Hilo la magongwa, ndo hatari zaidi lakini hilo la bahari kuchafuka, ndo travelling adventure zenyewe hizo kiongozi!!Ohooooo! Bahari ichafuke au kuzuke gonjwa la kuambukizana humo. UTAJUTA Mkuu!!!
Ha ha ha ha nakumbuka mwaka 2003 Kama sikosei nlipanda Santorini kwenda Mtwara daaaah Ile burdan acha tu kabisa nikaja 2021 kupanda ya bukoba mwanza unashindia kule kwe mziki tu.Tuachani masihara, hakuna usafiri amazing kama wa majini...
Najua nimechelewa sana, lakini naendelea kuzichanga taratibu hadi nichukue 14 days cruise ship manake nitakuwa sijaitendea haki nafsi yangu endapo nitadanja kabla sijaikamilisha hii ndoto!!
Hilo la magongwa, ndo hatari zaidi lakini hilo la bahari kuchafuka, ndo travelling adventure zenyewe hizo kiongozi!!
Makashikashi safarini yana zake bhana....
Kuna siku tulikuwa angani... dadeki tulikutana na turbulence kwa zaidi ya dakika moja!! Ndege ilikuwa inayumba utadhani mashua baharini...
Sa' si ndo adventure zenyewe hizo!! Sio safari imepooza kama maiti kwenye jeneza bhana...
Unajua umeongea jambo la maana sana...Tukifika huko unaweza kuchukua meli mpaka Seashells ukarudi kwa ndege na ni package. Wanafanya Ulaya unaondoka Portugal to France, France London na unarudi Portugal ndani ya masaa 24.
Usafiri wa baharini una raha bhana...Ha ha ha ha nakumbuka mwaka 2003 Kama sikosei nlipanda Santorini kwenda Mtwara daaaah Ile burdan acha tu kabisa nikaja 2021 kupanda ya bukoba mwanza unashindia kule kwe mziki tu.
Kama hujazoea, kichefu chefu baharini ni kama bia na nyama choma...πππππ Iβll take air turbulence any day as compared to rough sea. Nakumbuka tulikuwa wanne tunaenda Zenj kikazi basi badala ya kuchukua usafiri wa ndege tukaamua kupanda speed boat. Basi kuna sehemu wote kama 20 to 30 hivi tulisikia kichefu chefu cha hali ya juu. Yaani unajisikia vibaya mno lakini bahati nzuri hakuna kati yetu aliyetapika. Sijawahi kujisikia vibaya kiasi kile kwa usafiri wa ndege.
Mimi mbona usafir wa majini naona mateso makubwa maana natapika mpaka naona utumbo Una taka kutokea mdomo nau tatizo vyombo vyetu ya majini havina ubora.Tuachani masihara, hakuna usafiri amazing kama wa majini...
Najua nimechelewa sana, lakini naendelea kuzichanga taratibu hadi nichukue 14 days cruise ship manake nitakuwa sijaitendea haki nafsi yangu endapo nitadanja kabla sijaikamilisha hii ndoto!!
Kwa viongoz wetu ukiwapa menu itawashinda kuagizaMtanzania wa kawaida bado hajaweza kukifikia hiki chakula cha mwaka 1912 licha ya kupata uhuru miaka 60 iliyopita.
Mzungu huyo ππSky wewe ulipaswa kuwa Uingereza unapenda sana huko hasa story za royal family (jipige kifua useme one day yes)π
Menu hiyo mimi sielewi chochote ningechaguliwa na muhudumu
.... ha ha ha! Unamwambia mhudumu niletee kama hicho anakula mteja aliyekaa kushoto apo! Kikiletwa hiyo taste usiombe na hiyo bei sasa kama hujajipanga imekula kwako.Sky wewe ulipaswa kuwa Uingereza unapenda sana huko hasa story za royal family (jipige kifua useme one day yes)π
Menu hiyo mimi sielewi chochote ningechaguliwa na muhudumu