Hilo la magongwa, ndo hatari zaidi lakini hilo la bahari kuchafuka, ndo travelling adventure zenyewe hizo kiongozi!!Ohooooo! Bahari ichafuke au kuzuke gonjwa la kuambukizana humo. UTAJUTA Mkuu!!!
Makashikashi safarini yana zake bhana....
Kuna siku tulikuwa angani... dadeki tulikutana na turbulence kwa zaidi ya dakika moja!! Ndege ilikuwa inayumba utadhani mashua baharini...
Sa' si ndo adventure zenyewe hizo!! Sio safari imepooza kama maiti kwenye jeneza bhana...