Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

83953f02f56a3ea733548640f9375d74.jpg

Namimi nimetumiwa hiyo.. nilitaka nimjibu ustadhi amesema hataki hela anataka akusodome ila nikaona nimchunie tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh swahiba alafu wote tumetumiwa hiyo text j.tatu,mimi alinipigia kabisa baadae nikamuambia kua hali ngumu kaka hata mimi natafuta wa kumtapeli hapa job.
 
Hivi mbona kwangu hawatokei, nawasubiri kwa hamu km Yule presdaa wa Korea Mr. Kiduku..
 
Mimi natibu kienyeji/asili wanawake wote wasiopata tendo la ndoa. Kwa mwanamke yeyote mwenye kuhitaji mtwangio ani pm.

PS: msiwataarifu mapolisi wasije kuomba niwatibu na wao.
 
Hawa ni matapeli. Wanajifanya kama ni mganga alikuwa anamtumia ''mteja'' wake aliyepewa dawa na akafanikiwa sana ili kukuingiza chaka.

Sasa hapo ukilogwa na kuuliza chochote kuhusu meseji watakuvunga kuwa wamekosea na kukuambia hata kama wewe unataka dawa wanaweza wakakufanyia..

BTW ni wajinga tu wanaweza kuingia kwenye mtego wa kijinga kama huo kwani hakuna uganga wowote wenye uwezo wa kuleta fedha. Uganga ni kazi kwa bidiii na nidhamu ya matumizi tu!
 
Aisee hebu tuma hizo namba zao sisi ndiyo tunajua kudili na wapumbavu kama hawa ana utapeli wa kitoto sana yaani hapa inatakiwa kumuingiza kingi halafu mnampeleka maeneo ni kumsachi kila kitu mpaka boxer aliyovaa na kipigo heavy na kumuacha uchi kabisa nina siku nyingi sijapiga tapeli wala kibaka fursa kama hii mara ya mwisho ilikuwa 2013
 
Hivi unawezaje kumtapeli mtu ambaye hajawahi ende kwa waganga? Au mura wameisha wahi kukuona maeneo?
 
Aisee hebu tuma hizo namba zao sisi ndiyo tunajua kudili na wapumbavu kama hawa ana utapeli wa kitoto sana yaani hapa inatakiwa kumuingiza kingi halafu mnampeleka maeneo ni kumsachi kila kitu mpaka boxer aliyovaa na kipigo heavy na kumuacha uchi kabisa nina siku nyingi sijapiga tapeli wala kibaka fursa kama hii mara ya mwisho ilikuwa 2013
Komaa na huyu mkuu alinitext jumapili :D
Screenshot_2017-09-12-18-32-47.png
 
Zpo nyingi sana kwenye simu yangu izo sms natumiwa na watu wasiojulkana
 
Mkuu ngoja nitoke pori nimtafute kwa njia yoyote labda awe nje ya mkoa ninaoishi ila kama ni Mwanza huyo ni halali yetu
 
Back
Top Bottom