Meremeta & TANGOLD Revealed!

uwe mwanachama hata wa chama cha mafisadi, lkn ukiwa bungeni kijana, taifa mbele, rekebisha kengeza hilo hata kwa miwani.

kwa hiyo unakubali kuwa si rahisi kufanya kazi bila kufuata maagizo ya chama ambacho wewe ni mwanachama wake?
 
kama una uzalendo kuliko yeyote humu jiandae kugombea ubunge, sio kulialia tu, action needed maneno matupu hayafunji mfupa kijana.
 
Kwa kuwa Mkemia Mkuu ni Msukuma lazima kuwe na mgongano wa maslahi, kule Usukumani mtu hata akiwa na mamilioni wao huita "VIJISENTI" kutokana na hilo majibu ya "unga unga wa Chenge bila shaka Mkemia Mkuu atatoa jibu la "Yalikuwa maunga unga ya ugali"

I think it will be wise not to Stereotyping people based on their “kabila”. We don’t have that in our country and we don’t want that!!!! If you want to express your point of view do so but I think you need to respect the cultural differences that we have and how far we have got in our social development, Waachie majirani zetu na Waafrica wengine!!!!
 
kwa hiyo unakubali kuwa si rahisi kufanya kazi bila kufuata maagizo ya chama ambacho wewe ni mwanachama wake?

vijana wa dizaini yako hatuwakati bungeni period. Kwa dizaini hiyo ya kujikomba mtalambishwa vya wanaume wenzenu. Bungeni kwa maslahi ya taifa sio chama.
 
Wabunge Wetu...maoni Yangu Haya...
Serikali Isiposikiliza Maoni Hayo Ya Zitto...
Basi Vunjeni Bunge Na Serikali Irudi Kwa Wananchi!
Na Ambaye Hatafanya Hivyo...basi Ni Msaliti Wa Si Tu Tanzania!
Bali Afrika!
Asanteni.
 
vijana wa dizaini yako hatuwakati bungeni period. Kwa dizaini hiyo ya kujikomba mtalambishwa vya wanaume wenzenu. Bungeni kwa maslahi ya taifa sio chama.

Mama, miye sina mpango wa kwenda bungeni. Ningekuwa na huo mpango ningesema. Kukiwa na kitu cha kufanyika, mimi namwambia Mwenyekiti wangu Kikwete na yeye anashughulikia mara moja.

Kwa mfano, ile issue ya uwanja wa fisi inashughulikiwa hata hivi sasa tunavyojadili hapa. Asante
 
Hiki kipengele hapa chenyewe kinatosha kuvunja sirkali kama wakijidai wajanja!

Mheshimiwa Mwenyekiti, nitatoa mfano wa masuala matatu tu. Kwa mfano, suala la nishati ni suala la Usalama wa Taifa, national security concerned ilikuwaje nchi yetu ikaingia mikataba ya nishati bila clearance ya Usalama wa Taifa. (Makofi)
 
Kama USALAMA WA TAIFA NI USALAMA WA WANANCHI...THEN KWANINI HAWAKUONYESHWA HIYO MIKATABA KWA NIABA YETU ILI KUHAKIKISHA ILIKUWA NI YA KUYALINDA MASLAHI YETU?

NA KAMA KUNA WALIOONYESHWA NA WAO WAKAKUBALIANA NAYO...THEN HAO NDIO MAFISADI..TUKAMATE HAO KWA KUANZIA LA SIVYO MTAIVURUGA NCHI!
NI MAONI TU.
 
Mama, miye sina mpango wa kwenda bungeni. Ningekuwa na huo mpango ningesema. Kukiwa na kitu cha kufanyika, mimi namwambia Mwenyekiti wangu Kikwete na yeye anashughulikia mara moja.

