Merry X- mass Godbless Lema Ukiwa Gerezani

..inapendeza kuona wanasheria wa serikali siyo wachovu, maana wana chama mfu mlizoea kujiita eti mawakili wasomi, naona usomi umefikia kikomo kamanda wenu ananyea ndoo leo sikukuu, na akome kabisa kudharau mamlaka
We huyajui Maisha Tulia Kwanza Kula Dona La wazee Ukikua Utayaona.
 
Godbless Jonathan Lema Mungu akulinde uko ulipo mahabusu ni mtu mmoja ameamua kukuzuia hata kwenda kusherehekea sherehe ya leo na familia yako huyo mtu ameenda kanisani leo bila aibu ......FREEDOM IS COMING SOON
Kama ushahidi huo haupo....ikibainika ni kazi ya mamlaka nyingine na haijaingiliwa...aibu na aibiko linarudi kwako mara mia ....usipende kudhania bure
 
Mnafiki mkubwa wewe sasa kilichokupeleka magereza ni kitu gani au kutafuta sifa...
Imekuwasha sawasawa hiyo l.o.f.a we!Acha mjinga alipie gharama za ujinga wake.Tena,ingefaa hata Pasaka ailie gerezani j.a.m.b.a.z.i yule.
 
Siku ny
Habari zenu,
Nachukua Fursa hii adhim kumtakia Kamanda Godbless Lema Siku njema ya X- mass akiwa Gerezani .
Napenda kumhakikishia kuwa haya ni mapambano ya kudai Haki na Uhuru katika nchi hii. Asijisikie upweke Watanzania wenye nia Njema na nchi Tuko pamoja nae.

Mabavu ya watawala tunayaona na imefanywa hivi kwa makusudi kama njia ya kukukomesha uache kusema serikali. Lakini napenda nikuhakikishie Lema we ni miongoni mwa mashujaa wachache katika nchi hii ambao wamejitolea nafsi zao ili kuleta utawala wa haki na demokrasia hapa nchini.Najuwa siku ya leo ulipenda uwe pamoja na familia yako lakini kwa sababu za Kisiasa wameamua ukae ndani.

Usihofu mateso yakizidi Ufalme unakaribia. Pole sana kamanda nakutakia sikukuu Njema ya X-mass ukiwa hapo Gerezani.
Andika Merry Christmas na si Merry X mass
 
Back
Top Bottom