Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
huwa nawaombea sana nyie wadogo zangu mpate wadada wanaomjua Mungu....aiseeeeeeeeeeeeeeeee... Kweli dunia ina mambo
My only brother hajaoa, na bahati mbaya alishajiweka vizuri sana kimaisha. Nafurahia sana mafanikio yake maana nilikuwa nampigia kelele mno afike hapo, lakini namwonea huruma sana.
Sitaki kumwingilia maisha yake, ila angenipa chance ningemtafutia mdada mrembo anayemcha Mungu. kwa sasa naishia kumwombea tu