamu wenzao bila kujali rangi ya ngozi zao, lakini si hivyo.

Mbona waafrika wenyewe kwa wenyewe tunabaguana?Mnigeria anaweza jiona bora kuliko muafrika mwenzake kutoka nchi nyingine ya Afrika,African American anajiona bora kuliko waafrika wenzie waliozamia Marekani kutoka Afrika,waafrika wa caribbean wanajiona bora kuliko waafrika wanaoishi Afrika
Tanzania kwenyewe tunabaguana-tayari kuna matabaka katika jamii;kielimu,kiuchumi,kikabila,kidini
First take that plank out of your own eye...(Matthew 7:5)
 
Hakika.
Kila mtu akae na kutulia kwenye nchi yake.
Mnaenda kwenye nchi za watu kutafuta nini huko..??
Sio kila kukicha waafrika 'wanazamia' nchi za watu huko.
Mbona wazungu hawaji huku kwetu kiholela, na kuzuruna na kufanya uhalifu mitaani.??
Mimi sikaenda nchi za watu kiholela, kuna wakati nilienda Kenya kikazi, yaani nilijisikia 'kinyaa' huko, nikarudi fasta.
Hapo jamaa kwenye bango lake, 'anawabembeleza' waafrika warudi kwao.
Jamaa kaandika '...please , go back to your land...'

Umeishia Kenya tu? Tembea uone, huko unakoita kwa wazungu kuna watu weusi wamezaliwa huko pia, sasa wataenda wapi?
 
Those are his opinions, just like that arabic deity who said there is No God.
 
This young African Man is petrified
cc: Nonda

black-africans.jpeg
 
Last edited by a moderator:
Those are his opinions, just like that arabic deity who said there is No God.

Africans wake up, the next statement wil be christianity is for the whites only, well I don't give a *** cuz I'm not one of the believers.
 
Kwa hiyo kama Waafrika tunabaguana akitokea asiye muafrika akitubagua tunyamaze kimya!? Akili ya wapi hii? Hebu fikiria hayo waliyofanyiwa wanawake toka Ethiopia bila ridhaa yao yangefanywa kwa wanawake wa huko labda na Waafrika au Wazungu wa Nchi yeyote ile jinsi ambavyo dunia ingepiga kelele kulaani unyama huo lakini kwa vile ni Waafrika dunia kimyaaa!!!! Ubaguzi wa aina yeyote ile bila kujali rangi ya wabaguzi inabidi ukemewe kwa nguvu zote.

Mbona waafrika wenyewe kwa wenyewe tunabaguana?Mnigeria anaweza jiona bora kuliko muafrika mwenzake kutoka nchi
nyingine ya Afrika,African American anajiona bora kuliko waafrika wenzie waliozamia Marekani kutoka Afrika,waafrika wa caribbean wanajiona bora kuliko waafrika wanaoishi Afrika
Tanzania kwenyewe tunabaguana-tayari kuna matabaka katika jamii;kielimu,kiuchumi,kikabila,kidini
First take that plank out of your own eye...(Matthew 7:5)
 
Hakika.
Kila mtu akae na kutulia kwenye nchi yake.
Mnaenda kwenye nchi za watu kutafuta nini huko..??
Sio kila kukicha waafrika 'wanazamia' nchi za watu huko.
Mbona wazungu hawaji huku kwetu kiholela, na kuzuruna na kufanya uhalifu mitaani.??
Mimi sikaenda nchi za watu kiholela, kuna wakati nilienda Kenya kikazi, yaani nilijisikia 'kinyaa' huko, nikarudi fasta.
Hapo jamaa kwenye bango lake, 'anawabembeleza' waafrika warudi kwao.
Jamaa kaandika '...please , go back to your land...'

"To jungle in Africa"
 
Africans wake up, the next statement wil be christianity is for the whites only, well I don't give a *** cuz I'm not one of the believers.
Get a life young man. You can't even define Christianity.
 
Hakuna lolote hicho kibango hakitoshelezi kuwaamisha watu kuwa ni ukweli. Mtu yoyote anaweza kushika hicho kibango na kupigwa nacho picha na inawezekama huyo siyo Muisrael.
 
Get a life young man. You can't even define Christianity.

Christianity is the religion based on the person and teachings of Jesus Christ, or its beliefs and practices...Anyway, I'm not a dumb to believe on this
 
Kwa hiyo kama Waafrika tunabaguana akitokea asiye muafrika akitubagua tunyamaze kimya!? Akili ya wapi hii? Hebu fikiria hayo waliyofanyiwa wanawake toka Ethiopia bila ridhaa yao yangefanywa kwa wanawake wa huko labda na Waafrika au Wazungu wa Nchi yeyote ile jinsi ambavyo dunia ingepiga kelele kulaani unyama huo lakini kwa vile ni Waafrika dunia kimyaaa!!!! Ubaguzi wa aina yeyote ile bila kujali rangi ya wabaguzi inabidi ukemewe kwa nguvu zote.

Kuna hii general tendency ya sisi waafrika kulaumu wengine hasa wazungu kwa ubaguzi,ilhali wenyewe ni wabaguzi wa kutupwa.Kama mtu hakutaki kwake kwanini ung'ang'anie?Tuanze sisi wenyewe kutobaguana kwanza;tuache ubinafsi na ufisadi,tujenge uchumi wetu vizuri,tuboreshe huduma za kijamii ili nao waje kwetu kutafuta maisha.
Wewe unashangaa hayo ya wanawake,lakini ushangai mauaji ya albino hapa yasiyo na mwisho,kina mama kufa kila kukicha wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma bora za afya na vifo vingine vingi vya kinyama ambavyo vingeweza kuzuilika?..acha hizo wewe!
 
Christianity is the religion based on the person and teachings of Jesus Christ, or its beliefs and practices...Anyway, I'm not a dumb to believe on this
YOU ARE WRONG.

Christianity is NOT A RELIGION.

That is why you are dumb and mindless.
 
Back
Top Bottom