Merry X- mass Godbless Lema Ukiwa Gerezani

..inapendeza kuona wanasheria wa serikali siyo wachovu, maana wana chama mfu mlizoea kujiita eti mawakili wasomi, naona usomi umefikia kikomo kamanda wenu ananyea ndoo leo sikukuu, na akome kabisa kudharau mamlaka
Akina Nyerere, Kambona, Kawawa, Jumbe etc wako wapi ??!!. Kila nafsi itaonja mauti hata ukinyanyasa wananchi , au kuoteshwa njozi
 
..inapendeza kuona wanasheria wa serikali siyo wachovu, maana wana chama mfu mlizoea kujiita eti mawakili wasomi, naona usomi umefikia kikomo kamanda wenu ananyea ndoo leo sikukuu, na akome kabisa kudharau mamlaka
Ni mapito tu haya Dada lema anapitia .kwani Magufuli atakuwa rais milele? Ipo siku tutafurahia Uhuru katika nchi yetu
 
Who cares!

Makosa ya kujitakia wakati kuna watu wako gerezani kwa makosa kama ya kuua bila kukusudia.

Yeye yuko gerezani kwa makosa ya kukusudia bila kujua kama amekusudia. Ujinga una gharama.

Wajanja kama kina Tundu Lissu wako nyumbani wakisherekea sikukuu na familia zao kwa sababu wanafahamu vizuri mipaka yao kisheria na kisiasa pamoja na kuwa ni wanaharakati wa kisiasa.

Wajinga ndio waliwao!
Merry x mas mheshimiwa Lema
 
Habari zenu,
Nachukua Fursa hii adhim kumtakia Kamanda Godbless Lema Siku njema ya X- mass akiwa Gerezani .
Napenda kumhakikishia kuwa haya ni mapambano ya kudai Haki na Uhuru katika nchi hii. Asijisikie upweke Watanzania wenye nia Njema na nchi Tuko pamoja nae.

Na kama Mbunge atakuwa amepata nafasi na muda sahihi ya kuwapa moyo wafungwa wengine kuwa haki ya kudai uhuru wa kusema ni jambo la msingi na ndiyo inayomfanya awe nao pamoja siku hii muhimu .

Pole yake Mhe. Lema.

[HASHTAG]#locatebensaanane[/HASHTAG]
 
Aaaah!Akhsante pia kwa taarifa.,ngoja niijulishe hii team tufanye maamuzi,kwani wenyewe walidhani siku ya boxing day ndiyo ingekuwa bomba.
boxing day mahabusu..acha utani mkuu
 
Who cares!

Makosa ya kujitakia wakati kuna watu wako gerezani kwa makosa kama ya kuua bila kukusudia.

Yeye yuko gerezani kwa makosa ya kukusudia bila kujua kama amekusudia. Ujinga una gharama.

Wajanja kama kina Tundu Lissu wako nyumbani wakisherekea sikukuu na familia zao kwa sababu wanafahamu vizuri mipaka yao kisheria na kisiasa pamoja na kuwa ni wanaharakati wa kisiasa.

Wajinga ndio waliwao!
Kwa hiyo hapo umecomment nn?
 
Habari zenu,
Nachukua Fursa hii adhim kumtakia Kamanda Godbless Lema Siku njema ya X- mass akiwa Gerezani .
Napenda kumhakikishia kuwa haya ni mapambano ya kudai Haki na Uhuru katika nchi hii. Asijisikie upweke Watanzania wenye nia Njema na nchi Tuko pamoja nae.

Mabavu ya watawala tunayaona na imefanywa hivi kwa makusudi kama njia ya kukukomesha uache kusema serikali. Lakini napenda nikuhakikishie Lema we ni miongoni mwa mashujaa wachache katika nchi hii ambao wamejitolea nafsi zao ili kuleta utawala wa haki na demokrasia hapa nchini.Najuwa siku ya leo ulipenda uwe pamoja na familia yako lakini kwa sababu za Kisiasa wameamua ukae ndani.

Usihofu mateso yakizidi Ufalme unakaribia. Pole sana kamanda nakutakia sikukuu Njema ya X-mass ukiwa hapo Gerezani.
Ukisikia unafiki ndio huo.ulitakiwa na wewe umpige ngumi askari ili ukaungane na kamanda.
Kitendo cha kumtumia waraka kupitia JF ambako hana access yoyote kisha wewe unakunywa bia na familia yako ni unafiki uliopitiliza
 
Kosa la akili kuutuma ulimi kuongea mauvu ndiyo yameuponza mwili kusheherekea xmass na mwaka mpya Kisongo.
 
Kwa kamanda kunyea ndoo ni kawaida tu, wapo akina Mandela walinyea ndoo miaka zaidi 25 itakuwa kwa Lema mwezi nikuhakikishie tu pamoja na kutupa watu mto ruvu haitaturudisha nyuma...
.....
.....well said Mkuu
 
Ukisikia unafiki ndio huo.ulitakiwa na wewe umpige ngumi askari ili ukaungane na kamanda.
Kitendo cha kumtumia waraka kupitia JF ambako hana access yoyote kisha wewe unakunywa bia na familia yako ni unafiki uliopitiliza
Hata max tuliitumia JF kufanya awareness na alichiliwa kwa dhamana.na hakuwa na access. Atasoma akitoka Gerezani na atajuwa kuwa tulikuwa pamoja na ataendeleza mapambano kumng'oa nduli.
 
Ukisikia unafiki ndio huo.ulitakiwa na wewe umpige ngumi askari ili ukaungane na kamanda.
Kitendo cha kumtumia waraka kupitia JF ambako hana access yoyote kisha wewe unakunywa bia na familia yako ni unafiki uliopitiliza
Hawa vijana wanashangaza sana.
 
Back
Top Bottom