Kwa mfano, ile issue ya uwanja wa fisi inashughulikiwa hata hivi sasa tunavyojadili hapa. Asante

kwa nini EPA, richmond na meremeta hazijashughulikiwa hadi leo. Ina maana suala ya uwanja wa fisi ndio priority? unajua kuwa kama sio mafisadi kuifisidi nchi leo uwanja wa fisi kusingekuwa na hali iliyopo? je unajua kuwa root course ya yanayotokea uwanja wa fisi ni umaskini? Jiulize ukipata jibu take a right direction
 
Kama USALAMA WA TAIFA NI USALAMA WA WANANCHI...THEN KWANINI HAWAKUONYESHWA HIYO MIKATABA?
NA KAMA KUNA WALIOONYESHWA...THEN HAO NDIO MAFISADI..TUKAMATE HAO KWA KUANZIA LA SIVYO MTAIVURUGA NCHI!
NI MAONI TU.

Naona sasa wewe unataka Dr Slaa na Zitto wakamatwe kama alivyosema Marmo. Kweli kabisa, Dr Slaa na Zitto watueleze waliipata vipi hiyo mikataba na hizo siri za serikali.
 
Good job Bw.Zitto lakini experience inaonyesha speech hizi zinaishia hewani tuu na hakuna chochote kitakacho badilika,sasa kuna bill yeyote mezani umetayarisha unayotaka kuweka bungeni ili kubadilisha hayo mambo uliyozungumzia? action plseee!

Koba... usiwe na shaka ndugu yangu... mapambano safari hii yanapiganwa kitaalamu zaidi.. misingi huwekwa na jengo hujengwa.. tumpe support na kundi la wabunge wengine wanaokuja mbeleni... mabadiliko ni lazima, na yatatoka kwa wananchi wenyewe.
 
kwa nini EPA, richmond na meremeta hazijashughulikiwa hadi leo. Ina maana suala ya uwanja wa fisi ndio priority? unajua kuwa kama sio mafisadi kuifisidi nchi leo uwanja wa fisi kusingekuwa na hali iliyopo? je unajua kuwa root course ya yanayotokea uwanja wa fisi ni umaskini? Jiulize ukipata jibu take a right direction

Yote haya yanashughulukiwa mama wewe tulia tu uone Kikwete akifanya kazi aliyotumwa na wananchi.
 
Yote haya yanashughulukiwa mama wewe tulia tu uone Kikwete akifanya kazi aliyotumwa na wananchi.

huku kutuliza ndio mmnetuliza kwa miaka 45, chama mtakiona kigumu mwaka huu. Mungu ibariki Tanzania
 
Kama kulikuwa hakuna clearance ya usalama wa TAIFA na hapo hapo MIZENGWE MPINDA HAKI AKADAI NI YA USALAMA WA TAIFA...THEN WALA HASIRUDI BUNGENI!
ABAKI HUKO HUKO ALIKO!
KWANI SIDHANI KAMA ANA CHA KUSEMA TENA!
NA AKIJARIBU...TUTAMWULIZA ATUAMABIE NI KINA NANI HAO WA USALAMA WA TAIFA WALIOIPTISHA MIKATABA HIYO BILA CLEARANCE YA WANAUSALAMA WANAOHUSIKA.
AMA KUNA USALAMA ZA TAIFA MBILI?
KAMA HIVYO...TUNAJUWA KUNA MOJA YA MAFISADI...NA NYINGINE YA WAZALENDO.
 
huku kutuliza ndio mmnetuliza kwa miaka 45, chama mtakiona kigumu mwaka huu. Mungu ibariki Tanzania

wewe si umeona wapinzani wanavurugana na kukimbizana wenyewe. Hiki chama ndio mwanzo kinajiandaa kukamata hatamu zote toka Kigoma hadi pemba.
 
wewe si umeona wapinzani wanavurugana na kukimbizana wenyewe. Hiki chama ndio mwanzo kinajiandaa kukamata hatamu zote toka Kigoma hadi pemba.

hamna maana loylote maluun, huko kwenye chama chenu ndio kunachemka over 100 digrii sentigredi. Mtakufa na tai shingoni, kifificha maradhi kifo kitamuumbua. Wapinga ufisadi hoye, mafisadi wafilisiwe na kupewa residence jela.
 
Wabunge Kila Mmoja Achague Side Mara Moja.
Upande Wa Wanausalama Wa Zitto Vs Wanausalama Wa Mpinda Haki.
Hivi Bado Tu Hata Hajakanusha?
 
Kama kulikuwa hakuna clearance ya usalama wa TAIFA na hapo hapo MIZENGWE MPINDA HAKI AKADAI NI YA USALAMA WA TAIFA...THEN WALA HASIRUDI BUNGENI!
ABAKI HUKO HUKO ALIKO!
KWANI SIDHANI KAMA ANA CHA KUSEMA TENA!
NA AKIJARIBU...TUTAMWULIZA ATUAMABIE NI KINA NANI HAO WA USALAMA WA TAIFA WALIOIPTISHA MIKATABA HIYO BILA CLEARANCE YA WANAUSALAMA WANAOHUSIKA.
AMA KUNA USALAMA ZA TAIFA MBILI?
KAMA HIVYO...TUNAJUWA KUNA MOJA YA MAFISADI...NA NYINGINE YA WAZALENDO.

Mkuu...

Naungana na wewe kabisa kwa hili na kuanzia sasa ni bora mikataba yote ambayo serikali inaingia kuhusu Taifa letu iwe cleared na usalama wa taifa kabla ya kupitishwa.
Hata zile deal za misahama ya kodi nayo ni bora iwe inapitia kwenye usalama wa taifa kwanza kabla ya mtu au kampuni kupewa misamaha hiyo.
Ni bora usalama wa taifa ukawa usalama wa taifa na mali zake na siyo usalama wa mafisadi.
 
...kuanzia sasa ni bora mikataba yote ambayo serikali inaingia kuhusu Taifa letu iwe cleared na usalama wa taifa kabla ya kupitishwa.

Una assume kwamba Usalama wa Taifa wao sio mafisadi.

Ukiangalia viongozi wa juu wa Usalama, hususana waliotoka kustaafu (hawa wa sasa hivi sifahamu kwa sana) wanavyo ishi na mali waliyojilimbikizia, sidhani kama mishahara yao ingetosha kufanya mavitu yao.

Tusi assume kwamba ukiwapa wao ulinzi wa mali ya Umma basi itakuwa poa.

Hata Plato ali spin alipoulizwa "nani atalinda walinzi"?
 
Hey!
Imegawanyika!

Nina Uhakika Kuna Wanausalama Waliokerwa!
Wabunge Waungeni Mkono!
Na Kama Hamuwajui Ni Wapi Hao...basi Mwulizeni Zitto Atawaambia!
Na Wale Wa Ccm Mpya..i Mean Ile Ya "free Of Wana Mtandao" Iungane!
Wanasheria...viongozi Na Wadau Mbali Mbali!
This Is The Time To Rescue Our Dear Nation!
Pls Pls Pls!

Na Hata Kama Mikataba Hiyo Itakuwa Cleared Na Usalama Wa Taifa...ni Lazima Taarifa Hizo Ziwe Declassified Baada Ya Muda Flani For Verification Purposes!
And I Mean The People!
NA "THE PEOPLE" HAPA NI "BUNGE HURU" FREE OF VIRUSI VYA THE SO CALLED.."WANAMTANDAO"
The People's Verification That The So Called "contracts" Actually Benefits The People and the well being of THE NEXT GENERATION!
Hence A New Prosperous Nation!
God Willing!

Ndugu zangu mnakumbuka jinsi watu walivyofungua biashara za kiti moto hapo DAR mara baada ya MWINYI KUDAI NI RHUKSA KULA NGURUWE!
Badala ya kuandaa mpango maalum wa kuwaanda wananchi ili tusirudi utumwani kwenye dunia mpya ya ushindani...Yeye akawaambia wabongo,tena waislam wenzake wale nguruwe!
Na kweli wakala sana tu!
Hata mfungo wa ramadhani wengine walisneak na kwenda kula!
Na hata mara baada ya MKAPA kuja na white paper...
CHARLES HILLARY BADO NA YEYE AKAFUNGUA KITI MOTO YAKE HUKO SINZA!
SASA TUMEGUNDUA NCHI IMEUZWA KWA VIONGOZI WETU KUTUMIA LOOPHOLES!
REKEBISHENI MAKOSA,RUDISHENI NCHI KWA WANANCHI...THEN TUANZE NA TAIFA JIPYA NA LENYE MATUMAINI!

