TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,877
- 11,259
Swali kwako: Kama hii kazi ingefanywa na timu au kamati inayolipiwa na walipa kodi unafikiri ingegarimu kiasi gani? Unafikiri kweli ripoti nzito ya namna hii nani anailipia au mimi nina kisima cha utajiri wa kugharimia haya yote kwa vile nina nini ambacho wengine hawana na mimi ni mtoto wa maskini kama wengine tu?
MM, hilo ni swali na jibu tosha!!!
Watanzania tujiulize: tumeshawahi kutumia shilingi 30,000/- kwa mambo kadha wa kadha yasiyo na tija mara ngapi???
Novels za willy gamba na shigongo si tunanunua??
Magazeti ya uwazi na ijumaa si tunanunua?
Iwapo serikali ingeamua kutoa pesa kwa tume ya kuchunguza meremeta unadhani tungetumia kiasi gani cha walipa kodi ukiangalia per diem, imprest, air ticket, communication, gharama za kichunguzi n.k.??? si inngezidi bilioni???
Kama mtu anaweza kuchukua millioni 30 kwenda kufanya uchunguzi wa maji yenye sumu mara au impact ya matangazo ya ukimwi vijijini - si mnajua ile ni pesa yetu au ya donors??
LETS TRY TO CONTRIBUTE FOR THOSE WHO DARE, BECAUSE NOT ALL OF US CAN DO THAT EVEN AT A MILLION DOLLAR PAYCHECK
MM, NIWEKEE KAKOPI KAMOJA, NTANUNUA
Last edited by a moderator: