Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,365
Habari zenu,
Nachukua Fursa hii adhim kumtakia Kamanda Godbless Lema Siku njema ya X- mass akiwa Gerezani .
Napenda kumhakikishia kuwa haya ni mapambano ya kudai Haki na Uhuru katika nchi hii. Asijisikie upweke Watanzania wenye nia Njema na nchi Tuko pamoja nae.
Mabavu ya watawala tunayaona na imefanywa hivi kwa makusudi kama njia ya kukukomesha uache kusema serikali. Lakini napenda nikuhakikishie Lema we ni miongoni mwa mashujaa wachache katika nchi hii ambao wamejitolea nafsi zao ili kuleta utawala wa haki na demokrasia hapa nchini.Najuwa siku ya leo ulipenda uwe pamoja na familia yako lakini kwa sababu za Kisiasa wameamua ukae ndani.
Usihofu mateso yakizidi Ufalme unakaribia. Pole sana kamanda nakutakia sikukuu Njema ya X-mass ukiwa hapo Gerezani.