Hapo bongo tunataka mabadilko makubwa sana!
Hapo SINZA..Nilikutana na maprofesa wanakunywa pombe tuu!
NA HATA HAWAENDI KUTOA LECTURE!
TENA WAKAWA WANANITAMBISHIA NA VIJIDOLA HUKU WAKIJIMWAGA NA MABAAMEDI.
Mabaamedi wenyewe kweli wanatia huruma!
Badala ya kupewa TIPS ama hata mamlaka HUSIKA zihakikishe zinasimamia haki zao...Basi wao kimya wakiuza nchi!
Kwanini nyie watanzania MUMPE BAAMEDI MIPOMBE NA KUMLEWESHA KAZINI BADALA YA KUMPA HATA TU TIPS ILI AKALISHE FAMILIA NA KUTOKUJIKITA KWENYE UKAHABA?
TENA MAPROFESSOR WETU WA HAPO MLIMANI NI KUSHINDA BAA NA KUWALEWESHA MABAA MEDI WASIO HATA NA ELIMU BAADA YA KUWEKA PESA HIYO KAMA HATA MCHANGO WA KUWASADIA!
SASA NANI ANAMJALI NANI HAPO BONGO!
HATA KIJIMENEJA KIDOGO TU NI KIJITUMBO KULE NA MIDOMO MBINUKO!
TAIFA LIMEOZA HILO!
LINAOITAJI MAPINDUZI YA KILA NAMNA!
LA SIVYO NI UTUMWANI KAMA KAWA!

...duh, Bro Jmushi1 You Need A Break! Have A...

View attachment 1759

...:d Ha Ha

Mwinyi Alipewa Jina La Rhuksa Kwasababu Gani?
Mnataka Tulete Hotuba Yake Aliyosema Ni Rhuksa Kula Nguruwe?
Tena Akasema Hata Kula Chura!
Na Kwa Uelewa Wangu...chura Waliko Tanzania Ni Un Consumable!
Chura Wetu Ni Sumu!
Usile!
Yeye Angewatayarisha Wananchi Na Kuwaambia Sasa Ni Dunia Ya Soko Huria Ama Globalization Na Hivyo Wananchi Watayarishwe!
Na Si Uswahili!
Ama Unataka Takwimu Za Walaji Nguruwe Hapo Bongo,bucha Mrema Alizopigana Nazo Na Kitimoto Kila Pahala Na Hata Ya Ndugu Yetu Charles Hillray Hapo Sinza Kwa Mugabe?
Je ule utaratibu wa WHITE PAPER ULISSHIA WAPI?
HOW DID IT BENEFITI THE PEOPLE?
PRSC,WIZARA YA FEDHA NA BOT NDIO INSTITUTIONS ZILIZOSIMAMIA UBINAFISISHWAJI...NA TUNAJUA UFISADI ULIOPO HUMO KWENYE TAASISI HIZO ZILIZOPEWA JUKUMU LA KUTUINGIZA KWENYE UCHUMI MPYA WA USHINDANI WA HALI YA JUU!
SASA NANI ANAMILIKI TANZANIA?

Na ndio maana hapo wana suggest sheria zibadilishwe.
Kwani sheria zinalinda maslahi ya uhai wa chama kabla ya uhai wa TAIFA!

Ni kosa lililoachwa na MWALIMU ambalo viongozi wetu especially MKAPA...WALILITUMIA KULIUZA TAIFA...NA AMA KUJIKABIDHI MALI ZA TAIFA!

Na ndio maana kulikuwa na kilio wakati akiingia madarakani kwani tulitaka wananchi watayarishwe kukabiliana na techonology na soko huria....Waandishi nao wakadakia...TEKE LINALOKUJIA NA UTANDAWAZI!

SI TEKE LILOTUJIA...NI BALAA LILILOTUKUMBA!

MKAPA AKAJA NA THE SO CALLED A "WHITE PAPER"

NA KUUNDA PRSC NA KUJIKABIDHI TAIFA NA THE REST KUUZA!

NO NO NO!

WE WANT FREEDOM!

PERIOD.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom