Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

mkuu namm nimeipata leo ila namvutia kasi nikamlie vyombo usiku nimpigie sasa
532e21b9201cc6a42d8cb44d0dde09b8.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HABALI MJUKU TAYALI NIMESHA LUDI SASA NAONA MTATIZO YAKO YATAISHA NIMESHA ANDAA ZILE DAWA ZAKUKUONGEZEA KIPATO NA YAKUZIDIKA NYUMBA YAKO NA NIMETENGENEZA NDAGU MPYA AMBAYO SIYAKUMWAGA DAMU YA BINADAMU BALI MNYAMA ILE NILIO KUTENGENEZEA UTAIACHA NI KUPE HII MPYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nililetewa hii:
MJUKUU WANGU HAUJAMBO NIMIMIBABU YAKO NIMELUDI SUMBAWANGA MBONA TANGU NIKUPE NDAGU UMEJENGA MAGEST NA MAGOLOFA UMENUWA NA MABASI UJAJAKUTOA SHUKULANI MBONAWENZAKO WANAKUJA KUSHUKULU HEBUJITAHIDI UJEUCHUKUWE DAWA YAKUKAMATA WEZI NAWACHAWI NIHATARI NILIVOITENGENEZA KAMA ILEYAMWANZO MTUME KIJANAWAKO AJE AU NIPIGIE NIKUELEKEZE VIZURI
Nilimjibu: Chezea hangine hano hagumu!!
 
Kuna mtu anatuma sms kwenye namba yangu,nakumbuka alishawahi kunitumia sms kupata nafasi za jkt akajiita "captain Hinju wa Mafinga".Kuna siku nyingine akatuma sms kuhusu Uhamisho tamisemi "HABARI NIMEPATA MTU WA KUNISAIDIA UHAMISHO NAAMIA MWANZA NISHAFANYA MCHAKATO TAMISEMI NASUBIRIA KIBALI TU MIMI MWALIMU EZE WA JF"

Jana tena kaja na hizi:

"HABARI SHEMEJI YANGU,NAMBA ZA YULE MGANGA ALIENISAIDIA MIMI KWENYE MALI ZANGU NA BIASHARA ZANGU NIMEZIPATA HIZI APA 0742 007 004 MPIGIE" hii sms alinitumia saa 6:45 Mchana,Leo tena wa saa 8:43 usiku wa manane akatuma sms hii "SHEMEJI NAMBA ZA YULE MGANGA ALIYE NISAIDIA KATIKA BIASHARA ZANGU NA KURUDISHWA KAZINI NIMEZIPATA NI 0764 514 893 MPIGIE ATAKUSAIDIA"

Mtumaji wa SMS hizi anatumia hii namba 0622 282 458.

Najaribu kumpigia simu yake haipokelewi sasa namuambia aache Useingelema ataumia asinione mi boya sitapeliwi kiloso namna hiyo,najua atakua anapita sana humu jf. Pum.bavu kabisa.
 
Kuna mtu anatuma sms kwenye namba yangu,nakumbuka alishawahi kunitumia sms kupata nafasi za jkt akajiita "captain Hinju wa Mafinga".Kuna siku nyingine akatuma sms kuhusu Uhamisho tamisemi "HABARI NIMEPATA MTU WA KUNISAIDIA UHAMISHO NAAMIA MWANZA NISHAFANYA MCHAKATO TAMISEMI NASUBIRIA KIBALI TU MIMI MWALIMU EZE WA JF"

Jana tena kaja na hizi:

"HABARI SHEMEJI YANGU,NAMBA ZA YULE MGANGA ALIENISAIDIA MIMI KWENYE MALI ZANGU NA BIASHARA ZANGU NIMEZIPATA HIZI APA 0742 007 004 MPIGIE" hii sms alinitumia saa 6:45 Mchana,Leo tena wa saa 8:43 usiku wa manane akatuma sms hii "SHEMEJI NAMBA ZA YULE MGANGA ALIYE NISAIDIA KATIKA BIASHARA ZANGU NA KURUDISHWA KAZINI NIMEZIPATA NI 0764 514 893 MPIGIE ATAKUSAIDIA"

Najaribu kumpigia simu yake haipokelewi sasa namuambia aache Useingelema ataumia asinione mi boya najua atakua anapita sana humu jf. Pum.bavu kabisa.

Hao ni matapeli nakushauri ripoti kwa TCRA ili uwasaidie watu wengine ambao wanaukwaa huo mtego na kupigwa hela
 
Kuna mtu ana tabia ya kunitumia msg kuniambia mjukuu wangu ile dawa ya kupata mali kutoka Congo imeshawasili.Nimewapa wengi wamefanikiwa njoo upate dawa yako.Alinitumia kwa muda mrefu nikawa simjibu chochote siku moja nikamuambia nahisi unakosea namba.Siku moja ikaingia na kwa mke wangu nikaona enough is enough.Nikamtumia msg nikamuambia halo naomba iwe mwisho kunitumia msg za hivi mimi sio muumini wa ushirikina kama ni utajiri mbona wewe hujitajirishi tena nimekupa onyo la mwisho ukinitumia tena nakwenda polisi uje ukamatwe kama kuku na kwa taarifa yako najua unatuma ukiwa wapi toka siku hiyo nimeona hatumi tena tuwe waangalifu
 
Kumekuwa na utapeli ambao mtu hutuma sms kujifanya kumsifia mganga wake wa kienyeji akishukuru kupata mari au kwa wanawake akisifiwa kuweka ndoa vizur mwanzo niliaanza kupata sms mimi nikajuwa aiza nimtu alikuwa akikosea sasa sms izo zimeanza kuingia kwenye simu ya mke wangu zikiwa na ulagai wamaswara ya ndoa je nawewe umesha pata sms kama hizo
06203887b632fe5c944f5134700e7b59.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa matapeli, mimi walinitumia kuhus ishu za biashara mara kila umkapo asubuhi jua linapochomoza kibiashara upata pesa, au ndo ugumu wa maisha.
 
Kumekuwa na utapeli ambao mtu hutuma sms kujifanya kumsifia mganga wake wa kienyeji akishukuru kupata mari au kwa wanawake akisifiwa kuweka ndoa vizur mwanzo niliaanza kupata sms mimi nikajuwa aiza nimtu alikuwa akikosea sasa sms izo zimeanza kuingia kwenye simu ya mke wangu zikiwa na ulagai wamaswara ya ndoa je nawewe umesha pata sms kama hizo
06203887b632fe5c944f5134700e7b59.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumradhi jamani, hizi si namba za mshana jr, mwenyewe ana taarifa lakini?
 
Back
Top Bottom