version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 639
- 1,516
namba zetu za simu tunawapatia wenyewe kwa kujiunga kwenye magroup ya whatsapp ambayo mengi mtu akituma linki tu kwenye social media hatutaki kupitwa, na njia nyingine ambayo wanatumia kuwatarget watu wengi na kukupigia simu kabisa kwamba anatoka vodacom ama shirika flani ni kupitia kwenye makongamano ama sehemu ambapo wanajua watu potential wanakuwepo, wanachokifanya ni kudanganya ama kutumia nyia yoyote wapate business cards kwa kisingizio cha connections..we have to be careful sana to whom we share our contacts,