mtemiwaWandamba
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 561
- 223
Wakuu JF Members.
Nasikitika sana kuwataarifu kwamba , Muda mfupi ujao kutokana na maeneo tofauti tunayoishi,
kila mmoja wetu atapoteza rafiki , aidha ampendaye sana au rafiki wa kawaida au adui yake kutokana
na alivyoishi naye 2012.
Hata hivyo tusihofu sana kwa hilo litakalotokea, kwani mara tu atakapopotea huyo rafiki yetu/yako
atatokea Rafiki mwingine 2013, ambaye kuishi vizuri au vibaya naye inategemea uwezo wake Mwenyezi
Mungu/Manani/ Allah na pia juhudi zetu wenyewe.
Ninawatakieni nyote Afya njema, Heri , Baraka na Mafanikio mema kwa Mwaka 2013.
Pamoja sana kwa Upendo.
MtemiwaWandamba.